Page 1

Nyamazisha Kelele!

eish, charlie! unangŠ ara sunday-best tuesday?

Field ya ball ndio base yangu sanasana, lakini budangu ni mkabila vinoma, I hope kuna siku ata-change‌.

kwani unaenda wapi?

naenda kwa funeral.

nyanya wa rosie ameaga dunia...

24


dere, speedisha!

sitaki kuchelewa kufika mazishi...

Na nimebeba ka-kitu za kuwapa wananchi...

nimekuja na habari nyingi za kusema! elections zinakaribia, na ni lazima niingie this time!

hehehe!

ni yule campaigner mwingine! dere, kanyaga mafuta!!!

25


ei! kuna campaigner mwingine nyuma yetu!

asanteni kwa kuja kumzika mama wetu... tumeshukuru.

tuombe.

26

itabidi niangushe dooh zaidi...


nipe hiyo mic!!!

hapana.

wasemaje ??? ati nini?!?

usikubali pesa hizo ndogo za huyo fala hapo... nipe mic nikupe zawadi ya maana...

sema, rafiki... niko na zawadi yako hapa ukinipa hiyo microphone nizungumze na raia kidoooogo tu...

hapana.

kama una ujumbe wa kupitisha, jipangie mkutano wako mwenyewe.

27


ahem!

sawa.

nimewaacha. naweza ku-respect maagizo yenyu. poleni kwa kifo...

aaaah, mimi siwezi kuenda kabla nisikike!

hatuwezi kubali kunyanyaswa hivi!

serikali imetusahau! mkinipa kura zenyu, nitawarepresent vipoa...

watu wangu, najua mnataka kupata ujumbe wangu wa leo!

nitaleta development funds hapa hata sisi tuji-enjoy kidogo...

election ziko around the corner! ni lazima tuungane...

28


kuna nyoka nguoni!

mmenirogaaaa!!!!

dere, tuhepe! Hawa watu ni wachawi!

Viongozi wengine hawana tabia! ndio! Leo, ni siku yetu ya kuomboleza, sio mahali pa campaign! Tukatae haya mambo kabisa!

E URC A O S A Y A M AHAKI N MPS E WAN : G I N O N G E A me-organise N E W KU ye wa n e y o n mikuta a w gea. K n o • u k . ed ke. we wenye ekuwa invit ya chama ya o a am m a ikutan K m a • n se rally ma? Ni poa ku-uam a • Kwa Mnaonaje hii noha hi is az m , si s kama ru

function a campaign? Tufamily meeting akwkwa Facebook [DJ debate hii nom, sms views zako kwa Boyie Fanpage] 3008!

wacha ni sms dj b kwa 3008 nimwambie hii risto. leaders lazima wajifunze kuheshimu wananchi.

29

13.d - Charlie Pele  

Nyamazisha kelele (politicians ambushing funerals)

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you