Skip to main content

04 - Shujaaz.FM - Chapta 4

Page 1

CHAPTA 4

Magangs wata-discover DJB ni nani? Maria Kim ana-search answers Charlie Pele atajishindia manzi na a-feed family yake? Malkia: Riot shuleni!


BOYIE BOYIE o z u? zile boyie...niaje doh zetu?

wku z a sina apa doh!..lakini a ide za at ! doh? mimi kuw pa ia d idea h! naweza wapatia za kuwapatia doh!

wacha upuzi!

3


nini nyinyi? kades sema!

wacheni kusumbua chali wangu. nyinyi mumezoea sasa, niliomba loan kuendeleza bizna yangu alafu mnataka kula jasho ya watu. fanyeni job acheni kutusumbua! ati tuchore bizness plan?

sisi tunakaa kuvaa suti?

wewe leta kichwa tu, lipa ama utachangaa!

tafuteni job! acheni kutunyanyasa! ishieni! mambo vipi? dj b hapa...shujaaz fm. nimepokea sms kibao toka kwa ma-fans ambao wali-apply youth fund na wakatoboa!..na kwa wale ambao bado mnakazana na business plans - walikuwa wapi nikikazana na bizness plan ya kuomba loan?

4


wacheni tubonge na msee mmoja alijikaza na sasa ametoboa...

hello kades vipi...

poa dj b! sema...

nataka utu-show vile ulitoboa kupata loan.

aaah hiyo... niliandika business plan nikisema juu ya buzna yangu...

yaani nataka kufanya nini, nitauza vipi, bei, nitashinda aje ma-competition. yaani ni mpango wa kujiuza poa!

5


ala...si hiyo ndio kades alitu-show tukiwa na boyie?

alijuaje?

tumsake jamaa!

labda boyie ndiye dj B!

waazi kades. najua ma-youth wengi wameguswa na story yako.

wajikaze jamaa. maisha ni ku-struggle, lakini ukiketi tu fwaa hakuna kitu uta-get.

poa jamaa, story conscious kutoka kwa kades hapo...

basi tupate ngoma kiasi...

we, toto, wapi boyie? alitoka...alienda huko...

huko? wapi? hayuko home?

6


alisema anawatafuta eti kuna chapaa mnadai na anataka kuwalipa!

tukimbie jamaa...

na si boyie yuko kwa keja. phewks!

hadi next time jamaa... shujaaz fm. bye!

boyie...wale jamaa walikuwa hapa kukutafuta!

7


wale wa kutisha tisha. nikawa-show umetoka!

jamaa gani?

poa sis. nilijua tu wewe una ni save sana!

niliwa-show unawatafuta uwalipe doh zao za security!

Umewahi jaribu ku-sell idea yako kwa wasee ili kupata financial support ya kui-make a reality? Ni muhimu kuorganize ideas zako venye zitafanya watu kuwa willing ku-support. Bizness plan ni document inayo-show goals za bizna na vile una-plan ya kuzirealise. Ni njia yaku sell idea yako. Bizness plan inasaidia ku-develop idea ya kutumia dooh za kuanzisha au ku-grow bizna ili ku-make profit. Ina-explain vile bizna yako itapata capital, na venye products zako zita -manage-iwa na ku-market-iwa.

Jinsi ya kuchora bizna plan 1. Andika kwa ufupi juu ya business idea yako. Eleza mambo unique juu ya idea yako. Hii huitwa executive summary. 2. Eleza watu watakao-involve-iwa kwa bizna yako, qualifications na skills zao ambazo zitasaidia kuendeleza bizna. 3. Location: Eleza Sababu ya kuchagua location hiyo ya bizna. 4. Plan ya vile bidhaa zako zitamarket-iwa ukitumia hizi points: a) Ni kitu gani unique kita-attract cus-

ati! toto! umeharibu mambo sasa!

Re a l ya ko i z e d rea m bi z n a n a u ku z e bi z n e ya ko n a s s pl an tomers’ kununua bidhaa zako? b) Ni bidhaa gani customers wananunua currently kwa market, competition ya bidhaa zako ni gani, na gap yenye bidhaa zako zitajaza ili ku-meet mahitaji ya customers? c) Ni njia gani umetumia kujulisha customers juu ya bidhaa yako kama kuwa na fair price? d) Kama kuna uamuzi umefanya ulioletwa na ku-research juu ya market? e) Ona vile sales zitaendelea in the future ili u-make profit? 5. Finance- Predict mambo yale yatafanyika ili u-make profit au loss in the future. 6. Vitu zenye zitahitajika kwa bizna: a) Assets- Mali na vitu ulivyo navyo vya kurun bizna kama equipments. b) Capital-Andika kwenye utatoa dooh za kuanzisha ama ku-grow bizna Andika bizness plan ukiambia DJ B views zako on the story kwa SMS on 3008 or email: www.shujaaz.fm

8


...ati nilisikia ma stude wanataka kuchoma chuo...

ulisikia wapi?

n-n-nilisikia kwa shower, a-a-ati the princie a-a-a-ana stress watu...

sir, there is lots of tension in school. the students want to strike.

mazee knnoma, tu--show pinie!

strike... why!? jut when we are about to do exams! they say that you are too harsh. nani ring leader? find out who it is and report back immediately!

9


prefects wana-bully mastude pia.

kuna tension mob kwa chuo na wasee wanataka kustrike. shida ni gani?

ati chakula hakipikwi vizuri...? yenyewe hiyo sio poa

mambo underground wazeiya... sikizeni kila kitu.

ati kwani princie ana-stress kivipi?

hapa ma form 2’s wanatumonolise kila siku.

aaah bana, ukipatwa huja-tuck-in shati, unapewa suspension

pole form 1’s, kila stude ako na kitu ya kusema lakini hawaskiki.

mtu mmoja tu anaongelesha mastude

...it’s malkia!!

10


she ia also saying you are too harsh, she is addressing a meeting in the assembly hall

sir, it’s malkia who is leading the strike

she’s inciting students by telling them lies! loud mouth girl... she will know who i am!!

kuna tetesi nyingine niongezee kwa hizi kisha nipelekee principal hii list?

msiogope ongeeni freely

you see principal! you see!? malkiais inciting students to strike!

11


i will suspend the culprits!

strike?! in my school?? really!!?!!

Ididn’t know about any of this

ma-form 2’s wanaiba nyama zetu books hazitoshi! tuna-discriminatiwa sababu ya kabila yetu

sir, the prefects have not given you the right information.

if we can meet once a week and discuss our problems we can avoid such an incident in future.

we get stressed about exams and some students disrupt classes

ohhh... sikujua mna shida hivi... malkia, naona students kukutana na kusema shida zao mapema ni vizuri ili zitatuliwe. au mwaonaje? si muwe mkikutana kila wiki alafu naletewa ripoti kuliko kusikia fununu kuwa mnataka kugoma.

tutachagua ma-officials wa hi bunge halafu it will be made official.

12


School Council inaleta Democracy kwa shule Ni muhimu dialogue iwepo kati ya students na administration shuleni Ministry of Education ime-support ku-form-iwa kwa school council ili ku-replace prefects kwa shule in the next 2 years. Hii itafanyika kwa usaidizi wa Unicef na Kenya Secondary Schools Heads Association. Student representatives huchaguliwa na mastude, na kukutana na mastude ili ku-ongea juu ya problems shuleni.

Sababu za kuwa na shida kwa shule: a) Pressure ya ku-perform: Teachers na wazazi wanaexpect-students ku-perfom highly ili wa-enroll kwa machuo. Mastude hawana wakati wa kupumzika during holidays na instead huenda tuition. Mastude wengine huona masomo si important juu wanaona wasee wanamada shule na kukaa idle na unemployed. b) Maparo hawako involved kwa maisha ya watoto wao. Wanapeleka kwa boarding school na hawa-spend time na watoto wao. c) Bullying ya mastude especially monos. d) Prefects huwa wanaongoza kidikteta inafanya wasipendwe na mastude.

Faida za kuwa na school council kwa shule yenu: a) Inasaidia kusuluhisha shida za mastude kabla ya ku-cause demonstrations au strikes. 300 schools were closed down in 2008 as a result of unrest b) Students wanapewa power ya kuchagua leaders na play part kwa kusuluhisha shida kati ya students na school administration. Hii ni muhimu kwa sababu decisions zinazofanywa hu-affect wanafunzi. c) ita-improve performance: School council itasaidia ku-create atmosphere poa ya masomo na ya shule

Uliza headteacher kama shule yenu inaweza kuwa na school council. Tuma views zako juu ya school council on 3008.

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Bridget Deacon Art: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch, Movin Were, Joe Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio. Barasa Layout Design: Joe Barasa Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication. Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512 www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited. In collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.


Tunaweza soma na kuandika Uwezo Ilifanya research kwa 70 districts na ku-test watoto karibu 69,000 wa 6-16 years ili kujua vile wana-learn shuleni. Wali-learn mambo yasio poa, lakini kuna vitu tunaweza fanya ili kuyabadilisha.

4% ya watoto wa standard 8 hawawezi soma standard 2 English na 10% hawawezi fanya standard 2 Maths.

Peer Learning: Watoto walio bright wanaweza soma pamoja na wale wasio bright na itawasaidia kukumbuka virahisi. Si vipoa kucheka watoto wasiobright kimasomo.

Ambia mzazi wako kama mwalimu hakuji class. Ambia mzazi wako kile kina-happen shule. Julisha wazazi juu ya parents meetings, open meetings ili wa-attend.

15% ya watoto hawako shule kila siku

Majamaa, mkoresponsible kwa success na failure yenu ya maisha.

Ulijua:

Kwa hizo tests the Bottom 10 districts zote zilikuwa from Kenya arid lands na performance yao ni 3 times worse than the best performing districts from agricultural productive areas. Watoto from agricultural productive areas za Kenya wako mbele 3 times kuliko wale wanaotoka kwa arid areas. Na kwa nini iwe hivyo? Tunaweza

14

Teachers wana-skip class

ishi aje kwa umoja kama Wakenya wa areas zingine wamebaki nyuma? Ni Muhimu tujenge daraja za masomo ili tuwe pamoja kama Kenya. By the way, unafanyaje ili kuimprove learning yako na ya walio karibu na wewe? Nitumie ideas murwa on 3008 na utaweza jishindia Uwezo T-shirt!! Ili kupata more info, visit www.uwezo.net


Mchongowano

Huyu ni Adrian oka Cheswe village kut Boyie nisendie sheng diction ary sawa.

Sheng Dictionary

1. Machedas-Pesa 2. Ngori-Shida 3. Pang’ang’a-Kuongea Mob 4. Mthama-Mama 5. Mbota-Saa 6. Buda, mzae, mzito -Baba 7. Mawaba/mawode-Maji 8. Nangos-Simu 9. Dingo/Kauzi-Mwizi 10. Don/mdosi/sonko- Boss 11. Kiruma-Chakula 12. Maparo-Wazazi 13. Stude-Student

ShujaB, aI waz ntRto knadowiowhat

Hi DJ e live at QerFMfu.l time you aryo ur wond aaz r fo Thanks up Shuj o ep Ke s. storie lly. Mutom Ke l rie ab G guyz. h) ut So (Kitui pliz send Niaje DJB, sifreyoquu ency of me the @ Mombasa. Shujaaz FM fi ya entertain Thumbs up Josh.24. magazine! . Mombasani

na JB, endelea Sema Dan o gw on mch

14. Bamba/KukwachuKufurahisha 15. Node - Nundu ilio kwa mmea 16. Kapi/Orifo-prefect 17. Maparo- parents 18. Princie-Principal 19. Fathake- Father yake 20. Kumada- kumaliza 21. Kukinda- Kuuza 22. Rwabe-200 bob 23. Chwani- 50 bob 24. Tenga/ ngiri/kenge- 1000 bob

Niskize nikipenya Shujaaz FM. kwa stations zifuatazo weekdays. Utaskia ideas zile tumehighlight kwa comic book in detail. Nitasoma sms zile poa kwa hizi shows, so keep texting manze ili tuskizane na tujengane. 1. QFM 94.4FM Nairobi& 87.9FM Mombasa@4PM 2. Pamoja FM 99.9FM@4:10PM 3. Radio Lake Victoria 92.2 FM@ 9:30AM 4. Koch FM 99.9FM @4:30PM 5. Star FM 105.9FM-Nairobi & 97.1FM Garissa @11:10AM

www.shujaaz.fm

SMS Kubuka kunitumia SMS on 3008 ikiwa na jina, na mtaa yenye umetoka. SMS poa nitaziweka kwa chapta 5 ya Shujaaz. FM comic. Keep texing wasee!

Maskio zako ni kubwa mpaka ukitigiza, jiko zote za Kariokor zina waka Ati kwenyu mko wengi mpaka mama yenyu anawapa chai na sprinkler Ati wewe ni mlafi mpaka unaonja maji ya ugali Wewe ni mnono hadi ukianguka watu wanakimbia kuokota mafuta Wewe ni m-slim hadi unavaa pete kwa waist Nyinyi ni masonko hadi mkipe kuku zenyu maji moto, zinataga mayai boiro Ati dogie yenyu ni shy, ikiona magondi ina blush. Wewe ni mjinga kupindukia ukiambiwa uandike 22 unauliza uanze na 2 ipi. Wewe ni infectious ukisneez, Osama Bin Rodent anapata homa ya ngamia Kuku zenu ni noma mpaka zikikula nyasi zinataga mayai herbal. Siku moja niliwakuta mkishangilia nika wauliza kwa nini mnashangilia, ukaniambia ni kwa sababu buda yenu alipata kifuniko cha bairo. Nitumie mchongwano zingine zimeiva kwa 3008

Visit website yangu kule utasoma latest Shujaaz chapta 1-4, utaona animation ya Shujaaz, uskizw radio shows kutoka kwa keja yangu, unicheki kwa Facebook(DJ Boyie) Twitter (Shujaaz) Youtube (Shujaaz1). Niandikie mail on DJB@shujaaz.fm. Dunia yote ionane at www.shujaaz.fm.

Comix

Shujaaz.FM comic inapatikana free every 1st Saturday of the month. Tegea na ujulishe mabeste!!

15


Shujaaz T-sho

Ailsa Wanjiku 11 yrs alijishindia T-sho ambayo amepigwa akiwa mevaa kwa kunitumia SMS murwa on 3008 na kunitumia picha yake na brother na sister . Anapenda kusaidia mathake kupanda skuma nyumbani. Congrats Ailsa!

s p m u P r e k a Money M announcing When arers?you ne in the w happened, na WASEE, whatutslicheza kwani e m ga ile results bado?

Wasee wakati umefika wa ku-announce winners wa Kickstart MoneyMaker pumps. Congratulations kwa wote walio ingia hii competition. Manze sms zilikuwa kibao! Congrats kwa wale washindi wa MoneyMaker pumps!!!

1. George Wambua: Ameshinda Super MoneyMaker Pump 2. Susan W. Njaramba: Mombasa. Ameshinda MoneyMaker Hip Pump (Aliye kwa picha)

3. Judy Wambui: Eldoret. Ameshinda MoneyMaker Hip Pump

a w k a k to ujaaz u k s t a Conagfarns wa Sh m 16

Hizi chool.up to S s o k a M ac h le. Big eno wa applicab Hi, nictD zako ziko you for proje ratulavteer y much. g n o c ou ish to yo u. and I w Thank y b mna My sownonder ful job. ine is the bmomake mayour Your magazjia za ku- u inspired o Hi DJB.mavijanaa tenlling you. wYarded. Mar y. show D ude I am r g o e s unre biznaH. ard work neve m e.

Wasee walio na kwa kwa messages ndio wameshinda T-shirt ya ShujaazFM. Congrats guyz!!

e f i l e v o Impryako!

H kwa m impr kwa in

Stephen Odhiambo Oketch. I do home visit within Kitengela area repairing PC’s and other comp accessories Kufunguliwa ka-website waweke content yoyote ambayo ni creative na wauze online cheaply. SAFCOM wanaweza wasaidia. Unajua ukiuza ngoma moja kshs.2 kwa watu 20,000 hiyo ni 40k? Kitu kama ngoma, wallpaper, lyrics, ideas na zinginezo ni possible products za kuleta doh.Vijana tuinuke jo!!!! Kazi zipo. BOBO SHANTY toka ATHI RIVER. “James Karanja” Hi, Shujaaz FM. Just wanted to give an idea. Ma youth wanaweza build nursery za kuplant trees and then Imagine! wanazi- sell to nyumba yak various people even a the government. Eva survive kw al Maina. Munyu flowerbedindu from Mak Location, Nyeri Semaz kuna hii group yenye we started, si hu-save doh then tunatumia ku-help children homes. Stella from Siaya Tuili-form group ya mayouth 10 na tukaanza ku-act ma-setbooks kwa high schools tukilipwa. Right now tuko 30 na tunataka kuji-divide into two tu-spread. Mark V. Oti. Ruaraka Hi DJ B, ma youth tuko juu 2 sana, nilianza kukusanya ma-plastics kwa garbage bins back in 2006, nime-save kwa bank cash, nimefaulu loan ya kapick-up. Ma youth, hii inakaa chafu lakini ina-pay poa. Sisi ndio masonko wa tomorrow, tukae ritho.


Hongera ma-youth wanao rove life yao a kufanya vitu nteresting

Yours wasee kutoka Kirinyaga near Mt Kenya Forest. Tunatafuta dooh kwa kuwa na nurseries za different hardwoods which we sell and they are planted in the forest. We get alot from that because we search the seedlings from the forest. Manze mimi kama youth hii plan ya ku-suply food imeni-help sana hadi nime-get job huko Western. Nikikumbuka nilipomada chuo, nalia. Thanks jo. Jamie Bikatsi. Mimi ni mtoi wa 8 na kitu na-do kama youth ni kuchora na kuuzia watu ili nipate doh. Joyce Faith Syokimau Mimi ni a Tunaishi nikw Mercy from na na di a kuko nia kwa M w i n g i ingetaka kupanda da ith nkuambia DJB afu kuiuza. Fa idea yangu ya u. kuuza jungu mtaani inaniletea doo. So vijana msijidharau kwa kazi mnazafanya. Niaje mi naitwa Winny from Kisumu. Mathangu anakinda tomato sokoni sa mi na kinda juala kwa stall yake na na-get doo mpaka sasa nimebank na nitawaiwa loan ni prosper kibizna. Ma-youth tuchanukeni kibizna au sio? Church yetu ina educate vijana ku-make local produced yoghurt, ready to drink juice, preparation of detergents and its making money and many youths have tried it, thanks to our Vicar. Michael 19 yrs from Kiambu.

s a e d i a M

idea Hi DJ B, ninaku-save ingine ya ya ku-use la dooh badaku mkate magarine vicepaka atu wana wa-adado ndwio cheap buy avoc fe. Boniface na sa thivo, KITUI. Dereba. Ka

Hizi ni ideas mumenipatia za kusaidia vijanaa. Kudos!!

DJ B mambo? Kuna vile umenikwachu, manze ata wewe ni brainstorm utazidi kuvuma, lakini show m a - y o u t h wasipende dooh ya haraka upesi, one step @ a tym. Kamahommy, Kayole.

Hi DJB, V i j a n a show na nawa lia m a g a z i n i way yafichukui n a t u j e n g a survive kwa ambia vijana kuchimba meta l w a n a e z a remains na chimba dam kuuza ni poa na wafuge kwa kutafuta mikwanja fish, food ni As far as jobs are concerned youths mchwa u-save them 3 times yake per day wanaweza uzia wenye kuch should take educ ation alot more fish mtaani kwa bei poa. After 5monoma seriously inorder to be ths watakuwa na doo za kufungua Hi DJB, vijana more flexible and to also kabizna ka nguvu. Nancy from wanaweza get secure better jobs in Kawangware. dooh by ku-collect future because the world Niaje DJ B. Maboys wamemada ma-nylon/gazeti na is dynamic. Esir Victor, chuo wanaeza osha magari kwa ku-take kwa NAKURU. maesto zao na hiyo mkwanja recyclers. 1kg ni 20 Hapa kwetu nimeona kutumiwa ku-wahelp financially na bob. wamama Deric. wakiuza pia ku-help githeri, ndengu, njahi zote f a m i l i a Kasarani zikiw a zime pikwa na a o . ependa zMaria wana-make doh mob Hi Dj B! Nimvin , 19yrs, kwani a. w naok olea watej show yako ku-som a wao time ya how Thome. kuzipikia home. R Napenda amba skills kw aa an vij Walio karibu na gugu maji (Hyacinth) aweza zako ndogor. zin kama NBI dam, L.Victoria ER TH e.t.c. ES fa ka le pe Wavune, wa-make mbolea, wauz ku from ie HN JO . wakulima! M si) Donholn(Embaka

Youth Fund

Hi Shujaaz, you guyz rock my world. My name is Esther from Kiambu. You are doing a very good job kuwa-show ma-youth what to do & about youth funds. Sasa nimepata kitu ya kudo all thanks to you keep it that way. Sa ideas zangu ni mbili hivi. Ya first ni kuwa siku hizi gava imepatia vijana mkwanja ya youth fund na wakifikiria poa watajiokoa nayo. Kwa mfano mi nina group yangu na tunapanda mboga but ni za export. Nimesaidiwa na Horticultural Crops development Authority ku-get market na pia kupanda hizi mboga. Pia wao siwafanye hivi?

Kukausha fruits

Hiyo plan ya mango imenisaidia sana, nimepata faida kubwa. DJB, hii story ya kukausha fruits h h i d Th k from

Leadership

Vipi Shujaaz, me nawavulia ngepa hii risto ya Maria Kim ya kuwa leader inatu-show difference ma-youth wanaweza make.maze hizo tips za kuget water ni poa,kwani water niuhai.me niko gangare ku study mag ya shujaaz,more fire.albert muthomi . chuka magumoni.

Termite trap

Big ups Shujaaz.FM. Hiyo risto ya termite trap ni poa. Nimeistart. Ninapata soo mbili per day. Dan Njure kutoka Nanyuki.

Ubaguzi

Shujaaz imenibamba. Me sina story mob its just i moved in to Kenya 3years ago na me ni pointy but I learnt kiswahili na nika-join chuo. But guys don’t take you for who you are. Wanasema me ni kosa kabila but hawajui me ni ocktail. Anyway, me sijali juu mi ni supa bt mesage ni take someone r who she/he is. Nadine

17


Mbona mna-fight?

mtoto mdosi amepata bursary fund na kila mtu anajua hafai kupata

Ee!! alidanganya na yenyewe sio

poa!!

niaje? nimesikia vile mnabonga, na naeza help

by the way, naitwa jk Ata bro yangu haku-get‌

18

Ebu nikaulize princie nini ili-happen

Asante, lakini zii


Excuse me madam, my brother applied for a bursary and he didn’t get it Yet some rich kids were given funds!

actually many parents complained. something did not go well

But I don’t know why, and there’s nothing I can do about it.

Pengine uulize chief

Yenyewe mimi hata sijui pesa ziligawanywa vipi.

Unaeza jua huku kulitumwa pesa ngapi? Hiyo siwezi jua. Hiyo ni mambo ya council. Uliza councilor

19


yEnyewe pesa za bursary ni kidogo hata sijui zilitumwa ngapi au kupewa nani

Yaani huna hata aibu!!

Lakini mrembo kama wewe, ongea vizuri nikulipie

Badala ya kunisaidia unajaribu nini mbaba kaa wewe?

Maria Naeza Kim!! kusaidia - tafadhali trust me kidogo

20

ebu kuja niku-show kitu


Kuna jamaa wanajiita open governance

Huyo JK anataka kuniibia DAME!!

Wanapeana bursary?

Hapana, wanachukua information kuhusu matumizi ya pesa za umma ya kila constituency Kisha, wanaiweka kwenye internet Wana-show chapaa ngapi zimepeanwa na ngapi zimetumika Unaeza cheki kwa internet au u-SMS

ala!! CDF yetu imepatiwa 800 thao kwa bursary!

Tucheki eneo letu

Please print that page!

Sasa ni hugs na kisses zenye sijawahi pata!!!

mtu honest kwa cdf committee alinipatia hii karatasi

inashow names za watu wame-get bursary

Waazi JK!! 21


Watsee, chekini hizi print –outs

Ati chapaa za constituency zilipeanwa mob kwa watu wadosi na wasio kwa constituency yetu

Hii ni noma jamaa, lazima tu-act!!

nitahakikisha kila sermon hii sunday ni juu ya bursary fund!!

ambie chief!

Kweli, tumepata info, sasa ni tu-act! Tusambaze hizi posters kila stude kwa kila chuo ajue!

22

hata kwa mosque pia!! ambie princie!


Godpapa! Kuna noma!!

Watu wamejua doh za bursary zilitoka na wanashow wengine zilivyotumiwa!

Ha! Hawanijui!

Nitawanyamazisha!!!

Secondary school bursary

B

ursary inatakikana kusaidia wanafunzi waliotoka kwa poor families kuwapatia chance ya kuendelea na masomo. Wanao-benefit na bursary ni orphans, watoto walio-affectiwa na HIV/AIDS, watoto walio na mahitaji ya kipekee kama walemavu au medical conditions, wasichana huwekwa kando, wanao-perform vipoa kimasomo na waliotoka kwa familia za maskini.

Commitee za ku-manage dooh za bursary zimeundwa kwa kila constituency. Members ni local MP, Education officer, KNUT representative, 3 religious leaders, 1 chairperson Board of Governance, 2 PTA chairpersons, 1 Councillor, DO, representative wa NGO au CBO ya shule, headteacher wa girl school na members wengine wawili wanaochaguliwa na committee. Nita-apply vipi ili kupata bursary fund? 1. Chukua bursary form kutoka kwa Divisions Education Office. Ni bure. Lazima uwe unaishi kwa hiyo constituency 2. Kuwa na barua ya shule na ya assistant chief au

religious leader na upatie Division Education Officer atakayeipatia kwa Constituency Bursary Committee 3. Constituency Bursary Committee’s huchagua students watakao-benefit kupata bursary. 4. List ya wanaopata bursary hutumwa kwa DEO na cheques hu-sign-iwa in 1 week na kutumwa kwa area officer ili aweke signatures mbili 5. Cheques za stude wale wame-benefit kutoka kwa bursary hutumwa directly kwa headteacher 6. Notice boards za shule na constituency huwekwa list ya mastude wale wame-benefit kupata bursary Nitapata dooh ngapi kutoka kwa bursary fund? a) Day school-Ksh. 5,000 b) Boarding school- Ksh.10,000 c) National school- Ksh.15,000 d) Primary school-Ksh. 1,020 Constituencies hupata 1 million shillings za bursary halafu amount ingine inapewa kwa constituency kwa kulingana na level ya umaskini ya watoto kwa hiyo constituency. 5% ya constituency budget huwekwa kando for masomo ya wasichana. Ili kupata more info juu bursary ya constituency yenu, visit, www.opengovernance.info

23


waa waah!! cheki kuna dame ana-watch tukicheza ball!

24


dunda utengwe kama pele! ha ha haa!!

sitaki. mi hupatanga heartburn nikikula mahindi..

25


nimepata hasara kwa kupanda mahindi.

26


lakini baba kuna mimea tofauti ambayo tunaweza panda badala ya mahindi.

nimeona jirani sasa anapanda new variety sweet potatoes na amepata pesa mingi.

wewe ni bure sana!

na kununua vine mbegu moja kwa shilingi moja tu! na ni taamu!

nimepanda new variety sweet potato!

si ni poa?

na unadhani watu watasema nini wakituona? hawa neighbors sio watu wa kabila na tabia kama yetu.

lakini hizi ni weeds tuu! sasa umenileta nione nini? naishia...

27


wacha nikuonyeshe!

ni kweli! new variety ni soo!

taraaa!

ni poa! si tui-roast?

inanukia poa!

ni kitu gani inanukia hivyo?

nimevuna na ku-roast ile new variety sweet potato nilionunua kutoka kwa jirani. vine moja ya sweet potato shilingi moja. ni rahisi kupanda na ni tamu sana.

sasa nina vines zangu, na ambazo naeza uzia neighbours wangu wengine! kwa kila vine!

28


nimechoka kuskia juu ya majirani. they are not our people!! staki kukuona ukiwakaribia!

hiyo roast new variety sweet potato ilikuwa tamu! hebu tufanye hivyo tena.

hata kama fathako hajaelewa najua djb ataelewa - hebu tumtext!

Kupanda sweet potato vines New improved variety za sweet potato ni tasty sana na mavuno poa. Varieties za new improved sweet potato varieties zinatofautiana na areas zenye zinamea vipoa. New sweet potato varieties ni kama Wera, Mugande, SPK013, SalyBoro, Ejumula, Kemb10, Nyawo na Mugande Vindolo Vitamu na salyboro.

Utapata info ya sweetpotato#magarini areas utakazopata New Improved Sweet Potato varieties na zinazo-suit area yako ukituma SMS ilio na the word SWEETPOTATO#CONSTITUENCY kwa 3008

Kupanda sweet potato vines 1. Chagua vine ya urefu wa 1 foot ilio healthy (green bila yellow veins) 2. Chimba shimo isio-deep juu ya rows utakazo tengeneza ili kupanda 3. Weka 2/3 ya nundu kwa mchanga na 1/3 ya nundu iwe juu 4. Spacing ya kupanda ni 1 foot(30cm)

Kuzalisha sweet potato vines kwa nursery 1. Tayarisha pale utapanda new improved variety ya sweet potato kwa kuchanganya mchanga na manure kisha uweke maji. Tengeneza kivuli juu yake. 2. Chukua mmea wa sweet potato usio na magonjwa au yellow stripes kwa matawi 3. Kata matawi ukitumia sharp blade vertically kwa sehemu utakayopanda kwa mchanga ukibakisha node moja juu 4. Ili kupata mbegu ya kuzalisha, hesabu nundu tatu kwanzia sehemu ya chini halafu ukate stem. Endelea kukata hivyo ili kupata mbegu mob za kupanda na kuuza. 5. Ukipanda, hakikisha kuwa nundu mbili ziko kwa mchanga na nundu moja iko juu. Nyunyizia maji kila siku. 6. Mimea ya sweet potato vines itakuwa tayari kupandwa kwa shamba after 2 1/2 months 7. Vines zinaweza kuvunwa baada ya wiki kadhaa na kuuzwa for 1 bob kwa majirani. Unaweza anzisha bizna yako simply kwa kupanda new improved variety ya sweet potato seeds! 8. Sweet potato vines zinaweza pandwa kwa areas zenye hazina mvua ya kutosha kwa kufunika nursery yako na nylon paper. Fungua sehemu kidogo ya nylon paper mchana. Toa plastic bag 2 weeks kabla ya ku-harvest ili mimea izoee hewa kavu. Weka mulch ili ku-conserve maji.

Kumbuka: Vines za new variety sweet potato hazitazalisha tubers mob lakini ni kubwa zaidi in size. Nyunyizia maji vines kila siku. Unaweza pata up to mbegu 10 kutoka kwa sweet potato vine moja.

29


Sasa DJ B, please nisaidie

Fathe always ana-complain juu ya ma-neighbours wetu juu ni wa kabila ingine. But since nianze ku-spend time na wao, nimegundua kuwa hawako kama vile fathe hudai na wako tu ka sisi. Infact wamenisaidia sana ku-discover vitu mob zile nimekuwa niki-share na Shujaaz FM

Mara hiyo hiyo nimepata text kutoka kwa Maria Kim

Thanks Maria Kim kwa advice poa sana. Malkia ameni-SMS na kuni-show problems wamekuwa waki-solve za ukabila kwa chuo

30

Sawa mafans, nimepata text kutoka kwa Charlie Pele. Manze ni issue serious ya ukabila. Share ideas mlizonazo ambazo zinaweza ku-help Charlie. Niambie kama ume-face kitu kama hio?

Hi DJB, nilipo-discover kuwa bursary zote zinaenda kwa mastude wa kabila moja, nili-share hii info na facts kwa watu wote including mstude, princie na chief. Hatuwezi solve problem kama hakuna mtu anaongea kuihusu!

Hi DJB, tuna mastude wanaotoka kote nchini na ni wa kabila mob kwa chuo na tumeform school council ili ku-create team spirit ili ku-solve problems kabla zikue worse


DJB, Hatuelewi nini Charlie Pele ana-try kusema juu tuna-agree na fathake. Job yetu ya Security ni ku-protect kabila yetu kutoka kwa ma-outsiders. Tunataka utupatie nafasi on Shujaaz FM tuongelee hiyo story na tu-promote group yetu.

Pole manze lakini hii show si ya ku-incite wasee ku-form groups za kikabila but ku-unite ma-youths wa Kenya nzima!

According to Section 63 of the National Cohesion Integration Act 2008: (1) Anyone who utters words intended to incite feelings of contempt, hatred, hostility, violence or discrimination against any person, group or community on the basis of ethnicity or race, comits an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding 1 million shillings, or to imprisonment for a term not exceeding five years, or both.

Manze hata kuna law inakataza ma-stations za media kuchochea watu kikabila juu unaweza kuwa arrested na kutupwa jela. UKISKIA WATU WAKIONGEA VIBAYA JUU YA WENGINE, HAKIKISHA UMEWA-REPORT KWA NCIC

(2) A newspaper, radio station or media enterprise that publishes such utterances referred to in subsection (1) commits an offence and shall be liable on conviction to a fine not exceeding one million shillings.

Hatuwezi jenga Kenyan youth tukiendelea kuacha watu kuongea na kufikiria vibaya juu ya wengine kwa sababu ya kule wametoka. Mafans, hebu tutafute solutions za kumaliza hate speech na ukabila

Report Hate Speech to NCIC for investigation P.O. Box 7055-00100 Nairobi Tel 020 - 8073264/5

Nitumie ma-ideas on namba 3008 juu ya vile tunaweza deal na kumaliza hate speech na tribalism. Ideas noma zitapata zawadi poa kutoka kwa National Cohesion and Integration commission (NCIC)

31


Nijoin kwa facebook na twitter na niwapatie latest updates juu ya comic na radio show na info noma yenye hautpata place ingine juu ya kila story. Hii ni chance yetu poa ya ku-chat na kushare ma-ideas. Ni introduce kwa mabeste zako wa Facebook na Twitter tuconnect zaidi na kuendelea ku share faida za Shujaaz FM!

Visit www.shujaaz. fm usome Chapter 1,2,3 na 4 ya comic, na hata uzidownload ukipenda! Na pia unaweza nitumia request kwa Facebook:

DJBoyie Shujaaz Ama Shujaaz kwa Twitter.

Tuchekiane online!

Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Printed by Colourprint Limited Printed on recycled paper

www.welltoldstory.co.ke


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
04 - Shujaaz.FM - Chapta 4 by Shujaaz - Issuu