SI LAZIMA UWE NA JOB TAO! JIFUNZE KU-MAKE DOOH KWA SHAMBA!
NAKU-SHOW TIPS ZA KUMANAGE
CHAPAA! web
fm
sms
comix
.mobi
tuanze tena
boyie ameunda secret station kwa keja yake.
leta dooh ya security!
sina dooh!!
baada ya kumaliza form 4 mabeste wake wengi wame-join self-help group
lakini naweza wa-show njia zingine za kumake chapaa!
Tuma SMS kwa 3008 tusaidie vijanaa!
na sasa wanaitisha dooh kwa nguvu kutoka kwa wenyeji wa area yao...
o-e !!
boyie wacha kujifanya hutusikii!
wapi ile dooh ya security?
ulidhani tutasahau?
mlipokuja keja yangu niliwaambia nitawapatia ideas za ku-make chapaa!
ishia na upuzi zako tunakuja kukuona!
3
LIPA HAWA WASEE, WATAKUMEZESHEA! MBONA ULIWA-JOIN?
BOYIE! HEBU TEGEA!
MAZE VILE NILIMADA CHUO HAKUNA KITU YA KU-DO NA PIA HAKUNA DOH!
nimeskia NJARO YA KU-MAKE CHAKULA YA KUKU.utaijaribu?
HIYO NI KAZI YA UPUZI YA WAMAMA!!
bado ni pesa! ifikirie!
NIMESKIA UNANIITA?
UMeFANYA VIZURI, kuna redio station inanisumbua na nimeambiwa niipate na niifunge.wewe ni fundi. utanisaidia kuipata?
KA-REDIO? sijui mtu anayeweza kuwa nayo hapa
head office imenituma TUTAFUTE NI NANI, TUmFUNGE NA TUMUEKE JELA!
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Serah Mwihaki Pencils: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch Olunya Inks & colours & letters: Movin Were, Daniel Muli, Naddya Oluoch Olunya, Hunt Emerson Layout Design: Joe Barasa. Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.
4
Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
z EZ station T I LAKINI HUONI hiyo KUFUNZA NAUNAWE KUlocal TA M KUTANO? n kWATU ur U ki U U IT A IT K TMIA ni kitu kizuri? UNAWEZA ITUMIA UF NZ WATU NA IT M KUTANO KUFUNZA WATU NA KUITA MIKUTANO?
I T Y KWELI. .UNAJUA HATA AWEZA CAMPA IMI N KUFANYA IPAT MWENY A A G MIMI MWENYEWE NAWE NIKIPATA A NAYO! UYO! AN A CA P IG NAWEZA NAYO! KUFANYA CAMPAIGN NAYO!
KNOA KNOCK KNOCK! KNOCK KNOCK!
IT LAKINI SIJUI NIT WAPI KUITAF a - A WAPI KUITAFUTa -
K AAAH! BWANA SIKU H UKUBA HIZOHIZI HATUKUBALI HIZO!
KU U CHIEF, SHA NIMEKUJA KONO! BWANA KURUDISHA MKONO! KURUDISHA MKONO!
R ASANTE! WAHERI KWAHERI!
L ASANTE I NI I E KESI KWA ILE KESI!
S NINASHINDWA IK T KUKATAA! K UNAJUA NITT U VILE ZIMEJAA KILA MAHALI! I SASA V LE KU KAS RIKA NIKIKA ! LAKIN I EJ M ! NI SAS VILE WATAKASIRIKA K KU ZIMEJA NIKIKATAA! KI A MA LAKINI LI! SASA KUKU ZIMEJAA KILA MAHALI!
Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512
www.welltoldstory.co.ke
Printed on recycled paper by Bizone Limited, P. O. Box 47969 00100 Enterprise Road, Nairobi. In collaboration with: British High Commission, Nairobi; Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation
BIZONE
5
HATA KUZILISHA NI SHIDA! IT COSTS 100 BOB KILA SIKU!!
Kuna chakula naweza kukuletea kila siku kwa 50/=. Kuku zinaipenda!
MMH!..chakula poa ya kuku ni very expensive! 50 BOB EH? NILETEANGE KILA SIKU!
NA USISAHAU KuNICHUNGUZIA YULE MTU WA KA-REDIO!! SA-SAWA, CHIEF! NITAJARIBU!
TOSH! ILE PROJECT IMEIVA..! YA KUKU AMA YA YOUTH GROUP?
CHIEF ANATAKA CHAKULA yA KUKU ZAKE! DEAL YA KILA SIKU! NITAKU-SHOW VILE UTAZI-MAKE! ama nimpatie mtu mwingine sema? Labda ni wakati wangu wa kuacha kuzunguka mtaani
ni virahisi kutengeneza na UNAEZA TAFUTA MA-CUSTOMERS WENGINE PIA!
6
singefikiria mchwa zingekuwa chakula poa cha kuku. sijui kule unatoa hizi mchwa zote lakini ni kweli, kuku zangu zinazingefik r a mchwa zing kuw c a siku! u penda! nataka bundles tatu kila
150!? NAENDA KU-SHOW MA-FANS WA SHUJAAZ FM HII STORY!
SHUJAAZ FM! ASANTENI KWA KUNIPATIA TIPS! idea nilipata ya ku-make chakula ya kuku imesave boy wangu kutoka kwa genge flani! bado ninahitaji ideas zingine zenyu! tuma ya ku-ma e ha sms kwa 3008!
3.
2. Soak bundle kwa maji
1.
Tengeneza bundle ya mabaki ya mimea kama beans, na maize stalks zifunge pamoja na nyasi
6.
Chimba shimo ndogo na kuweka bundle kwa hiyo shimo
Steps za kutengeneza
termite trap Ili kutengeneza dooh mob, protect kuku zako kutoka na eagles, zi-paint na GV. Cheki Shujaaz Chapta 1
Bundle moja inaweza feed kuku 20 kwa siku na unaweza save Ksh 100 ya growers mash
5.
4. Funika bundle ilio kwa shimo na mimea Baada ya siku 3 toa bundle kwa mchanga na itakuwa na termites. Halafu spread contents za bundle ili kufeed kuku
7
mtungi moja! 25 bob! i wonder,.. kama ningelipa hawa watu, naweza kata line?
beba!!
ala?
mum, mum! ona! maji yale ni ya 8/a jerrycan na ni cheaper!
tafadhalI I'm in a hurry, naenda airport...
nkt! lakini ni 3 thao! na sina hiyo dooh!
mum!! hope sitaonekana
8
water bill! bila maji!
maji ya tap ni less than 2 bob per jerican na ya lori ni 8/= ya mkokoteni ni 25. woi! na yote ni maji! i wish tungekuwa na maji ya tap.
tunaweza save dooh mob na maji ya tap. ninge make
dooh mob ningeanza bizna ya kuuza maji!!
najua ni nani atatusaidia... nikingia golf compe hii weekend... nita-meet mr. mwaga, ana-do job kwa
water company...
9
mwaga, unafanya job poa ya ku-provide water for the golf course...
speaking of which, ningependa kuku-join in the business... I hit? I hit?
how clever! so ninahitaji tu lorry na in 3 months nitakuwa na-make profits...?
ndio. tankers zangu hu-supply maji kwa watu...
hehe, mama malkia, wacha nikushow... una-swing hivi
Ati tumbo yako iko mbele ukikula matumbo inalia "found new hardware"
unajua nili-authorize diversion ya maji ili ku-irrigate golf course? na of course nina-make profit kidogo from selling to the wananchi!
mtungi moja! 25 bob! beba!! hawa watu! all potential customers!
10
huoni kitu mbaya?
what?!? they have puntured the pipe! wanaiba maji ya golf club!!
Its business na maisha!
lakini mum, wewe na mwaga mnafanya hivyo hivyo!
tuna-provide solution kwa problem!!
...hello, i'd like to report a water theft...
...lori ni 2 million shillings?! siwezi afford!
...unasema una 1972 model for 500,000, lakini ina leak vibaya...?
kama unataka mambo ya-change, chukua action. ongea. ni juu yako kufanya mambo ku change. chukua action! nita-share experience yangu na dj b!
Maji Kwa bei Ulijua, inachukua dakika 55 kuchota maji ya mkokoteni, 45 kutafuta maji, 5 kupata maji ya tap? * Water vendors wana-control bei vile wanavyo penda na ku-exploit wasee.
Ili ku-solve shida ya maji Julisha water service company inayouza maji area yenu juu ya illegal connections. Ni poa kuandika barua ama email baada ya kupiga simu. Ili kupata connection ya maji, jaza form na utume kwa water service provider inayo supply maji
Water service providers wanatakikana kufanya: Ku disconnect illegal connections za maji Kutumia malipo ya maji kuongeza connections mpya kwa wasio na maji Kuhakikisha kuwa customer service ita-respond kwa mahitaji ya customers
Pigia water board iliokaribu na wewe. Cheki hizi contacts
*Water for Urban Poor: Water Markets, Household Demand, and Service Preferences in Kenya. January 2005. The World Bank Group.
Nairobi City Water &Sewerage Co Ltd Water Services Regulatory Board Athi Water Services Board Malindi Water &Sewerage Co Ltd Coast Water Services Board Lake Victoria North Water Service Board Lake Victoria South Water Service Board
Nairobi
Hotline 0723895187 0724253582 0735417024
info@nairobiwater. co.ke
Nairobi
020 2733559/61
info@wasreb.or.ke
Nairobi
020 2724292/3/5
info@awsboard.go.ke
Malindi
213 10 37
mawasco@ africaonline.co.ke
Mombasa
041 2317066 041 2315230 041 2316471 056 30989 056 31506 056 30795
cwsb@ coastwaterboard.co.ke info@lvnwsb.go.ke
Kisumu
057 2025127 057 2024589
lakevicsouth@ yahoo.com
Northern Water Services Board
Garissa
046 2103598
northernwsb@ yahoo.com
Rift Valley Water Services Board
Nakuru
051 2213557 051 2213214
rvwsb@africaonline. co.ke
Kitui
0722 244849
tanathiwsb@ yahoo.com
Nairobi
020 2717468 0727 285663 0733 520641
report@integrity.go.ke
Tanathi Water Services Board Kenya AntiCorruption Commission Report Centre
pink chicks
Kama kuku moja ni soo tatu, hebu hesabu ni dooh ngapi utakuwa umepoteza na mwewe kuzibeba? Elizabeth wa Kilifi ametutumia picha ya kuku zilizo pakwa dye ya pink. Kweli mwewe za kenya si smatta kuliko za Nigeria na Ghana. Alituandikia SMS ifuatayo.
Mwewe mara nyingi huwa zinakula kuku hapa Kilifi. Watu wamegundua kuwa wanahitaji njia ya kuzuia zisiIiwe na mwewe na kunguru Sisi hutumia food color ya raspberry red na tomato red, na kuchanganya na maji, halafu tunapaka kwa vifaranga kwa kutumia brush. Hii dye inakaa kwa muda mrefu. Lakini inaparara kidogo kukinyesha. Kwa hivyo unaweza paka tena hiyo dye. Kweli kupaka kuku dye huwa inafanya kazi ya kuzuia kuchukuliwa na mwewe na ili majirani wajue kuku zao ni gani. Watu wengi huku wamepaka kuku zao rangi na ningeshauri wasomaji wa Shujaaz FM watumie mbinu hii.
Waazi jo shujaaz mko juu tu sana thanks kutuchanua na ma idea za nguvu kwanza hizo za ma pink chicks i never thought of that. Big up keep up the good work. Guylord from Umoja
Nakuru, Boyie can teach the youths to live and to discover their talents. Radio Shujaaz ni poa coz it helps the youth to live poa
Nyi ni watu wa Shujaaz ni nguvu ku come up comic poa with this magazine because nime wa salute inapea vijana mnawashow ma ideas badala teens wasi give yao kuwa idle up in life mna na kucommit increase self crimes huyu ni esteem Naomi mark frm Eldy. Sema Boyie? You guyz have really inspired me, Nimeanza kujiona kama shujaa! Nataka kuambia mayouth waput effort in whatever wanado juu hardwork always pays..
starting a business
Mimi nawashauri vijanaa wasikate tamaa ile kidogo wanaget wikiimanage vipoa itajaza kibaba, mimi nimesoma lakini kazi noma, Nimejiajiri nauza barafu,zile pesa kidogo napata naweka ili nianze kutengeneza juice fresh, hata nitawaajiri vijanaa. Martin Ajire kutoka Mombasa Town.
12
Wengine waliniandikia juu ya story ya pink chickens. Cheki:
My chick ilikuwa alone, ukweli nilimpaka rangi ya mabuyu (red) Judith Omar, Bombolulu – Kisauni Nimedye kuku wangu
Asanteni kwa kunipa ushauri wenu. wa kuku kuwapaka rangi ya pink. kwani Hawashikwi na mwewe tena. kwa Ati dyeing ya chicks haijafanyika Kenya. Tembea jina ni Michael Kilifi u see 4 urself.zinapakwa color ya mabuyu. Mweni kutoka Malindi Kenya.
credits
big up shujaaz fm.ni Josiah Were from Mumias. Comix yenu iko juu 2 sana si ju eti John Tamoge, Kisii, Maze ina-entertain 2 bali ina funza everything kwa life ni wase kuwa responsible by kujicomit whatever small occupying their idol time it is coz life is a journey. kufanya productive things ka Anyway Shujaaz fm keep kugrow veges,kufuga kuku,ku- the spirit burning! poa. discaver talent yako kama vile charlie pele,malkia na pia We admired and interview ya nameless ina-he loved the project/ lp wese kurealize kuwa 2 be idea.good work! and successful u have 2 strive 4 the comic stripe is it.forget not read ma idea ya quite educating to kumek do via email.boyie our youth. Mary. Waiting 2 read your next My name is Vin issue. Patrick, Nyeri. Meso.i live in
Hizi ni SMS nilizopata kw Shujaaz. FM c Ups kw
talent
Heyz DJ B unado job smart sana. Mavijanaa tunafaa kugundua talents zetu through the society na tuzi utilize yaani we’ve got to learn 2 depend on the available resources
Mimi kama kijana nina vitu mob ahead na kumake my dreams to realities inabidi ni hustle thru ndio maana i choose kuadvice mavijana waplant paw paws Mayouth wanafaa wa folo their talents kwa hard times b coz lyf is hustling ,Miboi .m.b.o ..Nakuru
Mimi ni Caleb kutoka Ngumo.ningetaka kuambia Boyie idea yangu inayotoka talent ya kudraw art. Kama unajua kuchora unaeza anza kuchora makanvaz na mapotre Boyie mimi naona vijana wanaweza kuunda vikundi waanze ku save pesa,wanaweza kuanzisha project, kama kuanza shamba ya kuweka kuku na wataweza kuuza, Kuk
Ku-avoid ma-gangs
Maze mayouth wengi wamemada chuo walikuwa na talents nyingi ka kuact na kusing. Maze tuzitumie kwa mabro na masiz back in school kujikeep buzy .Ni boy wenu Edd. Kariobangi South
sack farming Shujaaz FM. my name is Emma na naomba mnishow any project ya vijana yenye itanihelp kupata income. Niko Nakuru. Please nihelp. Wasee wajaribu green grocery, imeimprove lyfe ya mine.
story ya kupanda skuma ni idea poa.unaweza ziuza na ukapata dooh. Kwa hivo ma-youth wakifanya kitu kama hicho kitawasaidia! Rose Muriuki from Nanyuki. Story ya kupanda skuma ni poa . unaweza kuziuza kupata dooh . Pia mavijanaa wanaweza kufanya odd jobz kupata chapaa . ailsa w, 11,buruburu
hey shujaaz fm i am p kahuho frm kiria ini nataka kuwambia vijana wajiamini ata wakitoka chuo wakoze job ju ata mimi huwa nabeba mizigo Keep rabbits kwa soko na nina make im Joshua from halafu uuze. dooh money mimi napata even Kimumu Eld, they could zitamwagika Shujaaz vipi! Shasha 400 per day nanina bibi plant maize and sell kama maji. mane hapa i jaz wanted 2 na watoto wawili so usive be a DJ then nikakosa doo moyo ati uanze kupora Kuna mradi wa kufuga kuku nikaamua kutafuta kibarua watu pray god na atasikia wa kienyeji naona unaweza sasa ni na save doo kwa saidia vijana,sababu account yangu manzee hazina shida nyingi kama kuliko kuwa gangstee. za kizungu.salome Nandi, Kisa West Location.
Ningem-advice boyie astart biashara ya kupanda skuma ili apate chapaa na awapatie hao magangs.Macharia from Ngorano Mathira. Karatina.
Niaje manz ni kweli manze ukijichunga na Boyie unaweza kufanya ma activities ka futa ukae bila shida na una weza kupanda sukuma na upate chapaa na uwe na mpango
Name ls Trevor Kurla.. Hlyo story ya skuma nl poa sana.na bana mumeonesha ..Ile risto ya nl poa. skuma nilijaribu na ilibamba Hi boyie, this project of planting Natalie from vegetables in gunias, i saw it Madaraka at highway sec sch in south B. Am a teacher at Upperhil Sch, we were attending a workshop
S za nguvu a readers wa chapta 1 . Big wenu!
i heard u talking in radio Qfm plz let me know more at which Fm iz Shujaaz Fm Dj Meloh of Mumias
fmMsi-miss kunisikiliza on Shujaaz FM show , kwa stations hizi poa poa nitakazo penya. QFM, KochFM, PamojaFM na Radio Lake Victoria!
Ni-visit kwa web
www.shujaaz.fm Utasoma zile story latest, uone animation, uskize radio shows kutoka kwa keja yangu na unicheki kwa facebook, twitter na you tube. Niachie mimi DJ B message ili mabeste wako na dunia nzima ione!
comix Shujaaz inapatikana Free every last Saturday ya Mwezi kwa Saturday Nation. Tegea!
shinda t-sho ya shujaaz fm!!! Nitumie SMS on 3008 pamoja na jina na address yako na vitu mnafanya kama vijana ili ku-improve maisha yetu. Nitawatumia SMS zenye tips za maisha na majobbo
Wale wasee walio na kwa messages ndio wameshinda T-shirt ya Shujaaz.FM. Congrats guyz!!
Kunituma SMS ni @ no extra charge!
wasee. msisahau kuandika your name and location!!!
Big ups kwa kunitumia mchongwanos Cheki zenye zimenibamba. Endelea kuzituma!
Ndai yako ninzee mpaka ikigonga bump, una-arrange viti Naskia ati nyi ni masonko design nyi huanika manguo kwa line ya Orange Ati ulimi yako ni reefu hadi uki sneeze inalia kaa nyahunyo Wewe ni mnono hadi watu kwenyu walikuchora line kwa mgongo ndo wajue ka unatembea ama una-roll Ati kwenu mnaongea mpaka hata watu huzima runinga zao Nitumie kuwasikiliza mchongwano Ati paka yenyu inajiskia mpaka zingine moto inadishi panya na fork moto ili Kwenyu nyi ni wengi mpaka buda huwaita e kuziwananchi share Ati kwenyu nyi ni wengi, time ya kulala mama yanyu anasema “ Haya ,kila mtu kidole kwa kitanda� We ni fala, leo asubuhi uliweka mkate kwa barabara ati ukingojea jam Ati maskio yako ni kubwa ukiingia sitting room TV inashika DSTV Ati first time yako ku-buy gari ulisema ufungiwe unaenda mbali askia mko advanced mpaka nyi huenda loo via etooth
Mchongwanoz mlinitumia!
13
likizo imeisha! vijana wangu hawatakaa nyumbani fwaa!
unajua, meneja hafai kuchelewa...
lakini baba...
boss alisema ataniita. ofisi yetu inahama...
kwanza huyo coach kabila yao ni ile mbaya...
14
unaenda wapi?!
badala ya kuwa hardworking uwe meneja kama bratha yako kila wakati ni mpira mpira tu!
mwagilia shamba maji. shika bucket!!!
charlie fanya hii, charlie fanya ile!!
maisha ni nooma!
shhh!
hebu nifanye tizi, inaonekana sitamake prako ya ball...
usiambie fathey!
buda anafikiri mimi ni meneja lakini nafanya kibarua kaa watchie!
mshahara si poa, mwaka mzima nime-save only 2 thao... sitaki kurudi. afadhali kulima!
aa, cheki vile shamba ya coach iko poa!
lakini ... coach pia ako na ka-daughter kapoa!
cheki vile yetu ni mbaya, lazima iwe coach wanatumia uganga ndio wako poa...
sasa taabu! ni aje? mna do?
15
16
wiki imepita. haurudi ofisi?
ee... nimeongezewa leave miezi mbili...
miezi mbili imepita. hurudi kazini?
boss alisema atanipigia...
fathey atakulipa vipoa. kazi ilikuwa mob pia na imejilipa.
taabu, mboga zako ziko poa!
mwezi ujao nitavuna...
huyu taabu miezi tatu nyumbani! kwani alifutwa kazi? hapa iko kitu.
17
nilijua tu! unalima kwa hao wachawi! rudi town!!!
watchman?
baba... mimi huenda town. lakini kuuza mboga... natengeneza pesa nyingi kuliko nikiwa watchie...
sasa ulinionyesha money maker pump... naweza kununua yangu!
nitakusaidia ku-pump...
kweli. nilidanganya... sasa maisha yangu ni hapa kama mkulima.
Tumia MoneyMaker Pump kuongeza mapato yako kila mwezi Wakulima wengi Kenya na Africa wameendelea ku-benefit kwa kutumia KickStart MoneyMaker Hip Pump kama Daniel Karanja Njenga na mke wake Nancy Gathoni walivyogundua. Daniel alipoteza mali na makao yao wakati wa post election violence, na kuwa IDPs. Daniel aliona hii pump kwa promotion ya KickStart na akaona ni poa kuitumia ili kulima. Daniel alifanya vibarua, Ili kupata dooh ya pump. Hii pump sio nzito, ni rahisi kutumia, affordable na hu-operate manually. Daniel aliweza kulima wakati wa kiangazi. Hii pump inaweza kunyunyizia maji kwa shamba la 1 ¼ acres. Maisha ya Daniel yameimarika na anaplan ku-expand shamba lake ili ku-manage family yake.
BCLB NO. 001565
Family • Life • Success
18
Imarisha Kilimo Promotion! Hadi 30th June 2010 KickStart itapeana 10 meters pipe FREE ya kuingiza maji kwa kila MoneyMaker pump utakayonunua! Kwa hivyo, nunua MoneyMaker Hip Pump kwa Kshs. 4,009 badala ya Kshs. 4,709 ikiwa na pipe ya kuingiza maji na ingine ya kutoa maji. Nunua Super MoneyMaker Pump kwa Kshs. 8,750 badala ya Kshs. 9,450 ikiwa na pipe ya kuingiza maji na ingine ya kutoa maji. Nunua pump yako leo au upige 0725 790050 kujua KickStart Authorised MoneyMaker Pump dealer aliye karibu nawe!
da n i h S mp! Pu
Shujaaz mwezi huu inapeana 2 MoneyMaker Hip Pumps na 1 Super MoneyMaker Pump. 3 FREE kwa lucky readers wetu!! Tuma SMS ikiwa na PUMP, JINA LAKO, na kujibu swali ifuatayo kwa 3008: MoneyMaker Hip Pump katika Imarisha Kilimo Promotion inauzwa pesa ngapi pamoja na pipes mbili? Hii compe itaisha April 24th 2010; Washindi wa hii compe wata announce-iwa kwa Daily Nation Staff and employees of WTS and Kickstart International are not qualified to enter this competition
WAAZI, WEEKENDI TUTA-PAAAARTY!
NKT! CHUXX MBABA TENA!
LAZIMA, LAKINI SIO NA WEWE
MARIA KIM
VIPI WASUPAA, MNA-COME GIG YA LEO?
MARIAKIM, TUINGIE ILE NGANYA YA beste yangu! AAW MARIA!
sasa mresh, UTA TOKEA ILE GIG YA youth-fest?
KAMA UTALIPIA!
19
DOH NI ZA? UNAENDA gig? NI-COME?
SAVINGS ZANGU ZA VIATU! NITACHUKUA KIASI NA KU-SAVE ZINGINE KWA ACCOUNT!..
pengine. chapaa ni less NA WEE BADO NI MTOI! DRESS TOP NI 3 THAO TU!
NAEZA IPATA FOR FINJE KWA MTUSH!
MMH, SI UNI-BUYIE LEO NA NITANG’ARA NA WEWE KWA GIG?
POA! KAMA KAWAIDA, AU SIO?
MARIA, hiyo soda si ime-boil by now?
MOJA INA TOSHA
20
later...
TUPITE NYUMA NISIONEKANE!!
KWA NINI?!
SAWA, TIME YA KWENDA HOME IMEFIKA! HUYU TINA MAZEE YUKO SIDE GANI?
TINA MGANI?! NINGEJUAJE WANGEKUJA SAME TIME?!
MIMI HU-SAVE DOH ZANGU!
MIMI HU-BUDGET! NGUO NANUNUA MTUSH! SITEGEMEI MACHALI!
MNASHTUKA NINI, SI HATA WEWE ULIMTOANISHA CHUXX DOH ZA KU-COME?! MARIA, CHEKI!
?!?
yule ni...?
21
WEE! UMEKUJA AJE HAPA? CHUXX ALINIPATIA DOH!
KUNA NINI KULE?
UTAZIRUDISHA!
! F TW AA EE, EEH...! TINA AMUA!! NI YEYE AU MIMI?
22
MSUPAA!
RELAX! SKIZA..!
WEE! USIWAHI KARIBIA huyu TENA!!
MII NI DAME AMEJIPANGA KI-CHAPAA!!
I WISH NINGEKUWA NIMEJIPANGA KAMA MARIA KIM!
“ 3008: DJB, NIKI-MANAGE DOOH ZANGU NITAWEZA KUJITEGEMEA”
Manage dooh zako Vile unavyo endelea kujuwa juu ya ku-manage dooh zako ndivo utaweza kuzi-control na kuwa na goal, ku-budget na ku-save Ili ku-save, tumia dooh less kuliko mapato yako. Unaweza ku-save kwa banks, kwa keja, na credit unions - you're never too young! Tuna-save sababu tunataka ku-meet goals zetu, kama fees kwa Maria Kim, ili kuwa tayari kukiwa na emergencies na ili ku-buy kitu unataka Jua ni dooh ngapi unahitajika ku-save ili ku-meet goal yako. Kuwa na mpango wa ku-save kama kupunguza expenses ama kufanya kibarua Kua uki-save kila wakati hata dooh kidogo inaweza ku-make the difference. Ili ku-save, ni muhimu kuwa patient juu ina take time kurealise goal yako. anza leo!
Budget
Budget itakusaidia kujuwa vile utasave na ku-spend dooh. Jua ni dooh ngapi uta kuwa uki-save kwa wiki na ujue expenses zako kwa mwezi Ili ku-save, punguza matumizi ya dooh, tumia dooh kwa ile kitu unahitaji pekee, fuatilia budget yako ili ku-meet goal yako. Hii inahitaji uwe na hiyo discipline na uwe na pahali safe unaweza ku-save iwe ni bank ama kwa keja
23