not for sale
kujenga ma-youth
published by
2 of 6 1
thursday, 0732 hrs
hii job ya ku-paint nails unaifanya poa!
ma, unajua leo ni wednesday?
mama phillip, niliku-show, i am the best!
0805 hrs
ai! flo, hii ni mara ya nne unauliza. nilikuambia sijasahau.
haiya, ndio hiyo allowance K yako ya hii wili. 1500. uzitumie vizuri, sawa?
ahsante ma!!
wednesday, wednessday,1343 1343hrs hrs
ni kweli, naona!
0806 hrs 1402 hrs zinakaa poa! eh! hata baba phillip najua atafurahi sana... hehehehe!
0906 hrs
hehehe! lakini this week nisha nunua dresses tatu. sitanunua dress ingine...
naeza get vitu mob na hii doh! ma-movie, viatu, chiba...
hiyo? 1999. lakini wewe ni customer nicustomer, nitakutolea na 1499.
150 pekee.
utanilipisha how much?
1405 hrs
walalala!! hiyo dress ni how much? na ina-match na bag yangu!
nipatie!!
1417 hrs
hizo ulisema ngapi?
250, lakini wewe ni customer. leta 150.
1356 hrs
gurrrrrl! si uko na taste!!!
i wish ningekuwa kama wewe!! hiyo dress!
cheki hizi bangles!!!
nipatie!
grovel girls... hehehehe!
2
33
1502 hrs
friday, 1116 hrs
wah! concert inaanza in a few hours. i hope huyu msee atatokea!
nitangoja tu hapa...
hii ni gari yake, so lazima ako kwa hiyo supermarket.
na hii ni opportunity poa... i have always wanted a career in dancing! sooh nane nitatoa wapi? hapa nimebaki tu na bob! na bado nina madeni!
juliani!! eish!! hii concert lazima niende... ati? ngiri tatu!!!
1142 hrs
huyo ni maria kim? nikimtengenezea hizo dreads na nim-paint makucha, si nita-get kama ngiri moja?
1610 hrs ndio huyo! ametoka shopping, which means ako na doh!
yoh! maria kim!! naeza kutengenezea hizi dreadz na niku-paint makucha na ngiri moja pekee! si ndio?
yoh!! sasa davy baby?!
mimi nina-save doh zangu nizitumie kwa vitu important sasa nitatoa wapi doh za kuenda concert?
ai! hapana. hiyo siezi afford.
lakini wewe flo, pesa wewe hupeleka wapi. wewe hu-do job poa na wasee hukulipa. mapero zake pia hukupatia allowance. haujawahi fikiria kusave?
hiyo ni stori mob, na kazi ngumu. naenda kuongea na boyfriend wangu. atanipa doh. ni m-rich, hata ako na gari poa!
nimekumiss sana baby. umekuwa wapi?
eh... flo!! time mbaya! songa huko! niache! flo! ni kubaya!!
aauuuwwiiiii!!! baba boyi, huyo nani anakushika hivyo?
nini mbaya baby?
44
5
hata simjui? amenirukia tu! achana na mimi wewe msichana!
savings
plan
wewe acha bwana yangu!! wasichana wa siku hizi!!
Ndio hii savings plan blank yako ku-fill out. I bet utakuwa shocked na difference ya ile doh wewe hu-plan kutumia na ile doh wewe hu-end up actually kutumia!
name: budget: WEWE UNAWEZA SUGGEST FLO ANGE DO NINI DIFFERENTLY? Angeenda haree kuji-enjoy na a-buy-ie hao cute friends wake keroro!
sasa sasa nita-do? nita-do?
CHUXX MJINGA MJANJA
ONGEZA SUGGESTION YAKO:
surplus
when your income is greater than your expenses
ile doo nimetumia Chenye na-plan at the end of surplus / ku-spend this week ( jazathe week) deficit ( jaza saa hii)
MONEY IN (INCOME) Allowance kutoka kwa ma-pero / gifts Salo / wages total income
JK
MJINGA MJANJA
Amewekadoh dohaliAngeweka ali-get get akitengenezea akitengenezea wasee nails kwa wasee nails home bank tinkwa na home bank tin na angoje kuitumia anangoja kuitumia kwakitu kitu importantimportant kwa kama laptop laptop.. kama
MONEY OUT (EXPENSES) Savings zangu *(kumbuka uwe ukijilipa first) Chakula (meals) Kung’ara (clothes)
Angejishindia sugar daddy mwingine!
Personal items (kama sanitary pads, lotion, salon / kinyozi) Essentials za chuo (books, pens, etc) Transport / ferare
Angeanza ka-savings plan!
MJINGA MJANJA
Unajua kweli ile doh wewe hu-spend kila week, ama pia wewe hujui kama Flo!? The best way ya ku-stay on top of your finances ni kuwa na savings plan.
MJINGA MJANJA
Credo / airtime Snacks (like grub) other
total expenses 66
how did you score? are you a mjinga or mjanja?!7
1 2 3 4 5 6 7 8 9
Kuwa mjanja na dooh
“Kuwa mjanja na dooh, si kusema lazima utumie dooh mob ku-buy vitu quality; ni ku-buy vitu za nguvu na si imbo ukitumia dooh kiasi. Kila time uki-get kinde, tumia 7 bob, save 3 bob. Alafu tutamezea mjanja baadaye ni nani!”
Asanteni sana manze... I guess nafaa kuangalia sana vile natumia doh zangu. Nitaanza kuweka aside chapaa kiasi kila week ili nikue nayo for the things Nahitaji sana…..na vitu zenye nataka—kama ku-attend concert ya Juliani. Naanza ku-save right away!
Name: Caroline Atieno Base: Kibera age: 23 In 2005, nilifungua account na Equity Bank nikiwa form 3, na nika-deposit Sh.500. Mimi hujaribu ku-save at least sh. 500 kila mwezi kwa hiyo account. Pia niko kwa chama ambapo sisi huchanga 1k kila mwezi.
Siri ya leopard Leopard iki-hunt haiwezi achilia food yake i-lost ikiona. Kwa life yako unafaa kuwa kama leopard, ukitaka kubaki focused na ku-succeed, usi-loose vision yako.
8