Skip to main content

16 - Shujaaz.FM - Chapta 16

Page 1

inspiring kenyan youth

not for sale web

fm

chapta 16 sms

comix


AHA! kama unapenda futa kunIlIko, jarIbu hII quiz yangu! good luck!

m

i l a asw

eague? L r e i m e nya Pr e K 0 ntry 1 u 0 o c 2 a a d w zwa k i ilishin e n h a c i g l i m ) a (2010 p u 1. Te C d l ni club r o o y W a b t s m xerre a 2. La ni? u A a e z ga anache utions h t c i e i t l s O b u nnis i? o na s k i t n 3. Deo country gan e ournam ik t a y y e gam countr l l a a b w t i n o adrid 4. Fo pi? M l a e R nga or wa i y a b e d A paka, n l a e f u o n a S bee na 5. Emni Africa? m a r a H u chini b a i j w a ga r m e i Chek li, play gani? a g u M y 6. Bob in wa countr orig

MA J IB U: 1. Ulinzi Stars 2. South Africa 3. France 4.3 5. Togo 6. Congo


Man Like Kalito!

3


4


5


6


Pata info juu ya kufuga kuku kwa page 9

7


Tangu nikuwe mtoi, nilitaka sana ku-do job ya radio. Lakini sikuwa na dooh za fare na ku-hustle. Nilikuwa na savings kiasi, nika-omba wazazi kuku moja. Then nika-buy zingine mbili. Hizi kuku ndio zimefanya ni-achieve dream yangu ya kuwa RADIO PRODUCER.

Biz ya kuku ndio imefikisha Eunice penye ako saa hizi! Imagine thao kwa wiki! Kuweni wajanja! Hebu try hii idea u-show DJ B kwa

3008!

Niliamua nifuge kuku za kienyeji juu hazina job mob. Saa hizi nina kuku 65. Kwa wiki, mayai zinaingiza 1000, kukiwa na sherehe, kuku wa nyama wanaleta kama 6,000!

aina Eunice: M Ruai

Base er … lakini oduc Wax: RadiodoPr afuga kuku… an , an ok nd ka Kuku ni biz poa ya kufanya kando: 1. Unaweza fuga kienyeji, hybrid, broilers ama layers. 2. Kama unataka kienyeji, unaweza nunua kwa jirani ama rafiki mwenye tayari anafuga. 3. Kama unataka za grade, unaweza nunua kwa: • Muguku • Ideal[Sigma] • Kim [wako Nakuru] • Kenchic Hawa hu-provide kuku yenye ni 1 day old na ina-cost kshs 60 kwa chick moja. Ya kienyeji moja ni kshs 80. 4. Ongea na agrovet aliye karibu na wewe juu ya risto za dawa za kuku. 5. Hizo kuku unaweza uzia supermarket, hoteli, duka, butchery na ma-customer wengine.

8

Ni biz poa, na imeniwezesha ku-hustle. Pia nikiwa na emergency, najua kuna dooh iko spare place flani. Si ati ni risto za ocha, ni ujanja! Mifugo itakuinua, na itakupeleka kwenye unataka.

Kama hauna space ya kuweka kuku kwa saa hizi, ongea na beste mwenye ana ka-ploti akuwekee umpatie commission ausio?!

Na kuku zote Kenya hutaga mayai 1.3 BILLION kwa mwaka…yaani, ukizipanga side by side zote, zitazunguka dunia mara mbili!!

Hebu fikiria: Kuku 3 layers, zinaingiza kshs 500 kwa mwezi!


9


Afya Yako, Haki Yako!

10


11


MALKIA!

! ! F F U KU-D

Unaletwa kwa hiii hospitali ya wananchi na uko na health insurance?!

Hapa hauwezi-treat-iwa vizuri! Wacha nikupeleke kwa private clinic my daughter.

NURSE!! Kuja unisaidie kumbeba mtoto wangu nimtoe hapa!

12


Si uharakishe, hauoni mtoto wangu hajahudumiwa?!

Heee! Mtajipanga!

At least tume-manage kuja kwa clinic. Doctor wa hapa ni mzuri sana, atakupatia very good treatment.

Aki mum kwa ile hosi, hawakuwa wananiskia! Nilingoja 3 hours kabla daktari afike. Hakunipima, nurse amenitukana‌

eh! wewe tena!

13


Pole sana Stella. Nilikuwa held-up kwa ile hospitali ya wanachi. Lakini nimefika, wananchi. hakuna kazi ya maana huko!

Shhh!

Mum, huyu ni yule daktari wa ile hosi!

Hehe, em, er, sorry daktari, unajua watoto siku hizi wanapenda kuongea ovyo ovyo…hehe

No problem Stella, naelewa ni madawa zinamsumbua.

Thank you daktari. Umetusaidia sana. Labda tunaweza patana baadae tukunywe kahawa au juice?

14

Ni sawa Stella. Ok, mkihitaji anything, nipigie simu anytime, 24 hours.

Unaezaje ongea hivyo mbele ya daktari? Haujui yeye ni a very respectable professional?!


Niko lucky nina insurance, sasa wale wamebaki kwa public hospital sijui kama walihudumiwa? Wacha niambie DJB vile ni lazima tu-demand better services kwa hosi zetu!

UNA RIGHT:

Ya kujua ni ugonjwa gani umepatikana nayo, na ni matibabu gani daktari ana plan kukupa, na matajario ya daktari kulingana na matibabu.Ya kuhudumiwa kwa vipoa bila kutukanwa au kudhulumiwa

Uliza questions kama hauelewi info ambayo umepewa kwa hosi.

Kama umedhulu

miwa hosi:

Omba copy ya file yako ya matibabu Andika barua na complaints zako na u-includ e copy ya file yako kwa: Medical Practitioners & Dentists Board Woodlands Road , P.O Box 44839 – 00100 Nairobi Tel: 0722631601 laint kwa Tuma copy ya hii comp tion.org da un info@morrismosesfo kesi yako. ilia at fu ku e idi sa ku wa ili ! rtini na complaint yako Pia unaweza kuenda ko

Pata info zaidi juu ya hawa wasee kwa web: www.cfk.unc.edu

Morris Moses Foundation ni organization ambae nahimiza wasee wajue haki zao juu ya matibabu kwa hosi. Usiogope kufuatilia haki yako! Pata info zaidi kutoka Morris Moses Foundation:

0204343074 0728310983 0733689320 [Ulizia Alice]

15


Asanteni sana kwa feedback yenu. Big up kwa winners wa T-sho!!

Kufuga Kuku Na Sungura! DJ B nimepata iyo stori ya rabbit kwamba naeza kuget chedaz, manure na food kwa rabbit nita-spread gospel tuweze kujisaidia. - Marleen.

Big-Ups To Shujaaz!

Nawa-thank sana kwa ku-start huu mradi wa kusaidia mayouths. Mimi hufuga kuku wa kienyeji na bizna hii imeniinua sana. - Juma, Kibera.*

Wow! Congrats DJ B, people lyk u ought 2 live long. U r an inspiration n admiration 2 many. Thanx 4 ur articoz n creativity. BIG UPS 2 YA ALL. Love ya big!

Niaje Boyie, show yako imeni-assist na nimeacha kugej nimeanza project ya kukeep rabbits . - Josef Mugo, Baricho.*

Manze mna idea noma sana. Imagine nina 1 month tangu nianze kusoma hizi comic zenyu na zimenibenefit tu sana, so keep it up coz zita change Kenyans sana. If zingewafikia wasee wote na wasome, tunge-live in a new Kenya without tribalism. Chaoos! - Mary. *

Niaje DJ B, mimi nafuga sungura na inanibenefit coz natumia tym yangu free viruzi kuzichunga na inanipa doo na food.

DJ B u have changed ma life! The magazines zimeni-inspire so I will think of ideas n send it to u on Facebook. - Dicky, Kisii.

SMS 3008

traibo!

Facebook DJ Boyie

Niaje DJ B! Radio show yako imeni-teach lessons kibao na many have bin assisted especially ya traibo. Otherwise show iko fine. - Billow Abdi.

Story Za Alcoholism DJ B, gej inasumbua mayuts wetu huku mtaani. Machief wetu wakitake fast action, mayut watasaidika na familia zetu. - Brian Onyango, Tasiaa. 16


Unaweza Marry Kutoka Tribe Different? Hi DJ B, thanx alot nime read chapta 14 na iko mez poa kwa wasee kuhusu ukabila. Ope wata-change. - Monica Wambui.

Vila Joy Wambui

Hapo sawa. Beauty is not seeing which tribe she belongs to plus the skin colour. Beauty is in some1’s heart n how both of u feel about each otha. - Humphrey Karanja.

Aka: Tasha Base: Embu 14 years

Naona all the issues about tribalism almost 90% zinaletwa na ma-leaders wetu. Solution ni..mayuth waache kudanganywa na ma-leaders. - Brayo. *

Shujaaz

Leaders Wasituhonge Tuki-Speak Out!

Chuo kwetu kulikuwa na madem wengi wana-harass-iwa na hawana place ya ku-report. Nilisoma juu ya harassment in schools kutoka ShujaazFM comic. Hapo ndio niliamua kuanzisha counselling club. Nilibonga na mateacher na nikaanzisha hii club. Hii club inasaidia madem wengi huku Embu. ShujaazFM ime-help mayuts wabonge freely juu ya issues zao. Shujaaz FM radio show imeshinda award noma kutoka One World Media! Big up kwa wasikilizaji wote! Endeleeni kusikiliza!

For me, I would just follow what my heart tells me...shida ina-last lakini doo ni kitu utaspend iishe. Jiamulie ukijua kuna consequence! - Wendie Agumba. *

= t-sho winners!

17


Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

Content producer: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades | Vincent Muthini | David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout design: Stefanie Freccia | Joe Barasa Art: Daniel Muli | Eric Muthoga | Salim Busuru | Noah Mukono | Joe Barasa Radio: Eunice Maina Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio

Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.

18

MCHONGOANO Una kichwa kikubwa hadi ukisimama at a distance mtu anadhani ni sign board ya lollipop. - Ashley Peter Wewe ni mchafu hadi una mashilingi kwa roho. - Raul G Machariaz Una siz mnono hadi chali yake humshow “u are two in a million”. Una sura mbaya ukicheka watoi wanalia! - Ann Karendi Kwenu shagz ni slopey hadi doggy hu-bark kaa zime-cling kwa mandizi. Linikony Gatimu Shosh yenyu ni mzee hadi birth certificate yake isha kuwa diploma. Mbuyu wako amesota hadi mlipovamiwa alitumia police ‘please call me’. Kwenu mko wengi mpaka unatumia megarider kuingia. Wewe ni expert wa ku-beep wengine mpaka ukibeep simu hujiandika “almost a missed call”! Nyinyi ni wengi hadi mtoi wenyu wa mwisho anaitwa “etc”. Ati wewe ni mjinga, ulipanda mti ndio ukue branch manager. - Collins Njite

SHENG DICTIONARY Arosto - Sota Chiwawa - Dogi Bakubaku - Bag* Gathemba- Father - “Gathemba wa Charlie Pele anaamini utraibo.” Gafe/Ngiai - Chai* - “Nimekunywa ngiai na mandazi kwa Mama Kago.” Lapa - Danganya Ngeso – English - “Si unajua Chuxx hakuwangi poa risto za ngeso!” Njweta - Sweta* Mongiso/AK- Rifle Mguu ya kuku- Pistol Ombitho- Bangi Para - Kofia* Tonje- Laptop * Idda Dickson umeshinda T-Sho kwa ku-contribute sheng noma!


Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!

Beste Wa Elimu

j.k tumeshinda hapa two hours na tuko na points mbili pekee. hii assignment tutaimaliza leo? ile website tulipata ilikuwa na points mob ukazikataa. sasa it’s almost usiku.

hizo zilikuwa story za wasee wa america, hazi-apply hapa.

i wish tungeweza kupata mtu ameenda campo hapa atu-show hizi story.

sasa maria kim na j.k.? nimesikia mkiongea. kuna msee najua anaweza kuwasaidia. naweza kuwapeleka kwake.

cindy, natoka mapema kidogo. si ikifika 7.30 ufunge cyber? hakuna noma. tuchekiane kesho!

ah, edna! utakuwa umetusaidia sana, twende!

19


huyu msee alini-show ati ali-graduate two years ago. unajua nilimaliza high school sasa nangoja kuenda university kusomea architecture.

so huyu msee alisema niki-get time nimuone anishow stori za uni. time kama hizi yeye huwa pale poa.

eh, lazima nisaidie johny asome apite, asiwahi fanya kazi kama hii.

sasa? NImekuja na mabeste zangu utu-show vile UNI kulikuwa.

oh! aaah...

chuxx?

20

chuxx!

oh, mnajuana?


mimi sikudhania ati umewahi kuona mlango ya uni.

hehe! so mnatakaje?

oh... benefisss... beneffff... benefists? nitawashow!

tuna-do research on “benefits of going to university�, tungependa utu-help.

campo tulikuwanga tunakatika! bash kila weekend! tulikuwa tunaletewa ma-dj wanoma nakuambia! madem kibao. Kuku dance jo!

ulifanya course gani?

ah, wewe nawe! nani hukumbuka course alifanya? acha niku-show...

21


Tilikuwa tunawasha tuki-get dooh za student loan! Gej ilikuwa ina-flow kama rive!

chuxx!! acha mchezo! tuambie ukweli!

umm...

nikiwa primo books zilikuwa zinanilemea. sikuwa na-understand. nili-try kutafuta usaidizi...

ok. ukweli sikuenda campo. nili-fail exams primo, hata sikuenda university.

22

ni cousin yangu alikuwa uni, ndio alikuwa akini-invite kwa ma-bash.


ma odijo wako busy...

teacher, i have a question about this problem. i don’t understand...

Mbuyu hakuwa na interest dad, kuna hii project ya shule... unaweza kunisaidia kuifanya...

nduma, mimi sina time ya hizo vitu za chule. unaona hii chamba yote inafaa ilimwe kabla mvua ianze?

not now, nduma. i’m busy marking the exams, ok?

kama tu ningepata mtu wa kunisaidia na my school work, ningeenda mpaka campo na saa hizi life yangu ingekuwa different sana.

Sikujua kusoma inaeza kuwa hard hivyo. Haikuwa fault yako!

thanks...

kumbe ni poa kusaidia mtoi ako shule. Imagine Chuux angepata extra help, angeendelea tu poa na masomo.

life yangu imekuwa hard, lakini ukinipa hug moja tu nitakuwa poa...

eeeish! get your hands off me!

oh, puliiz! hebu twende!

hey, mimi ninaishi hapa. si tuonane kesho basi?

sawa. good night!

23


Lazima tufanye more kusaidia watoi wa hii area yetu na masomo.

Unafanya nini

ku-improve

this sato ninasaidia bryo ku-learn multiplication.

elimu ?

FACT: System yetu ya education ina shida kadhaa. LAKINI: Education ni responsibility yetu sisi wote. Kuwa beste ya elimu. thanks kunifikisha home. tuchekiane kesho cyber! Hii homework lazima tumalize pamoja. Bryo, uki-multiply unaweka hivi kando, halafu unaanza kuhesabu. Na nyinyi ingieni hapa tusome together...

Rafiki wa Elimu ni group yenye ina-involve wasee wote mtaani, wakuwe na interest kwa quality ya elimu. Vitu ndogo kama kusaidia watoi na homework inaweza change future yao. Hivi ndio mayuts tuta-change quality ya elimu Kenya.

Kuwa rafiki wa elimu ndio: Upate chance ya kuuliza maswali juu ya quality ya masomo ya area yenu kwa church, mosque ama community meetings. DJ B Ambia wasee Ukuwe na info zaidi wakuwe beste ya juu ya vile education elimu, badala ya system inaendelea ku-complain kila kwa area yenu. wakati! Msee yeyote anaweza join Rafiki wa Elimu. Download form kwa www.uwezo.net na uitume kwa P. O. Box 1056500100 Nairobi. Ama sms kwa 3016.

24


Majuju Za Sangoma Tena?! ...halafu na-get ball mpya...

...plus njumu poa za ball...

...jersey ndio hiyo!

...hata naeza buy ndege! ...pia na-buy tractor!

aki siwezi ngoja!

na hii dooh yote... utapata wapi? sweet potato zimeiva! twende tuzicheki!

25


oho! charlie amefurahi kweli kweli! tazama sasa baba charlie, ambaye wakati uo huo, anaelekea nyumbani...

sasa taabu...

hm...

tukizingumza, labda tutapata suluhisho... njia ya kusaidia watoto wetu...

labda niende kwa wale jirani...

haiya! mtego!

26

watasikizana aje? wataishi aje?

anataka kuoa msichana wa kabila ingine...

bila shaka, maadui wangu wanadhani wamenipata! lakini WAPi! hahaha!

lakini... hii ni mtego ya aina gani wameniachia?...

sio shimo la nyoka... ...na sio cage kama ya ndege...

labda ni... sangoma saidiaaaa...


...nikaona hii shimo njiani kama trap inaningojea...

nakuuliza, sangoma, hii ni uchawi gani hii?!?!?!

...nilikuwa natembea hivi...

kweli...

...ni karne mingi tangu nione uchawi ya hii kiwango...

...naombea nguvu za kuikinga inavyostahili...

27


muda si muda, charlie na rosie wanafika shambani! ...labda hata tunaweza kuonja sweet potato moja saa hii...

aaaaaah! sweet potato zote zimeharibika!!!

usijali, charlie-uncle atakusaidia...

ndoto zangu...!

28


ulikuwa umeziacha shambani sana...

naweza kukuonyesha method yenye mimi natumia ku-store sweet potatoes ili zisioze shambani...

hiyo ndio sababu sasa zimeoza...

niliziacha hapa kwa sababu niliambiwa ukizitoa mchangani ndio zinaoza haraka...

method yangu inazikawisha...

kuja nikuonyeshe...

29


hizo ni sweet potatoes zangu!!!

kanyanga yote, sangoma!!!

...sema nini?

mnafanya nini?!?!?!?!

kujeni hapa mnilipe!

lipeni!

Mnakumbuka vile tulipanda new variety sweet potatoes? Cheki Chapta 5 www.shujaaz.fm

1.

Chimba shimo kwa mchanga, penye maji haiwezi fikia.

3.

Sasa panga sweet potatoes zako zote hapo ndani. Then, zifunike na nyasi imekauka.

2. Weka nyasi imekauka Usiache sweet potatoes kwa shamba kama zimeshakuwa, zitaoza, zitakulwa na wadudu, na utapata hasara. Jenga store

30

ndani ya hiyo shimo. Hii nyasi itakuwa kama cushion ya sweet potatoes, na pia inanyonya moisture kwa shimo ndio sweet potatoes zisi-spoil.

kama yangu na uta-make dooh juu utauzia wasee during low season!

Try hii idea na u-show DJB kwa

3008!

4. 5.

Jazilia hii shimo na mchanga.

Mwishowe, jenga roof thatched [ile ya nyasi] ili pawe cool, pasipigwe na jua. Hiyo space imebaki katikati ya roof na mchanga ni ventilation.


Art Kona

Abdullahi Ismail, 18 yrs from Huruma

Asanteni sana kwa wale wote walituma art work. Mko juu tu sana! Wote mtapata t-sho!

Nancy Chalagat, 18 yrs from Rongai

Yohaan David


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
16 - Shujaaz.FM - Chapta 16 by Shujaaz - Issuu