inspiring kenyan youth
not for sale web
fm
chapta 14 sms
comix
TV mtaani!
3
4
5
6
7
ARTICLE 33 ya Katiba ya Kenya inakupa haki ya kuji-express: Kila msee ana haki ya expressionfreedom ya kusaka, ku-get na kupatia wasee info na ma-idea! CHEKI VILE MAFANS WALIDAI KWA FAN PAGE YANGU!
Umewahi kuwa kwa situation kama hii? Nitumie text kwa 3008, ama tuongee kwa Twitter [Shujaaz] na Facebook fanpage [DJ Boyie].
Larry G. Ndio waseme aliyekuja ni mbaya a true Kenyan ajijue asidanganywe na pesa na instead azidi kuishi kwa shida. DJ B. UNA HAKI YA KUONGEA!
Samson M. Wa2 janjarukene. Manga hizo mapeni n u-attend da show. It’s ur right c’mon!!
8
Raymond B. Nisha-witness hii risto! Juu kuna leader mmoja alijaribu kutuwahi 50 bob each ndio tusi-attend show fulani but only 1 of us alishika pesa. The rest tulikataa.
EHE, MALKIA! YULE BOY ULI-MEET ALIKU-CALL?
IMAGINE NIMEONGEA NA YEYE HATA JANA!
SASA ANADHANI TUNAM-BELIEVE?!
MALKIA, WAKATI WA KURUDI NYUMBANI UMEFIKA. UMEPANGA BAG YAKO?
9
USIJALI… LAKINI SASA NANI ATACHUNGA FISH WANGU?
NITAWACHUNGA VIZURI SANA!
HATA WAKIKUWA VIZURI, NITAPATA CHAKULA NA ITASAIDIA SANA KWA UPANDE WA PESA.
NA PIA NINGEPENDA KUPELEKEA MUM FISH… SI ATABAMBIKA?!
10
LAKINI ZIKIOZEA NJIANI ATAJAM KAMA LAST TIME…
KUMBE HAUJAISHIA MSUPER… NILIKUWA NAHARAKISHA NIKU-GET!
NATAKA NIKUPE KA-GIFT NDIO UNI-REMEMBER NAYO. SHIKA HIZI FISH NIMEKAUSHA…
AKI, THANKS!
ULIZIKAUSHAJE?
COZ NILIKUWA NAFIKIRIA VILE NAWEZA BEBEA MUM ZINGINE NIKIISHIA.
LAKINI…
11
12
8. CHEKI FISH ZAKO KWA SIKU 5, USHINDE UKIZIFINYAFIYA NDIO MAJI ITOKE NA ZIKAUKE FASTER.
SAMAKI IKI-DRY, UKIIFINYA NA VIDOLE HAIINUKI TENA!
7. HALAFU, ZIANIKE KWA MBAO. USITUMIE CHUMA, KWA SABABU CHUMA INAWEZA RUST NA IHARIBU TASTE YA SAMAKI. KUMBUKA KUZIRUDISHA NDANI YA HAO USIKU.
BY THE WAY, HII NI NJIA POA YA KUWEKA FISH NDIO NIZIUZE BAADAE. UMEJUA, MIMI NI MSEE NAJIPANGA FOR THE FUTURE. KUNA TIME NITAKUWA NA FAMILY, NA ITABIDI NIWE READY.
13
EHE, NAJUA! NA ANANI-CALL TENA LEO! WOOW!! SI UME-PATA MA-ADVENTURES! ERICO ANASOUND M-POA!
14
HATA NILIKUWA NIMESAHAU KUWA SHOW! JUZI, NILI-MEET COUSIN WA DAUGHTER WA NEIGHBOUR WA BESTE YA OBAMA...
Art: Daniel Muli | Eric Muthoga |
Well Told Story © 2011 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.
Content producers: Audrey Wabwire Content: Paul Peter Kades | Charles Ouda | David Ouma Art Producer: Fatima Aly Jaffer Layout design: Stefanie Freccia | Susan Mwange Naddya Oluoch-Olunya | Noah Mukono | Joe Barasa Radio: Eunice Maina Special thanks to Just A Band for their fantastic music on ShujaazFM radio
Shujaaz(TM) is published by Well Told Story Ltd. , P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: 02 02603214 www.wts.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466 - 00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: Safaricom, Twaweza, RIU. Distributed by Saturday Nation and Safaricom.
MCHONGOANO hadi hana shadow. Budako ni mkonde na mshort snap inatoka tu negative. Wewe ni m-ugly hadi ukipigwa think twice. Una kichwa ndogo hadi huwezi , thako aliona report form aliuliza DJ B wewe ni mjinga. Siku ma s?” balance ya school fee “Boyie, hii ni namba yako ama floor. hukalia, stool hao wengine kwa Gari yenu ni ya kitambo. Dere i hapa?” hek inic “Ul rudi nyuma ukiuliza watu Wewe ni fala. Ukipotea tao una siku mzima. hadi ukiweka 100 ina-vibrate 10 ba bam a zoe ime o yak ne Pho nge ya 30 bob. i ukiweka 50 inakurudishia cha had 20 ba bam a zoe ime o yak Phone asikia echo! Unakichwa bigi, ukifikiria tun asets muko na viti za stadium. Kwenyu nyi wengi badala ya sof
Tosh amegutuka akaacha risto za gang. Yaani Chuxx bado anamendea Maria Kim?
SHENG’ DICTIONARY
Aladhe(n) - Class/School sh. 200 Arbesa/Rwabe(n) - Soo mbili/ alcohol Chwara(n)- Chang’aa/strong Fyetuka(v)- Hepa/Toroka nja Gutuka(v) - Chanuka/Kuwa mja
Guoka(n)- Vita Hotio(v)- Futwa kazi Kerende(n)- crowd ya watu Kismat(n) - Luck/bahati examz Loba(v) - Fall in love/kuanguka Mlami/Odiero(n) - Mzungu Nilipata kismat morning, sikunyeshewa na mvua niki-come chuo.
Mendea(v) - katia Rapash(n)- chupa ya pombe Roga(v) - Ku-entertain/rap Ridhe(n) - Gun/Bunde
15
16
17
18
Najua mimi ni orphan, na nime-grow-ia ghetto, lakini siwezi stand story za corruption. Niko ready kwa any challenge!
Âť Laana Laanailioje? illioje? Part Part 2 2 hapo awali...
19
Ah! Sasa hawa wananiharibia biashara kila siku. Wacha niite soja awaonyeshe!
Kama mnaweza kutusikiliza kidogo, tumekuja hapa ili tujadiliane kuhusu hii shida ya pombe inavyo-affect maisha yetu.
Ninawaelewa kabisa. Nilikuwa mlevi number 1. Mwenyewe nilikuwa jobless na sikuwa najijali. Mwanzoni, pombe ilianifurahisha but nilivyoendelea‌
20
Nikawa addict na mambo yakaharibika. Lakini, nilipata usaidizi, na nikajirekebisha.
Kwa nini unatusumbua na haujui maisha yetu vile ni ngumu?!
Na sasa ninawapa hii chance ya kupata usaidizi. Ni ngumu, lakini lazima mjitokeze na muamue kwanza.
Aki Daddy! Ulikuwanga hero wangu. Siku hizi hata hauna job, haukuji home, unapiga tu Mum ukishalewa.
We! Aibu gani hii unabebana na mtoto mpaka hapa kwa wanaume?!
Una-bore!!
Hata haujani-buy-ia ile bike ulikuwa ume-promise.
21
Rubo! Ulikuwa chali mpoa sana, saa hizi ebu jiangalie: ume-lose bizna yako, hauna ene!
Ni mimi unapenda ama ni
gej?
22
Uamuzi ni wenu. Najua pombe ni ngumu kuacha kama umezoea.Lakini niko hapa kuwasaidia.
Na wewe unasaidiana kuendeleza hii shida, eh?! Polisi mzima? Nitapeleka hii report mbele immediately.
Bwana Chief, kumbe ulikuwa huku?
Na utakimbia sana!
Wasee, Chief ako ready kuwa-support. Chekini vile mnaji-waste. Please, hii ni chance yako u-start a-fresh.
Consider-ini manze. Kuna hope.
23
BEFORE:
UHA PAUL KBIAHSE: Uthiru 87
ry, lakini nikaboeka na Nilikuwa m-sharp prima o. na haja ya kuenda sec shule by class 8. Sikuo . gu zan wa ku zili io nd j ge Nili-club vi-excess na
sa AKA: Proti tor/ Writer/ Actor en v SHUGLI: In
NIKAFANYA UAMUZI HAPO HAPO!
Niliachana na mabeste walikuwa nagej nao. Nikaanza kuji-keep busy na projects ndogo ndogo.
24
Nikiwa nimelewa, nilikuwa natumia pia drugs kadhaa, life yangu haikuwa inaenda poa. Sikuwa na future! Wazazi wangu ni wasee wa church na nilikuwa nawa-disappoint. Then waka-threaten kuni-disown‌
AFTER: Najijua, mimi ni msee ma-akili! Nilianza kufanya innovations kadhaa. Nime-make mechanical album, home-made computer, robots kadhaa na camera crane.
ts
za groups za mayu na ku-write plays sy bu ep ke jina a Pi it big! na siku nita-make mtaani. I believe ku
Amenipa juju!
Shangazi yako ametuma msichana mzuuuuuri kutoka kwetu...
lakini sitaki huyu msichana... hata sijui jina yake...
sasa taabu unaninyima wajukuu??? ni nini na wewe??? kwani uko na msichana mwingine???
...ehm...
si dame wake ni purity???
25
Ala?! Sikubali!!
purity si wa kabila yetu!!!
umerogwa! usiogope, taabu! nitakusaidia!
Nawaambia kila siku, hawa jirani wetu ni wachawi!
ehm...
ni nini inasumbua mbuyu? mimi sijui...
na wewe! mbona unaniuza hivyo?!?!
aki pole...
umeniletea mazuri? hodi! siku mingi, sangoma!
ingia... aaaaah... kuku! basi! niambie shida yako!
26
ni kijana wangu... amerogwa na msichana wa kabila ingine...
fanya hivi... mwaga hii dawa kwa chai ya kijana... uchawi wa hiyo kabila ingine itaishia hapo pap! na atampokea msichana uliyemletea...
taaabuuu!
huyu taabu ameenda wapi? Wacha nimdanganye na hii chai. hehehehe!
ooooooh... chai! vile naskia kiu!
27
charlie! Umekunywa chai yangu!!
ati... Sasa unakunywa dawa za uchawi! Utaanza kufuata ng'ombe!
by the way... dawa za uchawi?
wololo... ni-excuse-ini please! tumbo yangu inauma...
28
si-feel poa...
Ati dawa za uchawi? Sasa unaniwekea uchawi kwa chai?!?!
lakini umerogwa! najaribu kukusaidia!
nimeenda!
sihitaji usaidizi wako! nampenda purity na hajaniroga! Utaacha kuzishia majirani lini?!?
taabu! unaongelesha babako hivyo!?!? Hautarithi mali yangu!
Hii stori ya ukabila itabidi uache!!! hawa watu ni marafiki, hawana ubaya na sisi...
taabu! kwani utaoa bila kufanya kimila??
29
UAMUZI NI YA WASEE WAWILI… “Nimekuwa na Annette since 2008, ni dem mpoa na tunaelewana sana. Nina plans mob sana na yeye. Nilim-introduce home na at first na mother yangu hakufurahia coz Annette ni wa tribe different.”
“Hakuna mtu kwa family yetu ame-date msee wa tribe different, na aliona nafanya kitu strange. But ameona Annette ni dem mpoa na akam-like!”
“Ni politicians ndio huleta ma-differences kati yetu, lakini, hakuna difference kati ya wasee. Nime-learn so much from Annette, na sina regrets!
Kenya ni ONE!”
Ukiwa kwa relationship, cheki qualities za personality, tribe si muhimu.”
30
“In my family, kuna intermarriages mob na tribes different around Kenya. So, nime-grow nikijua all people are the same na other people have much to offer.
ANNETTE & JARED
Annette: 22 Kutoka: Kakamega Jared: 23 Kutoka: Oyugis