wooooi, woi, woi...
Ati mbegu gani?
...nitafanyaje na hizi seeds sasa?
sigh
mambo? una-do nini na hizo seeds?
24
nataka kuziuza sokoni...
daddy!
lakini hizo seeds zake ni
tunge-make doh poa kama tu tungekuwa na good variety seed.
zile shiny za dark brown...
sasa... maisha yangu ilizoroteka lini?
nakumbuka nikiwa kijana...
...ndoto yangu ilikuwa kutembea kila mahali ulimwenguni...
...nikipanda mimea kila mahali niendapo!
lakini sasa, vile maisha inaenda, itabidi hata mimi nianze kucheza game chafu!
25
nitachoma hizi seeds hadi ziwe brown na shiny!
halafu nitakuwa na vifaa vya kuuza sokoni!
na vile nazipenda!
asante, baba!
sikukupikia!
na vile hizo njugu ni mbaya!
26
oho! ndiyo huyo baba charlie sasa amefika sokoni...
seed poa! Nunua seed mzuri hapa!
mzee, kweli una certification ya kuuza seeds?
madam, siwezi kudanganya. hizi seeds hapa ndizo zimesimama katika mkoa huu wote! ngoja ucheki vile mimea zako zitakuwa kubwa!
muda si muda, twampata baba charlie nyumbani akichungulia kwenye store...
ha! mimi si mjinga kama wale watu sokoni. nimeweka seed zangu hapa kwa store, ndio nisipoteze pesa kwa kununua seed mpya!
27
ulisafisha store kabla uweke seeds? nimerogwa na majirani wenye hawataki kuniona nikifaulu!
no.
ulitumia lids kufunika containers? ulidisinfect storage container zako?
labda kuna sababu ingine, baba...
na nyinyi mnajuaje hizo stori zote za seed storage?
iko kwa shujaaz ya this month!
mwizi!!!!
28
la.
hapana.
ndio huyo mzee yule aliyetuuzia seed mbovu!
woishe, mbuyu amepatikana... labda next time hatajaribu stunt kama hizo...
si mimi! aki!
Ili uwe na
Pata/nunua mbegu zako Kausha mbegu zako healthy seeds vizuri kabla ya kuzi-store na kutoka kwa mahali pana aminika. za kupanda... Wakulima wamekubaliwa kuuza u-test chache kwa kuziweka mbegu wenyewe kwa wenyewe sokoni ndani ya tissue paper iliyo na kiasi au nyumbani kama hazijafungwa kwa paketi, cha maji. Zikianza ku-germinate baada ya lakini kama hizi mbegu zimefugwa, zitahitaji siku chache, jua seeds zako ni healthy na kuwa na certification kutoka kwa Kenya Plant zitamea vipoa. Health Inspectorate Services. Safisha na u-disinfect pale uta-store Tumia mbegu safi zisizo na diseases ili mbegu zako kwa kutumia pesticides. Uliza upate mavuno poa. agro agent aliye karibu juu ya dawa za kuzuia wadudu unazoweza kutumia. Ili kuzuia diseases zinazo-spread kwa mchanga na mbegu, tumia crop rotation kwa Store mbegu kwa air-tight containers na kwa pahali safi, dry, shamba yako na u-maintain usafi. penye ventilation poa na hewa baridi. Panda disease-resistant Hii itasaidia kuweka mbegu zako seed varieties ili kupata mbali na viini na wadudu wanaoweza mavuno ya juu na mengi. kuziharibu. Unaweza weka mbegu hizi kwa Treat mbegu zako gunia mpya au iliyosafishwa. Kama utana dawa kabla ya kuziweka store kwa gunia, iweke juu ya platform kwa store ili ku-improve i n ie s ya mbao, sio chini kwa sakafu. quality ya mbegu. a Ro 29 Uncle w ! seeds pro wa