Tuna enda
Tunachelewa na hakuna matatu?! Tuanze kutembea!
Tuna enda so-ko-ni! Tuna enda so-ko-ni! Nyamaza na hizo nononi zako! Kwani una-enjoy sokoni?
Ngoja baba. Naona matatu inakaribia.
Wacha kurukaruka kwingi Charlie! Kusanya vitu tutauza sokoni.
24