Skip to main content

03.b - Malkia

Page 1

HII NI ZAWADI YA MAEMBE

MAMA SIWEZI MALIZA MATUNDA HAYA YOTE

UNAJUA HUU NI WAKATI WA KUVUNA MAEMBE. MKINIACHA NA HAYA MATUNDA YATAHARIBIKA

PIA MUM, HATUWEZI KUPATA MATUNDA HAYA NYUMBANI

MUM, SI TUUZE HAYA MAEMBE KWETU NYUMBANI, AM SURE KUNA READY MARKET.

PESA!..... TUTABEBA YOTE MAMA.

7


UNAJUA TULIPOKUWA WADOGO TULIKULA HAYA MATUNDA SAANA

FOR REAL! WACHAA

..THIS IS YOUR BOY DJ B ON YOUR SECRET RADIO STATION SHUJAAZ FM.. KAA RITHO, KAA CHONJO

HALAFU TUNGEUZA ZINGINE NA ZINGINE ZINGEHARIBIKA. A WASTE OF MONEY!

HAPANA KAA TU FUAAA! HAHAHA..!

HAPANA KAA TU FUAAA! HAHAHA..!

8

KAA RITHO, KAA CHONJO!


WHAAT! EBU ANGALIA HIYO PUNCTURE

MUM, PLEASE NISAIDIE HAPA..

GET OUTTA HERE! CHU!CHU!

ENDENI! CHU CHU!

9


SITAWAHI SKIZA VILE UNASEMA TENA. ONA NI PESA NGAPI NIMEPOTEZA. TOTAL LOSS!

MUM, MATUNDA IMESPOIL!! ONA SASA IDEA YAKO YA KUUZA MATUNDA IMELETA BALAA!

SHUJAAZ FM, NI MIMI HAPA KEJANI DJ B. NITUMIENI SMS ZENU ILI TUSAIDIANE KA VIJANAA

NIMEPATA SMS POA KUTOKA KWA MALKIA ALIYENIAMBIA STORY YAKE YA FRUITS KUHARIBIKA

“DJ B SASA, SHOSHO WETU ALITUPATIA MAEMBE MOB NA IKAHARIBIKA KABLA TUFIKE HOME. NIKO-DISSAPOINTED.

MALKIA, NIMEPATA SMS KUTOKA KWA HILA ANAYE-DRY MATUNDA KWA JUA. TASTE YAKE NI POA NA TUNDA INAEZA KAA FOR ONE YEAR BILA KUHARIBIKA. IMAGINE!

UTAWEZA KUPATA DOOH MOB KWA KU-DRY MATUNDA.

HEBU MAFANS JARIBUNI KuKAUSHA FRUITS....TUKO GANGARE!!

10


ANANIPENDA! ANANIPENDA! ANANIPENDA! ANANIPENDA!

Mara nyingi, wakulima wakati wa fruit season huwa wanasuffer losses kwa matunda kuharibika na kwa kuuza bei rahisi. Lakini kukausha matunda kwa jua inaweza kusuluhisha hii shida. Ni simple ku-dry matunda. Unahitaji cotton cloth na rack ya kukausha chini ya jua. Dried fruits ni healthy snack juu iko na fibre. Matunda ita-preserve-iwa, kwa hivyo ku-provide supply na market mwaka mzima

Tengeneza profit kwa ku-dry matunda jua. Sasa ameweza ku-provideia familia yake na hana worries za matunda yake kuharibika wakati wa kuvuna. Hellen huwa na ready market ya dried fruits mwaka mzima.

ROSELYN kutoka Homabay alikuwa akipanda maharagwe na mahindi na kupata harvest ya 6 thao kwa mwezi. Sasa anapanda pineapples na kupata dooh zaidi kwa ku-dry matunda yanayobaki, ambayo ingeharibika kwa kukosa market.. Hellen hukausha matunda yake kwa

KSH! KSH! KSH! KSH! KSH! KSH!

Ni rahisi ku-dry fruits kwa jua: a) Chagua matunda yale yameiva kabisa lakini firm b) Peel matunda c) Kata matunda kwa slices za quarter inch thick d) kausha slices za matunda kwa jua, juu ya rack au kwa cotton cloth. Inachukua 2.5 -3 days, lakini rate ya kukauka ina tofautiana e) Rudisha matunda kwa shelter usiku ili kui-protect kwa dew f) Funga dried fruits kwa air tight container. Unaweza kausha matunda na mboga zifuatazo: Banana, Mango, pineapple, leafy vegetables, chili peppers, okra, tomatoes, mushrooms *Muda wa kukausha matunda unatofautiana

THANKS DJ DJ BB KWA KWA KUNIPA KUNIPA IDEA IDEA YA YA KU-DRY KU-DRY THANKS FRUITS. FOR FOR SURE SURE NITAJARIBU NITAJARIBU NA NA PIA PIA FRUITS. KUMWAMBIA SHOSHO SHOSHO WANGU WANGU A-DRY A-DRY MAEMBE. MAEMBE. KUMWAMBIA

ALL THE THE BEST BEST MALKIA MALKIA NA NA MAFANS MAFANS WA WA ALL SHUJAAZ..MSISAHAU KUNITUMIA KUNITUMIA SMS SMS SHUJAAZ..MSISAHAU YA KUNI-UPDATE KUNI-UPDATE VILE VILE ITATOKEA ITATOKEA ON ON 3008. 3008. YA TUKO GANGARE!! GANGARE!! TUKO

11


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
03.b - Malkia by Shujaaz - Issuu