Skip to main content

14.d - Charlie Pele

Page 1

Amenipa juju!

Shangazi yako ametuma msichana mzuuuuuri kutoka kwetu...

lakini sitaki huyu msichana... hata sijui jina yake...

sasa taabu unaninyima wajukuu??? ni nini na wewe??? kwani uko na msichana mwingine???

...ehm...

si dame wake ni purity???

25


Ala?! Sikubali!!

purity si wa kabila yetu!!!

umerogwa! usiogope, taabu! nitakusaidia!

Nawaambia kila siku, hawa jirani wetu ni wachawi!

ehm...

ni nini inasumbua mbuyu? mimi sijui...

na wewe! mbona unaniuza hivyo?!?!

aki pole...

umeniletea mazuri? hodi! siku mingi, sangoma!

ingia... aaaaah... kuku! basi! niambie shida yako!

26


ni kijana wangu... amerogwa na msichana wa kabila ingine...

fanya hivi... mwaga hii dawa kwa chai ya kijana... uchawi wa hiyo kabila ingine itaishia hapo pap! na atampokea msichana uliyemletea...

taaabuuu!

huyu taabu ameenda wapi? Wacha nimdanganye na hii chai. hehehehe!

ooooooh... chai! vile naskia kiu!

27


charlie! Umekunywa chai yangu!!

ati... Sasa unakunywa dawa za uchawi! Utaanza kufuata ng'ombe!

by the way... dawa za uchawi?

wololo... ni-excuse-ini please! tumbo yangu inauma...

28

si-feel poa...

Ati dawa za uchawi? Sasa unaniwekea uchawi kwa chai?!?!


lakini umerogwa! najaribu kukusaidia!

nimeenda!

sihitaji usaidizi wako! nampenda purity na hajaniroga! Utaacha kuzishia majirani lini?!?

taabu! unaongelesha babako hivyo!?!? Hautarithi mali yangu!

Hii stori ya ukabila itabidi uache!!! hawa watu ni marafiki, hawana ubaya na sisi...

taabu! kwani utaoa bila kufanya kimila??

29


UAMUZI NI YA WASEE WAWILI… “Nimekuwa na Annette since 2008, ni dem mpoa na tunaelewana sana. Nina plans mob sana na yeye. Nilim-introduce home na at first na mother yangu hakufurahia coz Annette ni wa tribe different.”

“Hakuna mtu kwa family yetu ame-date msee wa tribe different, na aliona nafanya kitu strange. But ameona Annette ni dem mpoa na akam-like!”

“Ni politicians ndio huleta ma-differences kati yetu, lakini, hakuna difference kati ya wasee. Nime-learn so much from Annette, na sina regrets!

Kenya ni ONE!”

Ukiwa kwa relationship, cheki qualities za personality, tribe si muhimu.”

30

“In my family, kuna intermarriages mob na tribes different around Kenya. So, nime-grow nikijua all people are the same na other people have much to offer.

ANNETTE & JARED

Annette: 22 Kutoka: Kakamega Jared: 23 Kutoka: Oyugis


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
14.d - Charlie Pele by Shujaaz - Issuu