Page 1

mnajua, ukulima ni kazi vijana! ngumu! unafaa kucheza karata tu! kukaa macho kila... zzzz... wakati...

fungueni mlango!!! nawaskia hapo ndani! fungueni mlango!!!

18

agh! tucheze game ingine!

oho! Nimeshinda tena!

wamenikujia! madeni zangu zote zitaniua! poleni vijana wangu, niljaribu kuwalea vizuri lakini nimeturusha kwa shida...


huyu mtu hatatuacha... itabidi mmoja wetu aende kufungua mlango... hapana! ataenda tukikaa kimya... wacha nifungue mlango...

taabu! utakufa!

er... ehm... pole sana, jirani, nilikuwa kitandani...

wewe ni taabu?

...EHM... NDio...

WOi!

ah, poa... ni wewe nakutafuta. naitwa matata. Nime-come kuku-show

Purity ni wangu!

19


NIlimpenda tangu tukuwe watoi! Manze alituliza roho yangu!

lakini sikuweza kumuambia... nilikuwa mwoga mbele yake...

oh, purity!

hiyo jina lake linamfaa! anaweza kumnyamazisha ndume kama mimi!

ni msupa! Ni mtamu! Aki huyo dem!

nikapatiwa transfer kuenda kuwa polisi pale nairobi city... ...lakini niliposikia ya kwamba mrui fulani alikuwa anataka kumuoa purity wangu...

hiyo ndio sababu nimekuja hapa kukuambia...

lakini... ...tunapendana...

...uwachane na yeye.

...ilibidi nirudi....

Unasemaje?!?!?!

20


...uuuuh.... uwachane na purity wangu!

na nisikuone kwa station ukichukua p-3!

ah, wewe baba charlie, taabu nisaidie hajakufa! kumuingisha kwa woooi woi, nyumba... majirani, taabu amekufa!

taabu amekufa!

aki taabu, pole... eish, taabu! huyo msee amekuchafua!!! utado? utado? utado?

taabu, pole sana...

purity, huyo msee ameniumiza vibaya... yenyewe, sijui ni-do nini...

sitaki kufa! nadhani itabidi tu-break up!

taabu... do hivi: twende kwa police station u-report matata. utadefendiwa hapo.

lakini alisema nisichukue p-3 forms za kumstaki... huyo msee ataniua!

TAABU! kuwa brave! utalea familia aje na hii attitude yako?!?!

21


Taabu, kumbuka ni wewe nimechoose unioe.

sawa basi, twende kwa station...

ni wewe nakupenda.

...mtajaza hiii p-3 form na details za hiyo assault...

asante.

ahem!

22


nimeandikisha statement yako lakini...

Wasee, lazima uelewe vile sheria ina-work! Cheki hapa!

P3 ni a FREE document official ambayo inatolewa kwa KILA police station wakati msee ameenda ku-report case ya kupigwa.

USIOGOPE!

Msee amepigwa huwa anahitaji kupata hii form ili aende nayo hosi ku-get matibabu. P3 form itaonyeshwa kortini wakati wa kesi.

KUMBUKA ukienda kwa police station: Bonga na officer mwenye ako kwa desk juu ya kitu unataka ku-report. Kuwa na points zinaeleweka na ukumbuke tarehe zote zenye zinahusika ili uandike statement ambayo inaeleweka. Kuwa mpole ndipo utasaidika.Heshimu huyo officer ambaye unampatia report!

Kutojua sheria sio excuse! Share risto zenu za kuwa kwa police station na DJ B. Tuma SMS kwa 3008!

kumbuka ‘NI 5 BOB TU’

RT PO CE E LI N R g PO IO A AT stin Y e N qu EN MI Re E K XA er f… fic TH L E e f ..R te CA eO lic P3 …… ...Da DI Po … … … ME … … the … … …… f: by … … ted … … …… ion o e l … … … nat p … … … com … … ……xami …… e be … … … im e … … …… To ) our …… nd T … … … 1-( a ry… … T… ……tioonf y ……… te.. s… a … … RT … inoaur ……… .Da… R A n … … … … P e .. … … … …PO …… afm av … …....… isp … n .. … … E … E … thex m…C… /D ……r fur ……l… ….... … I N…R… uestg E …… …… Fro …L… … onu) /h … pita… O … req stin…… ……… …… y … … s… of ow im PO tTheI ue… ……… ……… n Hthoe and kn by. h … A TNoA ve toeq… … f . d Y … a … I h eR… … …… al o … (iIne .... … a . …. …… r s… ef……… pit … …… … EN M I am s …… K A ust cee… .n. ce… Nfice dres .… .R …a/teHo… E EX y s… fpfoenlic f… e … …n…a ur… … ..D Of Ad … … ou … … nj… o f…… oo TH AL … … to .y ………ily i… he ice rt dt ge…d of… … … en…t … IC ol …… :b- od gereploegealle… t of t……t P D … l S … or…rt … A e a the…… sc… E …… tn ooff .t.i.m o… ing S he … ………… … e t e p f M h n e nd … d f lts o ……… … … … xatetio an… r… er … by a i d a e o … … … a … d n … e … t n m ….u …ith m t de … … … … i a… … .… … … ete o TA … … … am D… iefim … … … pl e wr C …… D…E … … … ex … Bdr T … … 20 … mfice om … … … … … ur … an … … AL… … … gOf ec … … … … … yo … te … … IC … … s…f … eishoifn ob … …… … r of … ..Da … … …ED…… ……pi… e … am n (T . r u M … … … . … …1 co… IhSe O … … … vo … .... … … Nfu er. T… 11 … … … t …four …-TH … … … fa … .... … … ur /h … RT …’’ of … … … the … . … … yo im A…R … yp…e …A PA t … …… … est … …… … ……d of by h P… …… se … ‘’ re N atu … he n … u … … om ea … … db Fr …… e… req … …… … on t …a ined … ……(P…l …CTIO Sign e t e sR … o th e to …… … …… tal … sta ce… nce … SE… pler’ a mfic exin T hav e… …… … spi … y su oli ffe … … cOof oulot th c l I am ess … /Ho …… jur to p d o … … tion e a c s doicb nogf nu … N ddr …… ou … y in ort lege …… … Sta M- (eTStrartyei m…a …E A … to y … dil rep al … …… ing B a…l T … S 1. ca .… … ent …… f bo e the … … nd in S… IL NA ig ..… S … t o tim s of …… … ma U …I… or ..M TA M l … ten and tail … …… om e … E th ON …XA nera D ex ate de … … er C e m E L I f … D rie …… … fic A . G .…… fro CT 2 f C … s … I B … … O E e … ce pi S ED … … e of n … e… co HIS M G m

see upate info zaidi Bonga na hawa wainwork kwa kesi za a eir sh si jin juu ya a: an pig ku a am ’ ‘assault 300 NAIROBI P.O.BOX 7483 - 0003 874191 02 254SIMU: 4221 MOBILE: 0734 87 0727 773991 ria.or.ke info@kituochashe : EMAIL ERIA KWA INFO! BIG UP KITUO CHA SH

23

20.d - Charlie Pele  

Chapta 20– Charlie Pele(P3 form)

Advertisement