Kwa hii Chapter, Manlike Kalito anakopa Boyie doo akapige biz ya kuku alafu anakuwa conned. Malkia anaplan kuanza biz ya kuuza terere. Chuxx anajipata kwa ngori after kuhepa na deni ya msee. Pia kuna a special stori ya Shujaaz fest featuring Dr Jill Biden. Cheki!