Page 1

hapo awali...

Equipment ya Boyie ililipuka! Shujaaz.FM ime-die?

...Mara hiyo hiyo, chief akamua kuanzisha TV station yake...

KUJENI NYOTE MFANYIWE HIV TESTING NEXT WEEK KWA CLINIC YETU JUU TUTAKUWA NA OPEN DAY.

...Scarface na ma-gangs wakagundua, na ni kama wana mpango wao....

share risto yako!

TUKO TAYARI, TUNA-ENCOURAGE WASEE WAKUJE MAPEMA ILI WAONE TUTASHINDA MATCH MAPEMA NA TWENDE HOME MAPEMA.

MNAFANYA HII TALENT SHOW MARA NGAPI? KUMBE...

4

kumbe wanajenga hapa...


WAAAAAAAA!

EQUIPMENT YETU IMESANYWA!

TUTAAMBIA CHIEF NINI?

ATI NINI!?

NI WALE MA-GANGS WASHENZI WAMEFANYA HIKI KITENDO! NAJUA! WATAKIONA, SITAWA-SPARE!!!

5


HIYO WIRE SI YA HAPO! FALA HII!

WEE NYAMAZA! NAJUA KILE NINAFANYA! SI HII SHIMO NI YA ROUND?

CHIEF NI LOSER...

wacha mchezo! uta-blow fuse!

KING SCAR-FACE MFALME!!

SEMENI KING SCAR-FACE!

KING SCAR-FACE MFALME!!

SOON TUKIANZISHA HII TV STATION, TUTAKUWA FAMOUS DUNIA NZIMA!

6


si tunaweza post videos kwa website? MAZE NIKO-DISCOURAGED! TUMEPATA HIZI EVENTS zote lakini HAKUNA TV STATION YA KUZI-PLAY.

haidhuru, HATA HIYO EQUIPMENT HAINGE WORK, ni YA kitambo!

NDIO MSEE! INTERNET NDIO THE FUTURE!

HIYO NI IDEA POA! EEE! HATA SI NGUMU KUupload!

NA NDIO NJIA BEST YA KUJULISHA KIJIJI KILE KINAFANYIKA HUKU!

hiyo idea iko juu. nitajulisha beshte ya mine, itambamba!

7


ka-pussy, nikipata hawa wakora wanajiita ma-gangs! ee? watajuta siku ile waliniona mara ya kwanza!!

malaika nakupenda, malaika...

malaika nakupenda...krrrkk... tuko gangare kuruka! niaje ma-fans? hii ni shujaaz.fm, ikiletwa na the one and only dj b!

woooi!!

nyamaza! ni siku gani nitakaa na amani?

semeni, ni king scar-face... aah...pengine tv ina mazuri.

tap 8

nimerudi na shujaaz.fm ni stronger na even better! niko na website ya kiajabu! icheki www.shujaaz.fm!


haiya! woooi!!

ati tunasemaa? toa pesa...

hizi fuse zina nuks!

! m a bw a

kwa

Umewahi watch TV na ku-wish ungekuwa news reader? Sasa unaweza!

Nilibonga na Steve, member wa KNN, na ali-share hizi experiences...

si nilikuambia usicheze na wire?

Kibera News Network

.knn kibera news network

DJ B: Nini kilikufanya u-decide ku-join KNN? Steve: Nilikuwa nikitaka ku-portray ile side positive ya mtaa ile hizi media zingine hazifanyangi. DJ B: Ni stories gani zimekubamba zaidi ku-do? Steve: Ile story poa nili-do ni about HIV/AIDS. Unajua watu wengi wako positive na wanaogopa ku-come out na wabonge juu ya hali yao. DJ B: Ukifanya hii jobo ni part gani unapenda kufanya? Steve: Mi hubambika niki-edit story na kuona imepostiwa kwa You tube na wasee wamei-watch. DJ B: Asante Steve!

Steve, Collins na Jacob

KNN ina youth members 20 kama Steve wenye wana-record storos interesting wakitumia ‘flip cameras’. Then wanadownload hizo storo kwa www.youtube.com ili stories zionekane kwa internet na wanakijiji. Wanakijiji hu-encourage-iwa kutumia KNN SMS juu ya vitu zinafanyika Kibera. Anzisha kitu kama hii kwa area yenyu na kuwa citizen journalist kisha unitumie story yako. Nitaiweka kwa website yangu www.shujaaz.fm then sote tunaweza kuwa ma journalists. Hapo vipi?! 9

10.a - Boyie  

Chapta 10 - Boyie: Share Risto Yako! (Citizen Journalism)

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you