Page 1


2


3


4


5


6


7


8


9


10


11


12


13


14


15


16


17


18


baAdaye, usiku...

maria kim kwani show ya djb leo iko radio maisha ama milele fm?

djb huwa milele fm sunday saA mbili usiku. lakini... si leo ni sato?

eEeh.. leo iko radio maisha. saA hizi kwanza, saA moja hadi saA mbili usiku!

aha! nime-get!

FinalLy, Naleta ShujaAz KonNect Event mtaA iko karibu na wewe. Na nimekuwa nikipata maswali mob sana kutoka kwa mafans wakiuliza what ShujaAz KonNect is alL about! Man, it’s alL about form imejipa. The only youth event where you come and share your raw ideas and leave with life changing ideas! Na juU kuna demand mob sana, inabidi ukuwe invited ndo uweze ku-atTend. Cheki FB page yangu vile unaeza kuwa invited.

lazima twende! shujaAz konNect sisi hao ndani!

19


shujaAz konNect event hio weEkend...

maria kim na brayo!! mi hukusikia tu, leo nimekuona live! karibuni sana!

thanks! ka-selfie lazima!!

si hao ni maria kim na bryo?

maria kim! come tucheze game ya hela hela

20

eish! hii game ni poa! Inafunza vile ya ku-manage doh!


studio! twende!

karibuni kwa studio. hapa tutawa-record, na kuna chance utatokea kwa show ya djb ama social media yake!

aki?!

auUuwi! speEd dating! tuingie tuone!

jina langu bryo! nachora mistari ka biro! hapa ni shujaAz konNect, form imejipa!

ey! bryo! utakuwa m-famous!

yuk! hizo ni zenu! mi naenda ku-dance! wow!

karibu kwa speEd dating! hapa unaeza get date in only 3 minutes!

21


vipi mresh! naitwa hH, yaAni habil hodari, na na-feEl lucky sana kuwa na wewe hapa! tuko na 120 seconds only, na ningependa zi-count!

huyu mseE ni m-cute!

ungependa kuanza? natamani sana kusikia voice yako!

Thanks‌ but niko sawa na wewe kutuanzisha!

bryo na esphan ndio finalists wa dance kompe! hebu tuone nani ata-win sasa!

kwa dance floOr kule nje...

kwa tent ya speEd dating... tuko na 29 seconds sasa. ni turn yako kuUliza last question! uta-do aje dem wako akiku-show ako na balL, na hauko ready?

22

Mini siwezi alLow my girlfriend a-get balL Bila plan. Love kwangu ni kuwa prepared, love ni kujali vile kesho kutakuwa kwa hii relationship.

True love huanza ata before muanze ku-have sex. Name Kwan hivyo lazima ukuwe name protection at alL times unlesS una-plan kupata mtoi. Kupenda mtu ni kujipanga for that love


23


24


25


26


27


28


29


30


31


32


33


34


baAdaye, debate club...

Now that the motion has beEn agreEd on, we neEd to agreE on who wilL play the speaker.

you! yes, you. maria kim!

no, I decline because I love the motion and would like to be one of the proposers!

I propose hanNah to be the speaker!

I acCept to be the speaker!

order! order! We have to nail this. Let’s do some thorough rehearsals.

Maria Kim, would you like to start us ofF?

35


sure! Madam speaker, honourable members, I stand here to propose this motion.

Madam speaker, to imagine that there is a single company out there which only employs men or only women is to be a stranger to the truth!

Education is uselesS if it can’t be apPlied! And it can’t be apPlied in the absence of efFective comMunication!

Madam speaker, opPosite sex relationships can be a great point of learning how to comMunicate to the opPosite gender, and it doesn’t have to always end up with sleEping together! That would obviously ruin things, especialLy in the event of pregnancy, luckily, there is something calLed protection! AlL smart girls and boys know about it!

wuUuh!! you have nailed it, maria kim!

36


baAdaye... eish maria kim!! huyo alikuwa ni wewe?

haha! hanNah, tuna-win hii debate! hakuna cha ati nini!

sikujua uko poa english hivo... ala!

thanks!

wuhuUu! maria kim!

by the way ile point ulisema hapo mwisho kuhusu smart boys... I am one of them, mimi!

maria kim, hoyeEeE!! hoiyeEe!

37


siku ya symposium...

we are ready to start debating the motion now...

your honours, I request we wait for just a few minutes, I’m sure maria kim s on her way!

38

I’m informed that we are waiting for one debater calLed maria kim. we can’t wait for toO long... hanNah, do you know where she is?


kidogo... judges, students... I’m sorRy, maria kim wilL not be joining us today...

but why, madam principal? what hapPened?

maria kim was hit by a bodaboda while on her way to schoOl this morning.

the acCident injured her leg, and she was rushed to a hospital. the doctors say we can visit her.

punda!! aAauUu!!!

We would be toO insensitive to continue with the debate with one of us in the hospital, in honour of Maria Kim, let’s postpone the debate and instead go visit her in the hospital.

And in honour of Maria Kim, let’s keEp thinking about her words, she would have put it, opPosite sex relationships in schoOl may ruin things, especialLy in the event of pregnancy, luckily, there is something calLed protection! AlL smart girls and boys know about it! Who wants to be smart here?

we want to be smart!

when do we want to be smart?

now!

ni protection aina gani unge-advice mtu ako shule atumie? tuma thoughts zako kwa 20308 ukianza na neno dILI, na unaeza jishindia KSH. 1000. kumbuka kutuma text kwa hii namba ni sare!

39


40

Chapter 103  

The biggest Shujaaz comic yet! Cheki ndani usome vile unaeza make dooh through poetry courtesy of Gufy Dox

Chapter 103  

The biggest Shujaaz comic yet! Cheki ndani usome vile unaeza make dooh through poetry courtesy of Gufy Dox

Advertisement