Page 1

inspiring kenyan youth

not for sale web fm sms

chapta 17 comix


Nuks Ya Family

3


4


5


6


7


WILL

ni legal document ambayo Inasema mali Ya msee itarithiwa na nani.

MSITISHWE! Law of Succession Act, Land laws na Land Controls Boards na constitution mpya ina-protect watoi na ma-husband au wives wenye wamefiwa.

KU

NA VILE UTAFAN Article 68 c) iii) YA‌ Inadaisha, new matrimonial property Bonga vipoa na mzazi achore wi legislation inafaa i-enact-iwe. Hii ll, yenye inasema clearly, land itarithiwa na ita-prevent wasee kuchujwa kwao na ni. juu ya kutokujua kwa wengine [hata Atachora mbele ya witnesses wa ma-relatives!] wili. Mzazi na witnesse s wote wana-sign na kuandika date hapo kwa wi ll at the same tim SHERIA e. Witnesses wataandika tare he, address na INACHUNGA occupation zao. Mzazi ataweka wa LAND YENU! see ana-trust, nd io washikilie hiyo land ama pr operty, hadi wa toi wafikishe 18 years ama vil e mzazi ataamua. Tafuta info zaidi kwa Hiyo will itabaki hawa wasee: kwa kampuni ya huyo lawyer, na itafunguliwa Kenya Landowners & mzazi aki-die. BIG UP KELA KWA INFO YOTE!

8

Wale wasee wana sh watapata barua ye ikilia hiyo land, ny inawakubalisha ku e shikilia hiyo land ama prop erty. Bonga na maper o wako juu ya kuandika will!

Land Users Association

Tel: 020 2643326 info@kenyalandowners.org


Malkia Mchungaji

Imagine katachujwa juu ya fees! Hahaa! Ebu amalize kuongea na hiyo simu haraka. Wee kumbuka credo si free!

Acha aongee, si amekubali ku-copy notes zako Jipesh!

Ah, saa hizi niko mbali. Panda bus uende kwa Shosho yako, nikirudi nitawapa cheque.

Wazi!!

Hallo, mum? Haukuwa umelipa fees? Imagine wananifukuza!

9


HUKO OCHA… Shosh, nina ubao sana na nishafagia. una bidii sana siku hizi! Kuja unisaidie na hii kazi ingine.

Wale mbuzi wananisumbua, utakaa hapo uchunge wasikule matawi ya viazi.

Ukimaliza hiyo, ndio utarudi kula, hata yule kijana Erico alisema atapitia kukusalimia jioni. Ningekuwa wewe, ningeharakisha…

Sasa Shosh ananipa job gani hizi! Afadhali nimalize ku-copy hizi notes za Jipesh before Erico akuje. Msuper nimekuletea gift…

10


Book ya Jipesh!!

Jipesh atanimada!

Ssss! Kweraa!Nitawatolea stylez za John Cena! Na vile tumbo zenu ni chafu hadi minyoo wanavaa gumboot!

11


na huyu mbuzi ni mahuru! endeni!

Sasa mnanifuatia nini? Ntawarushia hii mavi yenu msinicheze!

Ntawapaka mavi, mi siogopagi!

!!

KOFF 12

mahuru kwa sheng dictionary. cheki meaning ya m


Wazi!

1 chkua Mbolea ya mbuzi

2 ongeza maji na u-m ix

Wacha niipake kwa hizi leaves za viazi nione kitu mbuzi wata-do!

3 paka kwa leaves

13


Ala! Si hiyo ni voice ya Erico!

Eh, unajua…sijui amepitia wapi…lakini bado hajafika.

Ok, akifika m-show nimemsalimia sana.

Kwaheri Shosh! Na umeoga na nini hiyo?!

JARIBU HII IDEA NOMA!

Unasumbuliwa na wanyama kulamatawi ya crops zako kila time?

Hii method ni poa ya ku-protect crops zako.

Wanyama hawaezi kula leaves mimea ikipakwa mavi yake! ya

kumbuka kuosha vegetables vizuri kabla ya kupika au kula ndio usikuwe m-sick

Wanyama kula matawi: • Husababisha crops kufa. • Unapata hasara. • Pia ina-waste time Umetumia njia yako mob, juu inabidi gani ku-protect crops zako? uchunge mimea! Tuma sms kwa

14

3008 u-share na DJ B.

Unaweza paka mixture ya mavi ya mbuzi na maji kwa leaves za: • Cassava • Mahindi changa • Seedlings za miti

DJ B, kuna njia nyingi creative sana za ku-protect mimea. Nili-save viazi za Shosh na hii idea simple.


Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Content producer: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades | Vincent Mbithi | David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout design: Stefanie Freccia | Joe Barasa Art: Daniel Muli | Eric Muthoga | Naddya Oluoch-Olunya | Noah Mukono | Joe Barasa Radio: Eunice Maina Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

MCHONGOANO Una macho bigi hadi uki-blink ndani ya nyumba, buda wenu anakuambia ‘Wacha kucheza na stima.’ Idda Dickson* Kwenu mko wengi hadi nyi hukula mkitumia register. Ati nyinyi ni mafans diehard wa Man-U hadi mathako hujiita Mamatov! Ati mmesota hadi mko na fee arrears kwa Sunday school. Wewe in fala hadi unafail fail example. Keynes Dickson* Boyie amesota hadi simu yake, aki-confirm credit wana-show, ‘kama kawaida’. Wera Brian Nakitare* Ati wewe hupenda kula loaf hadi mbu ikija kukuuma hu-come na blueband. Dennis Dos Shadrach* Niaje DJ B, nasikia budako ni hustla hadi akitoa viatu zake anaziekanga up-side-down ndiyo zisiishe. Julius Ceasar* Ati wewe ni fala hadi uli-fail baby class. Frank Meewoh* Una macho red hadi ukiangalia nyama kwa butchery inaiva. Idda Dicson* badala wale Wewe ni Ras sana hadi ukiwasha phone yako ya NokiaTrafford * wasee wasalimiane huwa wanagoteana. Edwin Young

* = T-sho

SHENG DICTIONARY 1. Akamero - Garbage truck 2. Alutas - Miraa 3. Bozo - Fala* 4. Brazza- Brother 5. Choche - Shortcut 6. Kamtisa - Ugali 7. Kipima - Njaa/Unenge 8. Manjia / Tiko - Bus fare 9. Mauru/ Mahuru - Kichwa ngumu 10. McCain - Looser 11. Tortoise - Msichana mrembo *David Muiruri umeshinda T-sho!! 15


16


SHUJAA OF THE MONTH! Jina: Edna Guto Age: 23 years Base: Mlolongo

17


Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Shule Poa neema, form ndio hii. tukiijaza tuna-enter hii compe ya “shule poa�.

Tuta-win kweli? Shule yetu ina shida MOB! Cheki class zinabomoka, hakuna books enough...

neema! peleka hii kitabu kwa ofisi ya headmistress! yes sir!

18

maria, you are so lovely! kwanza kashingo... smooth!


19


Teacher wa Mathafu huwa hakuji. Wasee huwa wana-fight na ku-make noise during hii lesson.

But nimechoka! This time naenda kuwa-report kwa headi! Hatuwezi kuendelea hivi.

hii upepo ni mob aje leo? manze! hebu tusonge huko.

kuna ma stude hapo ndani!

20

tusaidianeni tutoe mastude wako trapped hapa ndani! enda ulete first aid kit kwa headi!


thanks! bado kuna dame moja huko ndani!

hakuna first aid kit kwa ofisi!

haiya! imewaka moto!

aki chunga!

j.k! enda ulete fire extinguisher yenye huwa kwa class yetu!

hakuna any!

21


p.

Cheki back cover kumsaidia Maria Kim ku-translate ‘ upelelezi’ kwa English!

22


SHULE POA!! Kuna vitu mob positive unaweza do ku-change situation yenye shule yenu iko. Kuwa reporter wa Shujaaz.FM utu-show maoni yako.

niko poa! nimeona niwatembelee tu...

Charlie! Usidanganywe! Unapoteza muda na mifugo! ... Lazima tucheki

safety kwa shule ala... zetu, ndio tusome kuku? vipoa!

WENYE BEST REPORTS KUMI WATASHINDA

SCHOOL BAG NOMA JO!!

Chagua title moja kati ya hizi:

na s, ni: d r i jirani wo o ch 0 mwema! 5 ap Deadline ya habari a 2 iko h yako?compe ni 13 n we ss september iku ddre 2011 y sa a es kwa o Email: djb@shujaaz.fm Hiy tume iu DJ B,

P.O.Box 1700 00502, Nairobi. Kenya. Kumbuka kuandika JINA, AGE, DISTRICT na NUMBER YA SIMU.

* = Soma hii risto kwa Chapta 9 ya ShujaazFM comic. www.shujaaz.fm

Manze, ni kama tutahata hii compe. Shule yetu ina issues mob tu sana! Imeprove-iwa ati shule ziko safe, pia zinaperform better.

k

1. sh Sh tu u ul m le e y ef po e an a tu ya kw n hi a i vi‌ sa

okay, twende.

Ninawaona mko shambani?

bu

a id h s a i‌ in hiv tu a ye any e f ul uta h S it 2. kin la

e-heee!

aa

h ad

ba

maria kim, ume-do enough leo. kesho pia ni siku. come nikusindi home.

Ugonjwa ilimaliza kuku wangu wooote bwana!* Sasa mimi ninalima tu, unajua mimea haiwezi kukuangusha!

24


? a o p le u h s i n u n e y Shule kama shule Fanya hii quiz u-find out

NDIO Chora

yenu ni shule poa…

Hapana kujibu haya

ama

1.

u ina In case moto ianze, shule yet

2.

Kama accident imetokea, shu

3.

Walimu hu-attend lessons na

4.

Uko safe kutokana na sexual

5.

Facility zote za shule [choo,

maswali!

tumika kuzima moto.

fire extinguishers zenye zita

ined first aiders.

le yetu ina first aid kit na tra

Email: djb@shujaaz.fm DJ B, P.O.Box 1700 00502, Nairobi. Kenya. Kumbuka kuandika JINA, AGE, DISTRICT na NUMBER YA SIMU.

hawachelewi.

ude.

abuse kutoka walimu na ma-st

on poa.

clasrooms], ziko kwa conditi

yenu ovyo ovyo. na walevi hawaingii kwa shule Wild animals, wenda wazimu n! yako na ucheki results hapo dow Sasa fanya TOTAL ya majibu h

6.

c Chapta 18 next mont Usi-miss Shujaaz.FM comi za kuwa Student Mpoa!! unawe vile ya juu ps ti kupata

24

NDI

A UMEPATA RESULTS MARA THAT! KAM situation. oja muone way ya ku-improve pam e mak a a kadhaa, na lazim poa. e shul e ikuw NDIO 1 – 2 : Shule yenu ina shid ndio e mor try, lakini mnaweza do gine! NDIO 3 – 4: Shule yenu imeDJ B ili mu-inspire mastude wen kuwa poa! Share tips zenu na izidi na tain main mui, sana O 5 – 6: BIG UP! Mna shule poa


Akiba ya Charlie e-heee! Ninawaona mko shambani?

jirani mwema! habari yako?

Charlie! Usidanganywe! Unapoteza muda na mifugo!

... ala... kuku?

* = Soma hii risto kwa Chapta 9 ya ShujaazFM comic. www.shujaaz.fm

niko poa! nimeona niwatembelee tu...

Ugonjwa ilimaliza kuku wangu wooote bwana!* Sasa mimi ninalima tu, unajua mimea haiwezi kukuangusha!

25


26


baba charlie anataka tuuze kuku juu ati mifugo si investment poa...

aaah, poleni... Mnajua siku hizi, vile weather imebadilika, wakulima wengi wanajaribu mimea, na pia mifugo tofauti. Watu wana-change mazoea, na mwishowe Charlie, itabidi baba yako pia a-change.

Wazi! Nita-buy mbuzi na na maize seeds. Ndio moja iki-fail, ingine iokolee!

Mara hiyo hiyo!!

mbuyu atajazzika!

27


kaeni na wanyama zenyu... livestock zenyu zikishikwa na kwashiakor msinililie!

nyinyi watoto watundu! hawa wanyama wanafanya nini hapa???

Baba, si tumeleta mbuzi na maize seeds ndio mahindi isipomea, tutegemee mbuzi!

oho! baba charlie ameenda kulima mbegu zake, nao charlie na rosie wanamlea mbuzi! ukulima wa nani utafaulu??? Lakini ka-mbuzi kanaji-sort na nyasi‌ hana shida!

wah! kuna joto siku hizi!

mpaka maji haishiki kwa hizi mimea! koti yangu haitoshi kuzipa shade hizi mimea! aaah, hii ni shida!

na amenona siku hizi!

28

miezi kadhaa zimepita na hii competition inakaribia tamati...


...mpaka, siku moja... Haiya! Ka-mbuzi kana mtoi!

no wonder alikuwa ame-gain weight!

habari zenyu, watoto? daddy ako home?

eh, ako pale shambani...

woi!

Tumekuja kukudai!

Tafadhali muelewe!

Mvua haikuja vvile nilitarajia, sina mavuno, sina pesa.

wewe,

LiPA! I swear, mwezi moja tu na ninalipa!

Wee! Hii ni mara ya mwisho, ukikosa!

kama ni pesa unahitaji, si tuuze hiyo mbuzi mpya...

Si nilikuambia! Sio poa kutegemea kitu moja tu!

29


Mifugo inakupatia Mayai...

Sawa! ...nyama ...

...Maziwa, unaweza kunywa ama uuze upate dooh! Ama ukisota, unaweza uza mifugo, ni back-up poa sana!

LIVESTOCKR!

yets!

woohoo!

ITAKUPELEKA FA

Invest kwa mifugo na itakupeleka mbali!

Manze, livestock ni kitu unaweza rely nayo. Kuna time, 2009, kulikuwa na kiangazi mwadhara nika-lose mimea yote, lakini mifugo walibaki na ndio nika tegemea!

Rosemary Wan

Base: Nakuru

30

Hawa ni fans wa DJ B Facebook, na walimshow vile ufugaji imewa-save!

Mimi hufuga kuku, na imeni-help sana coz sometimes nahitaji dooh faster na ni mwezi-corner.

CAHNET wana info mob juu ya mifugo na wanabonga na wakulima kila time. Pata info mob kutoka kwao.

sms CAHNET kwa

gari

Saul Okonda Base: Kericho

0713 214785

Unaweza ku-rely kwa livestock Jaribu Ufugaji na u-share na DJ B kwa

3008!


Soma hii risto kali ya Maria Kim kwa page 18!�


17 - Shujaaz.FM - Chapta 17  

Chapta 17 - Full Comic