Page 1

mtungi moja! 25 bob! i wonder,.. kama ningelipa hawa watu, naweza kata line?

beba!!

ala?

mum, mum! ona! maji yale ni ya 8/a jerrycan na ni cheaper!

tafadhalI I'm in a hurry, naenda airport...

nkt! lakini ni 3 thao! na sina hiyo dooh!

mum!! hope sitaonekana

8

water bill! bila maji!


maji ya tap ni less than 2 bob per jerican na ya lori ni 8/= ya mkokoteni ni 25. woi! na yote ni maji! i wish tungekuwa na maji ya tap.

tunaweza save dooh mob na maji ya tap. ninge make

dooh mob ningeanza bizna ya kuuza maji!!

najua ni nani atatusaidia... nikingia golf compe hii weekend... nita-meet mr. mwaga, ana-do job kwa

water company...

9


mwaga, unafanya job poa ya ku-provide water for the golf course...

speaking of which, ningependa kuku-join in the business... I hit? I hit?

how clever! so ninahitaji tu lorry na in 3 months nitakuwa na-make profits...?

ndio. tankers zangu hu-supply maji kwa watu...

hehe, mama malkia, wacha nikushow... una-swing hivi

Ati tumbo yako iko mbele ukikula matumbo inalia "found new hardware"

unajua nili-authorize diversion ya maji ili ku-irrigate golf course? na of course nina-make profit kidogo from selling to the wananchi!

mtungi moja! 25 bob! beba!! hawa watu! all potential customers!

10


huoni kitu mbaya?

what?!? they have puntured the pipe! wanaiba maji ya golf club!!

Its business na maisha!

lakini mum, wewe na mwaga mnafanya hivyo hivyo!

tuna-provide solution kwa problem!!

...hello, i'd like to report a water theft...

...lori ni 2 million shillings?! siwezi afford!

...unasema una 1972 model for 500,000, lakini ina leak vibaya...?

kama unataka mambo ya-change, chukua action. ongea. ni juu yako kufanya mambo ku change. chukua action! nita-share experience yangu na dj b!

Maji Kwa bei Ulijua, inachukua dakika 55 kuchota maji ya mkokoteni, 45 kutafuta maji, 5 kupata maji ya tap? * Water vendors wana-control bei vile wanavyo penda na ku-exploit wasee.

Ili ku-solve shida ya maji Julisha water service company inayouza maji area yenu juu ya illegal connections. Ni poa kuandika barua ama email baada ya kupiga simu. Ili kupata connection ya maji, jaza form na utume kwa water service provider inayo supply maji

Water service providers wanatakikana kufanya: Ku disconnect illegal connections za maji Kutumia malipo ya maji kuongeza connections mpya kwa wasio na maji Kuhakikisha kuwa customer service ita-respond kwa mahitaji ya customers

Pigia water board iliokaribu na wewe. Cheki hizi contacts

*Water for Urban Poor: Water Markets, Household Demand, and Service Preferences in Kenya. January 2005. The World Bank Group.

Nairobi City Water &Sewerage Co Ltd Water Services Regulatory Board Athi Water Services Board Malindi Water &Sewerage Co Ltd Coast Water Services Board Lake Victoria North Water Service Board Lake Victoria South Water Service Board

Nairobi

Hotline 0723895187 0724253582 0735417024

info@nairobiwater. co.ke

Nairobi

020 2733559/61

info@wasreb.or.ke

Nairobi

020 2724292/3/5

info@awsboard.go.ke

Malindi

213 10 37

mawasco@ africaonline.co.ke

Mombasa

041 2317066 041 2315230 041 2316471 056 30989 056 31506 056 30795

cwsb@ coastwaterboard.co.ke info@lvnwsb.go.ke

Kisumu

057 2025127 057 2024589

lakevicsouth@ yahoo.com

Northern Water Services Board

Garissa

046 2103598

northernwsb@ yahoo.com

Rift Valley Water Services Board

Nakuru

051 2213557 051 2213214

rvwsb@africaonline. co.ke

Kitui

0722 244849

tanathiwsb@ yahoo.com

Nairobi

020 2717468 0727 285663 0733 520641

report@integrity.go.ke

Tanathi Water Services Board Kenya AntiCorruption Commission Report Centre

02.b - Malkia  

Chapta 2 - Malkia