Page 1

CHAPTA 36 CHEKI NDANI! utajitoa aje kwa gang nai? Politician mgani hulipA poa? ushaona cow inatumia simu?

Not for sale

KUJENGA KENYA


3


niaje mayuts! Manze hawa leaders wa IPYF ni wa inspiring sana. Mlijua yuts wa Kenya ndio wata-decide kama hizi elections ni peaceful?

Patana na yuts wengine facebook kwa Inter-Party Youth Forum (IPYF) u-share views zako ju ya 2013 elections! Kama kijana wa IPYF naeza like kukumbusha youth wengine eti ni responsibility yao ku-obey law. Ni responsibility yetu ku-respectiana hata kama tribe. religion na political party tuna-support ni different. It is our responsibility to use our strength to protect our Land and Nation.

name: Christine Ndung’u Party: Democratic Party - iPYF Tunataka vijana wa Kenya waparticipate kwa elections vipoa na wafuate law. Vijana wanafaa wasifuate na kuskiza vitu zinahusu violence, intimidation, hooliganism na tribal hate. Na wakumbuke lazima wajitokeze ku-vote.

name: joshua Aluoch Party: KANU YOUTH

Youths msiwe kama bendera mnatumika kucommit violence kwa Wakenya wenzenu. Embrace peace because we are one people, one Kenya.

name: Margaret Gitonga Party: Democratic Party - iPYF

4

Ma jamaa tumetoka far kama nchi, yaliotokea last election si kitu ya kujivunia. As we cross the country in search of votes and prepare for elections let us bear in mind we need each other after elections. Let us keep this in mind!

name: Beatrice Cherono Party: PNU - iPYF

Vijana tukitaka amani lazima tu dumishe and tuonyeshe amani na tuopeane amani.

name: Reuben Ameli Party: FORD KENYA YOUTH


boyie Napenda sana ma-electronics na radio. so nimeamua kuunda Pirate Radio Station - Shujaaz.fm! DJ B mwenyewe ndani ya nyumba!

Nani ni tissue kwa siasa?

Ati grand-masako ni wa zamo mpaka alisahau handbag yake kwa Ark ya Noah!

5


6

Ati wewe ni dingo hadi ukipita na fone ya mse hurudi bila feature ya M-PESA!


Ati wewe ni fala hadi ukitaka kumeza dawa wewe hukata kando ndio usipate side-effects!

7


8

Ati wewe ni fala kunasiku ulichukuwa ruler ukaenda nayo bed ndio uangalie umelala masaa mangapi!


Naskia wewe ni fala siku moja ukiwa kwa court uliskia judge akisema “order in court” ukaitisha “kebab na coke”!

9


Wasee skizeni story ya Lenny na vile alitumiwa na politicians na hakulipwa!

Mayuts! Msitumike ovyo-ovyo! Choice ni yako! Ukiwa idle utasota, unakuwa desperate alafu unakimbilia doh ya siasa chafu!

10

SKIZA RISTO YA LENNY KWA SHUJAAZ.FM ON 6TH FEB!

Tuma story yako ya kutumiwa kwa 3008

text ni 5 bob tu


To Register iCow SMS “shujaaz” to 5024

iCow vetinari ni feature ya kukusaidia kupata vet yule anaishi karibu na mahali ng’ombe wako yuko. Registration ni free lakini kila sms baadaye ni 5/=

ANSAZ: 1.B, 2.A, 3.C, 4.D, 5.A 6.B, 7.B, 8.A, 9.C, 10.B

lea ng’ombe na 5bob tu!

congratz ma-winners!

Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Tupange, RIU, DFID-UK, Galvmed & Marie Stopes Kenya. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Salim Busuru | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa PRODUCER: Koome Mwiti ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku | Farida Noah FINANCE: Dorothy Acholla DISTRIBUTION: Joram Kioko. Special thanks to JUST A BAND for their fantastic music on Shujaaz. FM Radio Well Told Story © 2012 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

This publication was supported by a sub-agreement from Johns Hopkins Bloomberg School of Public Health with funds provided by JHPIEGO under a grant from the Bill & Melinda Gates Foundation. Its contents are solely the responsibilty of the authors and do not necessarily represent the official views of JHPIEGO the Bill & Melinda Gates Foundation or the Johns Hopkins Bloomberg of Public Health.

11


12


13


14


15


16


17


18

Dem yako ni fala yeye hu vaa pencil na rubber na hapendi kusoma!


19


20


Mdomo wako uko wide we hula maembe kama njugu!

21


22

Kwenyu nyinyi ni wa jinga hadi jirani akiwasalimia muna discuss answers!


kama wewe ni victim wa violence au rape tuma sms au call skiza show ya gutuka kwa hizi stations:

1195 na watakushughulia pap!

hii namba Ni sare!

Ati naskia wewe ni mpyenga hadi wewe huenda mountain hike kwa pevu!

23


family yetu ilikuwa ya kawaida tu. nilikuwa first-born. Hatukuwa na dooh mob, so sikuwa na vitu poa kama vitabu na nguo zenye mabeste wangu walikuwa nazo.

nikiwa seco, kuna rafiki wangu mwenye nilimu-envy sana maisha yake poa.

akani introduce na kuni-recruit kwa gang.

s tep a S ka t a Fu Kuto g Za a Gan Kw

1 ka: 2 ntry Mia : Carpe x a W

24

Ati wewe ni fala hadi ulidangaya jina yako kwa exam!


Ati wewe ni fala hadi ulienda kutafuta simu iko na whitetooth!

25


ulihepa gang aje?

siku moja tulikuwa tunaenda ku-rob supaa fulani. nilivaa jumper tofauti badala ya hood za kawaida. kazi yangu ilikuwa ku-scout hiyo area... ...lakini mmoja wa gang-members alinisukuma akaingia supaa na gun aka-show wasee walale chini. hakujua kulikuwa na ma-plain-clothes hapo ndani.

shootout ikaanza. nilijirusha kwa sakafu nikiogopa nitakufa! nilikuwa nafikiria, ni lazima nitoke kwa hiyo situation! nilitaka ku-make something of my life, si hizi stori! kila mtu wa gang alikufa hiyo day, including hao top members.

mimi nikaenda home. nilikuwa traumatized. nilingoja nyumbani mmoja wa gang aje kuni-punish, lakini hakuna a month later nilirudi mtu ali-come. kwa hideout nikawa-show sirudi, nime-change life yangu. nilikuwa nimeanza kuenda church nika-get saved.

26

nilikuwa lucky juu hao ma-boss wa gang walikuwa wamekufa na members mpya bado hawakuwa na power, so nilikuwa free!

Ati wewe ni mzee ulijua dead sea ikiwa mgonjwa!


ulifanya nini ulipoacha gang?

niliweza kupata kazi kwa carpenter fulani jirani wangu, alinisaidia kwa hiyo transition ya kurudia maisha ya kawaida. na society iliku-treat aje? hakuna mtu alijua nilikuwa kwa gang, ama ni nini nilikuwa na-do, juu hatukuiba kwa majirani wetu. boss wangu hakupenda kuona ma-youth wakibangaiza tu, alitaka kuwasaidia kupata kazi. sikum-show ni nini exactly nilikuwa nafanya, lakini nilisema past yangu haikuwa poa sana, na nilitaka ku-move on. alielewa, akanipa hiyo opportunity.

Naskia ati nyi ni ma sonko design nyi huanika ma nguo kwa line ya Orange!

27


usiingie gang, hakuna njia ya kutoka.ni kifo tu. vile nili-escape ilikuwa miracle.so, ujichunge, usiamini hizo stori za hiyo kuwa njia ya kipekee ya kupata maisha poa. kuna hope. pata time poa ya ku-escape na kuhepa mbali kuanza maisha mpya.

uki-encounter gang, usipigane nao. fanya venye wanaku-show tu. usiwaangalie kwa uso, na ukiwa-recognize usiwa-show.

28

Ati we ni mang’aa hadi ile siku ulikua unazaliwa ulisema stoki na stoki uchi hadi nivalishwe nguo!


Hii story ya I.Dickson ni noma hadi detail zingine tuli-censor. kama unataka hii info ju ya operation za ma-gang text jina

“GANGS”

na address yako kwa

The first 1000 people watatumiwa ‘Fuata Steps’ Guide!

Au ukitaka radio recording, soft copy na videos enda u-download kutoka

www.shujaaz.fm

Macho zako ni red, design ukicheki dishi inaiva!

29


30


36 - Shujaaz.FM - Chapta 36  

Chapta 36 - Full Comic

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you