Akiba ya Charlie e-heee! Ninawaona mko shambani?
jirani mwema! habari yako?
Charlie! Usidanganywe! Unapoteza muda na mifugo!
... ala... kuku?
* = Soma hii risto kwa Chapta 9 ya ShujaazFM comic. www.shujaaz.fm
niko poa! nimeona niwatembelee tu...
Ugonjwa ilimaliza kuku wangu wooote bwana!* Sasa mimi ninalima tu, unajua mimea haiwezi kukuangusha!
25