aki purity hii job ina udhi...
hizi trip zinatumia doh mob sana... si tuchome hizi stover badala ya kuziuza?
...na compost, na silage pia, na...
20
taabu unateta? nilikushow, hizi stover ndio doh mob zenyewe. ni feed, na mulch...
woi!
chukua pena yako ya pili...
21
?%*#%@^$}!
wasalaaleee! aki pole charlie!
wewe! kwani huoni umuhimu wa hizi stover?
zii! si tuzichomee hizo stover kwa shamba? zinachukua space mob, time na doh mob kuzitransport na tukiuza ni kidogo...
cheki tena. sasa tunapoteza muda na tungekuwa shambani.
uko poa? niko poa, lakini nadhani tumepoteza ball chini ya hizi leaves...
tutatoa wapi ball ingine? tutengeneze ya majuala na tutumie hizi leaves ndani?
nizichome na ni food ya ng'ombe?!
oi!
22
aI!
haina shape!
inamaliza chapaa!!!
cheki!
aki wewe!
cheki hii ball ilikuwa kubwa, sasa imekuwa small...
nilisikia juu ya njia fulani tunaweza kutumia...
?
si mnaeza tengeneza squares kama watu wa bricks?
Kutengeneza bales Mara mob, wAsee huwa wanachoma mabaki ya mimea after kuvuna. Lakini hiyo mabaki ni food poa ya wanyama na wanaipenda sana. Wakulima huwa wanaona ku-transport mabaki haya kwa shamba ikiwa expensive. Kutengeneza bales za mabaki ya mimea itafanya kutransport mabaki cheaper by 60% juu ni rahisi kubeba.
Unahitaji kutengeneza wooden box na ni simple sana 1. Tengeneza box ya 75cm x 50cm x 40cm ukitumia mbao. Unaweza saidiwa kutengeneza hii box isiyo na lids kwa side ya juu na chini. Hii box inaweza chukuwa 12Kg ya mabaki ya mimea. 2. Weka uzi mbili za sisal zenye urefu wa 2.5 meters across sanduku itakayo funganisha mabaki ya mimea pamoja
leo tumebeba mob! tutauza chapaa nyingi!
na pia ni mob; tutatengeneza aje?
hiyo inaeza work?
ili kutengeneza bale. 3. Weka mabaki ya mimea kwa wooden box na ui-press ndani kwa kukanyaga ili ku-ipack na mabaki iliyo compact. 4. Funga mabaki ya mimea ilio kwa sanduku tighly kwa kutumia uzi ya sisal na kukanyanga mimea kwa box . 5. Ili kutoa bale yako, inamisha box na uivurute kwa kutumia uzi ulizofunga za sisal.
160 kg ya mabaki
260Kg mabaki ya mimea ambayo ni 100 Kg zaid
Kutengeneza bales kwa mabaki ya mimea ni simple sana. In that way, utabeba mimea mob kuliko mabaki yasio kwa bale. Pia, utaweka bei kwa bale utakayouza.
joto Weka bales pahali haitanyeshewa au kupata maji Tengeneza bales ukitumia leaves a mimea, halafu tumia stalks kuwa mulch kwa shamba na kutengeneza compost manure. purity! nimeget method tunaweza kutumia!
Jua Ili leaves za mimea zisibreak tengeneza bale, asubuhi wakati hakuna
sasa nina chapaa mob... si nikubuyie kanyama?
wacha nitextie boyie ujumbe huu mpya!
23