Kwa hii chapter, mabeste za Boyie, Kades na Bi Amini wame-win elections kama MCA na Governor. Charlie Pele anajaribu kuwin as striker wa team yao mashinani lakini covid inamfanya ile kitu. Malkia anatuchapia stori ya her ideal boyfriend. Maria Kim na yeye anatembelea wasee wako kwa biz za farming.