Page 1

tuanze tena

boyie ameunda secret station kwa keja yake.

leta dooh ya security!

sina dooh!!

baada ya kumaliza form 4 mabeste wake wengi wame-join self-help group

lakini naweza wa-show njia zingine za kumake chapaa!

Tuma SMS kwa 3008 tusaidie vijanaa!

na sasa wanaitisha dooh kwa nguvu kutoka kwa wenyeji wa area yao...

o-e !!

boyie wacha kujifanya hutusikii!

wapi ile dooh ya security?

ulidhani tutasahau?

mlipokuja keja yangu niliwaambia nitawapatia ideas za ku-make chapaa!

ishia na upuzi zako tunakuja kukuona!

3


LIPA HAWA WASEE, WATAKUMEZESHEA! MBONA ULIWA-JOIN?

BOYIE! HEBU TEGEA!

MAZE VILE NILIMADA CHUO HAKUNA KITU YA KU-DO NA PIA HAKUNA DOH!

nimeskia NJARO YA KU-MAKE CHAKULA YA KUKU.utaijaribu?

HIYO NI KAZI YA UPUZI YA WAMAMA!!

bado ni pesa! ifikirie!

NIMESKIA UNANIITA?

UMeFANYA VIZURI, kuna redio station inanisumbua na nimeambiwa niipate na niifunge.wewe ni fundi. utanisaidia kuipata?

KA-REDIO? sijui mtu anayeweza kuwa nayo hapa

head office imenituma TUTAFUTE NI NANI, TUmFUNGE NA TUMUEKE JELA!

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Stories: Simiyu Barasa, Paul Peter Kades, Serah Mwihaki Pencils: Daniel Muli, Eric Muthoga, Naddya Oluoch Olunya Inks & colours & letters: Movin Were, Daniel Muli, Naddya Oluoch Olunya, Hunt Emerson Layout Design: Joe Barasa. Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio.

4

Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.


LAKINI HUONI hiyo local station LAKINI HUONI hiyo local station ni kituHUONI kizuri? UNAWEZA LAKINI hiyo local ITUMIA station ni kituHUONI kizuri? UNAWEZA ITUMIA LAKINI local station KUFUNZA WATU hiyo NAUNAWEZA KUITA MIKUTANO? ni kitu kizuri? ITUMIA KUFUNZA WATU NA KUITA MIKUTANO? ni kitu kizuri? ITUMIA KUFUNZA WATU NAUNAWEZA KUITA MIKUTANO? KUFUNZA WATU NA KUITA MIKUTANO?

KWELI...UNAJUA HATA KWELI...UNAJUA HATA MIMI NIKIPATA MWENYEWE KWELI...UNAJUA HATA MIMI NIKIPATA MWENYEWE KWELI...UNAJUA HATA NAWEZA KUFANYA CAMPAIGN MIMI NIKIPATA MWENYEWE NAWEZA KUFANYA CAMPAIGN MIMI NIKIPATA MWENYEWE NAWEZA NAYO! KUFANYA CAMPAIGN NAWEZA NAYO! KUFANYA CAMPAIGN NAYO! NAYO!

LAKINI SIJUI NITAANZA LAKINI SIJUI NITAANZA WAPI KUITAFUTa -LAKINI SIJUI NITAANZA WAPI KUITAFUTa -LAKINI SIJUI NITAANZA WAPI KUITAFUTa -WAPI KUITAFUTa --

KNOCK! KNOCK! KNOCK! KNOCK! KNOCK! KNOCK! KNOCK! KNOCK!

AAAH! BWANA SIKU HIZI AAAH! BWANA SIKU HIZI HATUKUBALI HIZO! AAAH! BWANA SIKU HIZI HATUKUBALI HIZO! AAAH! BWANA SIKU HIZI HATUKUBALI HIZO! HATUKUBALI HIZO!

BWANA CHIEF, NIMEKUJA BWANA CHIEF, NIMEKUJA KURUDISHA BWANA CHIEF,MKONO! NIMEKUJA KURUDISHA BWANA CHIEF,MKONO! NIMEKUJA KURUDISHA MKONO! KURUDISHA MKONO!

ASANTE! ASANTE! KWAHERI! ASANTE! KWAHERI! ASANTE! KWAHERI! KWAHERI!

NI ASANTE KWA NI ASANTE KWA ILE KESI! KWA NI ASANTE ILE KESI! KWA NI ASANTE ILE KESI! ILE KESI! UNAJUA NI VILE NINASHINDWA KUKATAA! UNAJUA NI VILE NINASHINDWA KUKATAA! NI VILE WATAKASIRIKA NIKIKATAA! LAKINI UNAJUA NI VILE NINASHINDWA KUKATAA! NI VILE WATAKASIRIKA NIKIKATAA! LAKINI UNAJUA NI VILE NINASHINDWA KUKATAA! SASA KUKU ZIMEJAA KILA MAHALI! NI VILE WATAKASIRIKA NIKIKATAA! LAKINI SASA KUKU ZIMEJAA KILA MAHALI! NI SASA VILE WATAKASIRIKA LAKINI KUKU ZIMEJAANIKIKATAA! KILA MAHALI! SASA KUKU ZIMEJAA KILA MAHALI!

Published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 / 0719 407512

www.welltoldstory.co.ke

Printed on recycled paper by Bizone Limited, P. O. Box 47969 00100 Enterprise Road, Nairobi. In collaboration with: British High Commission, Nairobi; Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation

BIZONE

5


HATA KUZILISHA NI SHIDA! IT COSTS 100 BOB KILA SIKU!!

Kuna chakula naweza kukuletea kila siku kwa 50/=. Kuku zinaipenda!

MMH!..chakula poa ya kuku ni very expensive! 50 BOB EH? NILETEANGE KILA SIKU!

NA USISAHAU KuNICHUNGUZIA YULE MTU WA KA-REDIO!! SA-SAWA, CHIEF! NITAJARIBU!

TOSH! ILE PROJECT IMEIVA..! YA KUKU AMA YA YOUTH GROUP?

CHIEF ANATAKA CHAKULA yA KUKU ZAKE! DEAL YA KILA SIKU! NITAKU-SHOW VILE UTAZI-MAKE! ama nimpatie mtu mwingine sema? Labda ni wakati wangu wa kuacha kuzunguka mtaani

ni virahisi kutengeneza na UNAEZA TAFUTA MA-CUSTOMERS WENGINE PIA!

6


singefikiria mchwa zingekuwa chakula poa cha kuku. sijui kule unatoa hizi mchwa zote lakini ni kweli, kuku zangu zinazisingefikiria mchwa zingekuwa chakula penda! nataka bundles tatu kila siku! poa cha kuku. sijui kule unatoa hizi mchwa zote lakini ni kweli, kuku zangu zinazipenda! nataka bundles tatu kila siku!

150!? 150!?

NAENDA KU-SHOW MA-FANS WA SHUJAAZ FM HII STORY! NAENDA KU-SHOW MA-FANS WA SHUJAAZ FM HII STORY!

SHUJAAZ FM! ASANTENI KWA KUNIPATIA TIPS! idea nilipata ya ku-make chakula ya kuku imeSHUJAAZ FM! ASANTENIsave boy wangu kutoka kwa genge flani! KWA KUNIPATIA TIPS! bado ninahitaji ideas zingine zenyu! tuma idea nilipata ya ku-make chakula ya kuku imesms kwa 3008! save boy wangu kutoka kwa genge flani! bado ninahitaji ideas zingine zenyu! tuma sms kwa 3008!

3.

2. Soak bundle kwa maji

1.

Tengeneza bundle ya mabaki ya mimea kama beans, na maize stalks zifunge pamoja na nyasi

6.

Chimba shimo ndogo na kuweka bundle kwa hiyo shimo

Steps za kutengeneza

termite trap Ili kutengeneza dooh mob, protect kuku zako kutoka na eagles, zi-paint na GV. Cheki Shujaaz Chapta 1

Bundle moja inaweza feed kuku 20 kwa siku na unaweza save Ksh 100 ya growers mash

5.

4. Funika bundle ilio kwa shimo na mimea Baada ya siku 3 toa bundle kwa mchanga na itakuwa na termites. Halafu spread contents za bundle ili kufeed kuku

7

02.a - Boyie  

Chapta 2 - Boyie

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you