Page 1

BOYIE BOYIE boyie...niaje zile boyie...niaje doh zetu? zile doh zetu? zile boyie...niaje doh zetu?

doh? mimi sina doh!..lakini doh? mimiwapatia sina doh!..lakini naweza idea za naweza idea za kuwapatia doh? mimiwapatia sina doh! doh!..lakini kuwapatia doh! naweza wapatia idea za kuwapatia doh!

wacha upuzi! wacha upuzi! wacha upuzi!

3


nini nyinyi? kades sema!

wacheni kusumbua chali wangu. nyinyi mumezoea sasa, niliomba loan kuendeleza bizna yangu alafu mnataka kula jasho ya watu. fanyeni job acheni kutusumbua! ati tuchore bizness plan?

sisi tunakaa kuvaa suti?

wewe leta kichwa tu, lipa ama utachangaa!

tafuteni job! acheni kutunyanyasa! ishieni! mambo vipi? dj b hapa...shujaaz fm. nimepokea sms kibao toka kwa ma-fans ambao wali-apply youth fund na wakatoboa!..na kwa wale ambao bado mnakazana na business plans - walikuwa wapi nikikazana na bizness plan ya kuomba loan?

4


wacheni tubonge na msee mmoja alijikaza na sasa ametoboa...

hello kades vipi...

poa dj b! sema...

nataka utu-show vile ulitoboa kupata loan.

aaah hiyo... niliandika business plan nikisema juu ya buzna yangu...

yaani nataka kufanya nini, nitauza vipi, bei, nitashinda aje ma-competition. yaani ni mpango wa kujiuza poa!

5


ala...si hiyo ndio kades alitu-show tukiwa na boyie?

alijuaje?

tumsake jamaa!

labda boyie ndiye dj B!

waazi kades. najua ma-youth wengi wameguswa na story yako.

wajikaze jamaa. maisha ni ku-struggle, lakini ukiketi tu fwaa hakuna kitu uta-get.

poa jamaa, story conscious kutoka kwa kades hapo...

basi tupate ngoma kiasi...

we, toto, wapi boyie? alitoka...alienda huko...

huko? wapi? hayuko home?

6


alisema anawatafuta eti kuna chapaa mnadai na anataka kuwalipa!

tukimbie jamaa...

na si boyie yuko kwa keja. phewks!

hadi next time jamaa... shujaaz fm. bye!

boyie...wale jamaa walikuwa hapa kukutafuta!

7


wale wa kutisha tisha. nikawa-show umetoka!

jamaa gani?

poa sis. nilijua tu wewe una ni save sana!

niliwa-show unawatafuta uwalipe doh zao za security!

Umewahi jaribu ku-sell idea yako kwa wasee ili kupata financial support ya kui-make a reality? Ni muhimu kuorganize ideas zako venye zitafanya watu kuwa willing ku-support. Bizness plan ni document inayo-show goals za bizna na vile una-plan ya kuzirealise. Ni njia yaku sell idea yako. Bizness plan inasaidia ku-develop idea ya kutumia dooh za kuanzisha au ku-grow bizna ili ku-make profit. Ina-explain vile bizna yako itapata capital, na venye products zako zita -manage-iwa na ku-market-iwa.

Jinsi ya kuchora bizna plan 1. Andika kwa ufupi juu ya business idea yako. Eleza mambo unique juu ya idea yako. Hii huitwa executive summary. 2. Eleza watu watakao-involve-iwa kwa bizna yako, qualifications na skills zao ambazo zitasaidia kuendeleza bizna. 3. Location: Eleza Sababu ya kuchagua location hiyo ya bizna. 4. Plan ya vile bidhaa zako zitamarket-iwa ukitumia hizi points: a) Ni kitu gani unique kita-attract cus-

ati! toto! umeharibu mambo sasa!

Re a l ya ko i z e d rea m bi z n a n a u ku z e bi z n e ya ko n a s s pl an tomers’ kununua bidhaa zako? b) Ni bidhaa gani customers wananunua currently kwa market, competition ya bidhaa zako ni gani, na gap yenye bidhaa zako zitajaza ili ku-meet mahitaji ya customers? c) Ni njia gani umetumia kujulisha customers juu ya bidhaa yako kama kuwa na fair price? d) Kama kuna uamuzi umefanya ulioletwa na ku-research juu ya market? e) Ona vile sales zitaendelea in the future ili u-make profit? 5. Finance- Predict mambo yale yatafanyika ili u-make profit au loss in the future. 6. Vitu zenye zitahitajika kwa bizna: a) Assets- Mali na vitu ulivyo navyo vya kurun bizna kama equipments. b) Capital-Andika kwenye utatoa dooh za kuanzisha ama ku-grow bizna Andika bizness plan ukiambia DJ B views zako on the story kwa SMS on 3008 or email: www.shujaaz.fm

8

04.a - Boyie  
04.a - Boyie  

Chapta 4 - Boyie

Advertisement