Page 1


Shujaaz (TM) is published by Well Told Story Ltd, P. O. Box 1700 00502 Nairobi, Kenya. Tel: +254 729 619 653 Web: www.welltoldstory.co.ke. Printed by Colourprint Limited, P. O. Box 44466-00100 Nairobi GPO. Produced in collaboration with: USAID, Twaweza & Tupange. Distributed by Nation and Safaricom. ART: Daniel Muli | Eric Muthoga | Shin Tuxedo | Mmbasu Mbwabi | Joe Barasa CREATIVE PRODUCER: Paul Ekuru ART PRODUCER: Fatima Aly Jaffer DESIGN: Esphan Kamau RADIO: Rickie Mukunga | Paul Peter Kades | Jared Ngugi RESEARCH: Sylvia Thuku SOCIAL MEDIA COORDINATOR: Farida Noah DISTRIBUTION: Joram Kioko FINANCE: Ranjeeta Jani HUMAN RESOURCE: Nduta Mwangi Special thanks to JUST A BAND for their Music on Shujaaz Radio Well Told Story Š 2013 All rights reserved. No part of this publication may be reproduced, stored in any retrieval system or be transmitted in any form or by any means, electronic or mechanical without prior permission of the publishers. Although every effort has been taken to ensure the accuracy of information contained in this publication, in no event shall the publishers be liable for any incidental, indirect, consequential losses or damages of any kind without limitation arising out of or in connection with the use of the information in this publication.

3


Niko hapa leo kukutana na Nickson Nguru, jamaa ali experience shida ya waalimu kuhata classes na akaamua kutake action pamoja na ma stude wenzake.

sema, nickson! niko poa, DJ B!

4

Nimepata comic books mingi na kusoma na zimenifaidi sana like kupada sukuma kwa ngunia na ku prepare biogas. Stephen Baraka Nduvani Mwingi


Unado nini sahii?

Sahii mimi ni stude bado.

Nasomea Electrical and Electronics Engineering. Ndio niko second year hapa Technology Development Center, Kitengela.

Wazi jo! Hii bado ndo chuo mnapata shida na walimu kuhata classes?

Zii.

Hii ni chuo poa sana. Hapa ma odijo hu attend classes zote.

DJ B mimi pia napenda ma electronics too sana mi hutengenezea wasee ma radio na TV na save kiasi ili niende nikasomee hiyo works enyewe umenisadia 2 xana. Mathenge Burguret Massive

5


Nilikuwa nasoma college flani kabla ya ku come hapa.

Kwani uli experience hii shida wapi?

Aha, hebu niambie about it?

akina malkia walikabiliana na hii shida kwa chapta ya shujaaz!

Hiyo chuo, kulikua na odijo flani alikuwa anahata classes sana.

6

Manze DJ B. That’s u doing miracles; imagine mabeshte wangu wamesare madree cha ukweli. Wamesikiza show yako na wakasare. Big up urself plus one bro 4 the gud work yo doin. Joseph Muthoka


Niaje DJ B uko rada?kuna article fulani nimecheki sijui ka ni ya when bt iko na idea moja waguan na imenitach tu sana ju mi ni victim na ni issue ya land ownership&inheritance. Davy

7


8

New improved sweet potato vines av made me proud. My great regards go to Charlie Pele 4 the advice. My group also av benefited. I listen to get radio shujaaz via mugambo fm. Geoffrey Bambu


9


TOTO ANAOKOLEA!

11


12


DJ B ka mayuts lazima tuangamize tribalizm coz huo ndio ugonjwa big na tena hatari kushinda malaria. Benard Wambani, Nakuru

13


14

To Shujaaz FM. Hi DJ B nilikuwa nataka kukusho that the most beautiful thing from de world, must be seen from de heart’, and u guyz have showed sisi mayuths jo. Endeleeni tu. Erick from Nax


I am hurt by something. Alcohol is making our fellow youths extinct! Think of drugs like kuber, bhang, chan’gaa etc. we got to make the world a better place than we found it. Simon M. Onyancha

15


I wish ShujaazFm iwe independent station, kuwe na ShujaaTV, muishie countrywide, plan for shows n other activities. Educate ppo, you are responsible ones Kenya is in need of! Michaelen, Bungoma

17


18

Hi DJ B mimi sitasimama maovu yaki tawala coz i can’t stand injustice and i hope you have inspired the youths enough 2 b patriotic. Jamal Osman, Isiolo County


Hii issue ya kupanda Sukuma kwa gunia nime find ni more useful as one can easily mix compound manure & mtu anaeza kutoboa mashimo kando ya gunia to have more produce. David Otieno

19


20

Hi DJ B, I salute ol da Burguret High Xkul teachers s 4 dstributin da Shujaaz 2 us asstudents every month. We love ua comics. BIgups! Mary Liz Nungari, Burguret


Usijali Amani, utakua sawa...

lazima ni implant inamfanya hivo, hehe!

cheki, ako na mood swings

implant haipei mtu moods!

agh! mnaboo!

hihihi! hahaha!

Thanks. Art work zote nita participate ju am talented in art, tena umenipea morale ya kuchora thru competitions za mashujaa. Thanks watu wangu. Gerry Musinya

21


22

Hi DJ B manze this stuff ya ku inspire mayuts imenibamba kila day na chop hii magazine yako.I have 2 read it b4 i start my studies. Tojetes Ken


Nalyk Shujaaz coz inasaidia sana youths sana sana wale wenye wamekosa kazi, wame lose hope juu hawana pesa. Tena inatu teach venye tunaeza ishi na watu 4rm different tribes. Gladys

23


43 shujaazfm chapta 43  

Jua kitu ya ku do matiche wakihata daro Toto anaokolea Boyie Maria Kim anachanua Amani kule Jongo

Advertisement