#ACHARI. Mimi ningependa kuchukua loan if posible n then profits zonacome nizitumie kulipa loan for about 2months then the rest nisave for krisi.- Willy Alex, Nairobi
Asubuhi kwa kina Deepti..
We hufanya nini ku-show partner wako unamjali kwa relationship yenu? Nichapie kwa 20308 ukianza na #JALI Kumbuka, ku-text
free!
Kama uko worried about HIV na unataka kuongea na mtu, bonga na professional wa LVCT kwa 1190. Ku-text na ku-call ni FREE!
Reason gani inaweza fanya uishie ku-testiwa HIV? Tuma reasons zako kwa 20308 ukianza na the word JIJUE. Ku-text FREE!
#ACHARI Naplan Kuuza Fruits- Ruby,Mombasa
gani noma ushai jipata yenye hukua unadhani utatoboa? Nishow story yako kwa 20308 ukianza na word TOBOA
Ku-text ni FREE!
Niaje?
Ungekuwa Malkia kwa hii situation, ungefanya nini? Ni-show kwa 20308 ukianza na the word UMIZA Ku-text ni FREE!