cheki!
woooi!!
eh! si huyo ni knight?
twende tumsaidie!
knight... nini mbaya? ako poa? na-feel vizii... naumwa na kichwa na kila pahali... nasikia kizunguzungu...
12
eh, na kweli... cheki hii place nevnye ni safi. na services ni chap chap! hii place ni ya wase wa majuu, hatutaweza!
haya! hizi prices ni poa kwa services tuna-get hapa! tunahudumiwa chap chap na hakuna ma-line!
acheni wasiwasi...
cheki hizi ndio rates zetu.
tuko na nurse atamfanyia blood test halafu wamuhudumie. usiwe na wasiwasi, hapa amefika!
psst! maya! naeza ongea nawe kando kiasi?
24