Safari ya ocha! si tuite mbuzi phyllis?
phyllis si jina poa!!!
ai... lakini nadhani ana-miss yule mtoi wake mwenye phyllis aliuzwa... ni jina poa!!!
yenyewe... labda angekuwa mlafi vile phyllis hukuwa...
haitwi phyllis!
na, umesahau, labda amefuata kwa babake... kama vile, kwetu, grandfathe ni mpoa shambani...
Sijui watoi wake watakuaje...
24
...lakini grandmathe haku-like stori za shamba... ...na mbuyu hujaribu lakini inakuwanga ngumu kwake...
baba chaaaarlie!!!
Mzuri Jirani, lakini mwezi huu, sijapata mavuno poa!
baba charlie... mapya?!
nimetoka kumtembelea dadangu huko kabate-ini. huko mimea yao yote zime-grow.
sijui nini imeniharibia ...
kabate-ini? grandfathe anaishi huko! si twende??!!!
najua atatupatia seeds tukimuomba...
si uende huko utafute mbegu poa?
eeeh.... sidhani...
grrr... yenyewe, angalia hizi crops...
lakini hatukai!
yeeeeeeiiiiii!!!!
25
sawa basi, tumefika...
aki baba, hatuwezi kuja kukutembelea tu?
baba!
sema, grandfathe!
shamba yake inakuwanga poa... kijana!!! ni nini inakuleta hapa??? usiwe umekuja kunisumbua...
nyamazisha mdomo yako, charlie!
ah, charlie! umemeleta charlie!!! habari yako, mtoto?
niko poa!
pah! huyu babako akiwa mkulima, huwezi tarajia habari njema... lakini nitakupa my finest crop, ukifuata instructions zangu... nilipatia babako mbegu mzuri sana, akaiharibu!
26
tumekujia mbegu za sorghum juu zenye ziko home zime-spoil!
oho! mbuyu! ilikuwa ile time ulisahau ku-buy pesticide shamba ikaliwa na army worms?
hapana.
na ile time hauku-store seed vipoa ikaliwa na weevils?
hapana.
na ile time...
sasa wacha nikuelezee jambo kuhusu jamii... sorghum ndio hii!
oooooh...
ukichagua mbegu poa, utapata mimea poa na mbegu poa baadaye...
ni jamii... wazazi wazuri, watoto wazuri...
hivyo hivyo, unavyolea hii mbegu ni muhimu sana...
27
uki-select seeds uki-select seeds zako, chagua the zako, chagua the best, si zenye best, si zenye zimeoza ama zimeoza ama zina shida zina shida yoyote... yoyote...
unapo-select,tumia tumia unapo-select, kanguomu-mark mu-mark kanguo plant ambayo plant ambayo umechagua. funga umechagua. funga hiyocloth clothkwa kwa stem hiyo stem hiyoplant plant- -ndio ndio yayahiyo isikupotelee isikupotelee shambani. shambani. kwamimea mimea kwa kama sukumawiki, wiki, kama sukuma ngoja itoemaua maua ngoja itoe kabla kuichagua. kabla kuichagua. utapatambegu mbegupoa poa utapata usipochunialeaves leaves usipochunia plant zazayayaplant umechaguakabla kabla umechagua mavuno. mavuno.
baba babacharlie! charlie! nilikuwa nilikuwanimekuja nimekuja huku hukukwote kwote kumtembelea kumtembelea dadangu, dadangu,lakini lakini hayuko! hayuko!
sasa shika sasa shika hii hii mbegu, mbegu, charlie, na charlie, na uitumie uitumie ku... ku...
sasa sasa huyu huyu ni...? ni...? huyo ni rafiki huyowani mbuyu! rafiki wa mbuyu!
28
ametupataje? ametupataje?
ooooh, wewe ni baba wa baba wa charlie? habari yako?
ehm... sijui kama naweza kuwasumbulia lift...?
ehm... kuna vile tulikuwa tunajitayarisha kurudi nyumbani, tusishikwe na giza njiani, so labda hata wewe u... aki baba tutachelewa charlie! kufika unani-let nilidhani nyumbani! down! ulikuwa na nguvu kushinda hii!
huff! huff! huff!
hahahaha!
na si tupitie sokoni ninunue vitunguu...
mbegu poa = Ukitaka mavunomavuno poa! try hii idea na poa, panda u-show DJ B, sms kwa mbegu poa. 3008!
UNA UTAV NDA! A P O LICH
U
Chagua za size moja zenye Toa mbegu zenye
hazijaliwa na
zimeoza na zenye
ma-insect.
zimevunjika
big
kwa ana up s wa ik b a ! c yote info
29