Page 1

Majuju Za Sangoma Tena?! ...halafu na-get ball mpya...

...plus njumu poa za ball...

...jersey ndio hiyo!

...hata naeza buy ndege! ...pia na-buy tractor!

aki siwezi ngoja!

na hii dooh yote... utapata wapi? sweet potato zimeiva! twende tuzicheki!

25


oho! charlie amefurahi kweli kweli! tazama sasa baba charlie, ambaye wakati uo huo, anaelekea nyumbani...

sasa taabu...

hm...

tukizingumza, labda tutapata suluhisho... njia ya kusaidia watoto wetu...

labda niende kwa wale jirani...

haiya! mtego!

26

watasikizana aje? wataishi aje?

anataka kuoa msichana wa kabila ingine...

bila shaka, maadui wangu wanadhani wamenipata! lakini WAPi! hahaha!

lakini... hii ni mtego ya aina gani wameniachia?...

sio shimo la nyoka... ...na sio cage kama ya ndege...

labda ni... sangoma saidiaaaa...


...nikaona hii shimo njiani kama trap inaningojea...

nakuuliza, sangoma, hii ni uchawi gani hii?!?!?!

...nilikuwa natembea hivi...

kweli...

...ni karne mingi tangu nione uchawi ya hii kiwango...

...naombea nguvu za kuikinga inavyostahili...

27


muda si muda, charlie na rosie wanafika shambani! ...labda hata tunaweza kuonja sweet potato moja saa hii...

aaaaaah! sweet potato zote zimeharibika!!!

usijali, charlie-uncle atakusaidia...

ndoto zangu...!

28


ulikuwa umeziacha shambani sana...

naweza kukuonyesha method yenye mimi natumia ku-store sweet potatoes ili zisioze shambani...

hiyo ndio sababu sasa zimeoza...

niliziacha hapa kwa sababu niliambiwa ukizitoa mchangani ndio zinaoza haraka...

method yangu inazikawisha...

kuja nikuonyeshe...

29


hizo ni sweet potatoes zangu!!!

kanyanga yote, sangoma!!!

...sema nini?

mnafanya nini?!?!?!?!

kujeni hapa mnilipe!

lipeni!

Mnakumbuka vile tulipanda new variety sweet potatoes? Cheki Chapta 5 www.shujaaz.fm

1.

Chimba shimo kwa mchanga, penye maji haiwezi fikia.

3.

Sasa panga sweet potatoes zako zote hapo ndani. Then, zifunike na nyasi imekauka.

2. Weka nyasi imekauka Usiache sweet potatoes kwa shamba kama zimeshakuwa, zitaoza, zitakulwa na wadudu, na utapata hasara. Jenga store

30

ndani ya hiyo shimo. Hii nyasi itakuwa kama cushion ya sweet potatoes, na pia inanyonya moisture kwa shimo ndio sweet potatoes zisi-spoil.

kama yangu na uta-make dooh juu utauzia wasee during low season!

Try hii idea na u-show DJB kwa

3008!

4. 5.

Jazilia hii shimo na mchanga.

Mwishowe, jenga roof thatched [ile ya nyasi] ili pawe cool, pasipigwe na jua. Hiyo space imebaki katikati ya roof na mchanga ni ventilation.

16.d - Charlie Pele  

Chapta 16- Charlie Pele: Majuju za sangoma tena(New variety sweet potato)

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you