Skip to main content

37 - ShujaazFM - Chapta 37

Page 1

Not for sale

CHAPTA 37 KUJENGA KENYA

The CJ + MK!? Cheki Ndani...!


imebaki tu siku tatu kufika elections...

i’m sure this time kutakuwa ku-peaceful.

watu wako na faith na system ya this time...constitution MPYA inabadilish kila ktu!

eeh... i’m sure kila mtu anataka ku-vote vipoa na peacefully

chuxx!! mbona unaharibu poster ya wenyewe?

wah! cheki chuxx! anafanya nini?

justice? wewe!! this time mambo ni tofauti!

lazima godpapa a-win elections! asipo-win tuta-fight-ia justice!

hehe! lakini wewe ni kakali! si tuende pale hivo niku-buy-ie kauji hivi?

sitaki uji yako! nina date na j.k.!

agh! j.k. kila wakati!

watu kama nyinyi mtaenda jela!

baadaye, kwa kina j.k.... sasa dad? nime-come na mgeni.

maria kim, karibu! nilikuwa nimeenda kununua sukari. tuko na mgeni. njoo mumsalimie...

wah! chief justice!

yes, willy mutunga. wewe ni maria kim, sivyo? nimekusikia sana!

Manze mmetu-help sisi masafara ku-mek dooh na mmetu-help na hii election. God atawa-appreciate. - Ibrahim Shune

nimesikia vile una-fight corruption huku kwenu!

3


maria kim, unanikumbusha sana vile nilikuwa m-young...

yes! aki?

Nili-grow up Kitui na baba yangu alikuwa tailor. Family yetu haikuwa dosi sana kwa hivyo lazima ninge-work hard chuo ili niwe na maisha poa baadaye.

nikaenda Nairobi University na after hapo nikafanya job kama human rights lawyer. Baada ya miaka nyingi nikapata recommendation ya prezo ku kuwa Chief Justice. baada ya interviews mingi, nili-vote-iwa kwa ofisi na ma-lawyers na wananchi!

Hii inaku-show hard work na ku-stick kwa principles zako inaeza badilisha life yako. Maria Kim usi-give up ju haujui future yako!

maria kim na j.k., si mnitembelee kwa supreme court, niwaonyeshe vile justice hu-work?

4

what?! uko serious?

Niko serious! Koti ni za wananchi. Si za majaji pekee. Koti ni zetu sote!

Thanks! Tuta-come na nita-recordia DJ B!

sawa... hebu gota vile nyinyi ma-youth hufanya... hehe!

Kitu moja yenye napendea shujaaz. Wasee wanatupa ma ideaz mob ya ku-mek dooh & also how to tackle problems. - Aliyah Babez


5


Sasa DJ B? Acha niku-show, leo... NILIKUWA nilikuwa na siku poa! Lazima mayuts Kenya yote wasikie hii story!

6

Hey DJ B! Hii ni mwaka wa election na vile mavijana wanasaka dooh in every way possible. Just continue talking 2 us. U hav a gr8 impact. - Boniface Benson Lelesiit.


To Register iCow SMS “shujaaz” to 5024

kupata ujumbe juu ya kulinda ng’ombe vyema, text jina ‘shujaaz’ kwa 5024!

lea ng’ombe na 5 bob tu!

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Tupange, RIU, DFID-UK, Galvmed & Marie Stopes Kenya. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko. Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

This publication was supported by a sub-agreement from Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health with funds provided by JHPIEGO under a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation. Its contents are solely the responsibilty of the authors and do not necessarily represent the official views of JHPIEGO the Bill & Melinda Gates Foundation or the Johns Hopkins Bloomberg of Public Health.

7


dream yangu ilikuwa kuenda college, lakini fees hazikupatikana, so nikaanza ukulima.

nauza crops zangu na inasaidia ku-save dooh za fees, lakini kuna shida kubwa ya maji yenye ina-threaten hiyo mpango.

BOYIE Napenda sana ma-electronics na radio. So nimeamua kujenga pirate radio station - Shujaaz.FM! DJ B mwenyewe, ndani ya nyumba!

Jina: Bubi A.K.A. Yvonne Njeri Miaka: 20 Base: Syokimau

Fuata Steps KUPATA MAJI

8

Hae DJ B, 2dy it was mai 1st dy 2 hear ua voice on air kw Qfm bat nimekuwa niki-read magazine yako na uwa inanibamba na ime-change life yangu. - Earnest Kip’z Honest.


Ever since tulihamia Syokimau, imebidi tununue maji.

crops zangu zinahitaji maji, lakini syokimau ni area dry sana na maji ya borehole ni salty.

na bei ya kununua maji na kulipa msee wa honda ni ghali. hizo vitu zote zina-make farming ikuwe hard sana.

nilihitaji solution ya hizo shida.

SO nili-approach mamangu nikamuelezea habari nilikuwa nimesoma kwa shujaaz.

nilim-show stori ya charlie pele ya water rights, na alikuwa excited sana (mathe ni fan wa shujaaz FM).

Usikonde manze don’t give up on ur job ata iki-fail poa. Unaona vile supa strikers iko down hadi umeishinda kwa market! keep up booooooom!!!! - Brian Maranga.

9


inatu encourage ku-take action, kama vile charlie ali-do aki uliza mp wao story za maji...

ikuwe

10

Hi Dj B! Manze uko juu tu sana aki umeni-inspire hadi nime become hero kwa district yetu. Thanks a lot kwa ile stori ya coloured chicks. - Innocentho Okumu.


WALICHAMBUA

TUNGOJEE

Manze mko yuuest! Keep it up maxe! tembea maxhambani mcheki venye watu wana teseka espescialy gals plz. - Kevin Moseti.

11


nimekuwa nikisoma shujaaz since ianze. mbuyu wangu ananunuanga magazeti kila siku, na saturday ya kwanza kila mwezi mimi na bro tunangojea hiyo comic.

kuna time niliskia show ya DJ B kwa Ghetto Fm, kwa mat, lakini baada ya hiyo time imekuwa ngumu kui-get.

napenda shujaaz FM sana, favourite characters wangu ni charlie pele na maria kim. shujaaz inajenga mayuts. inaweza kusaidia kuanza bizna peke yako bila ku-depend kwa mapero. ni comic interesting sana.

nili-make mathe pia a-fall in love na shujaaz fm. pamoja tumejaribu ideas kadhaa kutoka hizo pages.

tume-rear rabbits, tume-plant sweet potatoes, tumejaribu water harvesting, na hata sukuma in a sack! kuna time mathe hata alituma SMS kwa 3008 ku-show DJ B juu ya hizo sweet potatoes!

12


hiyo project ya water harvesting ilikuwa ngumu - kwanza tulichimba shimo na tukai-cement. halafu tuka-direct ma-pipes kutoka roof mpaka hiyo shimo, lakini shida tulipata ni hiyo shimo ilishinda iki-crack baada ya kui-cement.

hizo idea zingine zimekuwa amazing.

asante DJ B!

Hii story ya BUBI ni noma hadi detail zingine tuli-censor. kama unataka hii info ju ya rights ya kupata maji text jina

“maji” na address yako kwa

The first 1000 people watatumiwa

‘Fuata Steps’ Guide! Au ukitaka radio recording, soft copy na videos enda u-download kutoka

www.shujaaz.fm

Hi dj b,nimelan alot about kids kwa shujaaz chapta 32 na nita-put hiyo comic buk hadi tym yangu ifike n u guyz r teaching us alot. big ups:-) - Kayla Dedesh.

13


14


15


slim ana-try kumbongesha babake juu ya elections... wewe haujafika age ya kupiga kura!

wachana na mambo ya elections!

tuongee juu ya elections siku utakuwa na id!

chuxx!! hii ni mara ya pili nakuona ukirarua poster ya wenyewe!

Kwingine mtaani...

sifa naye na shosh wake... hehe! ati kura? sasa wewe mtoto unaniambia nini? mimi sipigi kura, nafanya biashara!

i’m warning you! vitu zitakuwa different this time!

watu kama nyinyi mutaenda jela! constitution ya saa hizi si ya mchezo!

oh, maria kim... hehe! mimi nataka the right person a-win. na the right person ni godpapa!

njiani akielekea home......

slim... sifa! mbona mko sad hivyo?

kwani hakuna kitu mayut tunaeza-do ku-make sure zitakuwa peaceful?

hata wewe unakaa m-sad... ni hizi story za elections...

hata mimi nimeona hivo. sasa tuta-do?

tukibongesha ma-adults wanatulenga... ni kama hawatuoni hata...

tujaribu kubongesha councilor, maybe atatu-help.

hiyo ni idea poa. twende!

hahaha! kwa councilor...

ati?

! yaani ! ha aha nyinyi watoto ati a mnataka tuongee juu ah ah ya elections? h h ey... si masomo siku hizi ni free? ebu endeni shule. achana na elections.

16

aki!


eeh... nishasikia hiyo risto.

baadaye... sasa djb? eh! leo umenipigia simu!

sema maria kim! dem wa vungu! leo umekuwaje?

after kuambiwa mpango... niaje, nina mpango fulani, na-need unisaidie ndio i-succeed...

hiyo mpango ni kali! niko ndani! kesho basi!

ah, sijakuwa poa sana...

keshoye... maria kim, nini hizo?

hizi ni pledges toka kwa dj b. kila myut anafaa ku-get signatures tano toka kwa adults...

ma-adults wata-sign pledge, na kupromise wata-keep peace time ya elections!

nisaidieni kuzisambaza! make sure kila youth mtaani na shuleni ameget copy!

I KNOW YOU CARE ABOUT KENYA. I KNOW YOU ARE PATRIOT. I KNOW YOU CARE ABOUT MY FUTURE...

wabonge na ma-adults karibu nao, wa-get hizo signature kabla ya march 4th!

nime-get signatures tano! na wewe je?

17


18


19


20


21


22

Hi Djb, mie nilimada chuo 207 cna doo ya cole, niliamua kuanza kazi ya kugonga mawe iwe kokoto, nauzia watu 400/ kwa wilbaro. - Rodgers Terem, Bondeni OlKesem.


Big up Dj! Tunaku-congratulate sana kwa kujenga mayuts wote Kenya. - Ruthy Wanja. Hae! I luv tha way u help si mayuts thanks 4 dat. - Lynn Kenly.

23


boyie

24

Hi, DJ Boyie unabambisha mbaya nimecheki kwa nation leo. - Nixon Masiar. Hey! Dj boyie uko tu majuu hadi watu wanakuita DJ Majuu high. - Boniface Maundu.


Niaje Dj B mixing zako zina nibamba, uko juu tu sana. Keep it real buda! - Dancan Sengia Kalasinga. Hae Dj B, Shujaaz.fm inabamba tu sana. - Gerald Muvengei.

25


26

Happy New Year Dj B na ukuwe na nguvu za kutusaidia ma-youths this year. God bless your work. - Blessed Dorothy. Dj b show yako iko juu tu sana. - Evans Kanyua, Gatanga.


Mzea manzee congrats fi ua gud job kip de candle blazin nxt year. - Bob Fi Gully Bwoy. Uko topz kaa nundu ya ngamia. Endelea kuchapia mayut izo teachinz noma. - Kim Mbugua.

27


28

Mazee Dj b, umetu-help tu sana si mayuts. Endelea mara dat dat. - Eldon Okingo Ochieng. Thanx 4 yo advices jo mmenijenga. Kip it blazin Dj B! - Con Kataka D’NaughtyBuoy.


Niaje boyie coment zako ziko juu 2 xana na zinaweza encourage ma yout 2 xana nikiwa msee wa kwanza. - Voke Kathiaka. I like ur ideas, keep it up! - Hesbon Matoke Nyagaka.

29


shosh nini mbaya? unajiskia poa? nikuletee dawa?

hehe, kazi ishaisha mwanangu, vile nimeanza kutumia biogas kazi kwisha..

sisumbuki na kifua sababu ya moshi!

na hata mgongo yangu haumi siku hizi tangu niache kubeba kuni he! na unona vile skuma inamea. hakuna!

eh shosh, harufu ya samadi haikusumbui!? NA NZI KUJAA KILA MAHALI?

EEEH, SA VILE UME-RLAX UNAEZA NISAIDIA NA HOMEWORK YANGU SHOSH?

eh! UNAJUA NILIKUWA SHULE KABLA TUPATE UHURU. hebu kaa hapo kwanza nikalete hiyo githeri tamu ya bio-gas

eish.. gITHERI KILA SIKU..KWANI NI DAWA

30

Exactly my broda. I realy love ur work coz u really inspire us. Afte poa! - Susan Onwong’a. Niaje Dj B! Manze tnx kwa ku-advise mayuts truly u r our hero! - Zizu Gonjobe.


seriously wasee, hii bio-gas ni noma - haisaidii kwa nyumba pekee inatengeza mbolea poa sana ya kuweka kwa mimea

inaokoa ma-forest

inatengeza stima

ni-safe kutumia

si nzito kwa hivyo ni rahisi kuipeleka pahali unaihitaji

ia hata i kutum itumia a ni rahis z e ana watoi w

ina-save time

si lazima uwe na ngombe ndio utumie bio-gas. unaeza tumia majani

bei nafuu

hiyo mbolea inatokana na bio-gas ni poa kwa mimea sana

SAIDIA CUCU WAKO A-FEEL M-YOUNG TENA, MWAMBIE VILE HII BIO-GAS NI noma!

ni safi

ina save doh

UKITAKA KUJUA ZAIDI JUU YA BIO-GAS, TEXT JINA ‘BIOGAS’ KWA 3008 NA USISAHAU KUANDIKA JINA YAKO, miaka na place unaishi Hi shujaaz, your show is great u r enlightening youths & be blessed. - Diana. DJ B napenda comics zako. Leta show kwa TV. - Ronaldo Messi umo.


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
37 - ShujaazFM - Chapta 37 by Shujaaz - Issuu