Page 1

Kujiamini

aki! siku moja! ngoja tu!

Eh! sasa chuxx? unakaa poa! naitwa knight. natafuta msee wa kuni-buy-ia lunch... si uni-buy-ie? uko na smile poa!

aaaah... lunch, eh?

sasa knight? si utakumbuka kuniletea ile kitu on monday?

aaaaahh....!

18

sawa metty!


kwani una miaka ngapi wewe?

mimi sitaki mashida. enda, usiniongeleshe tena!

twelve. kwanini?

ngoja! niko na idea poa!

kuna wakati kuliwaka moto mtaa. kama sio yeye, nyumba nyingi zingeungua. ali-organize wasee tukazima moto. hata mimi nilikuwa huko!

mtoto tu kama wewe unbehave aje?

kunaa dem fulani ningependa uongee na yeye. huwa na advice poa sana.

sina noma. twende nimuone.

halafu time ingine classroom iliwaka moto. kama sio huyu dem, msichana moja angekufa ndani ya moto!

siku ingine akavamiwa na wakora kwa street. sijui kuliendaje, lakini hao wakora waliona

moto!

19


hajawai nikubalia niingie hapa kwake. lakini leo venye nimekuja na wewe...

inaitwa killing two stone with one birds! hehe!

kingereza ngumu kweli!

sasa chuxx na rafiki yako?

eh, msupa! unakaa m-hot! huyu ni knight. nimemlete ubonge naye hizo story wewe hupenda... about responbisi... responsibull... ah! unajua!

ala! nilidhani mimi ndio the hottest hii base!

ingia, knight. wewe chuxx ngoja hapo nje!

20

knight, unajua decisions ana-make saa hizi zitakuaffect in future. so inafaa u-make the right decisions ndio usipate mashida baadaye...


acha niku-show story ya mine...

knight?

nikiwa ten years old, mathe alikuwa m-sick, alikuwa na hiv aids. hatukuwa na doh za kum-buy-ia madawa...

ilibidi niache kuenda shule, nikae home to take care of her...

mbuyu pia alikuwa na cancer. siku moja alienda shags na hakurudi. hatukuwahi kumuona tena...

wakati mathe akifa, alinishow nisiache kuenda shule kama yeye. aliniambia nim-promise nita-fight niendelee na shule. na pia nikampromise nitachunga bro na ni-make sure pia ameenda shule asiwe mkora wa mtaa...

nilianza bizna ya ku-make na kuuza maandazi ndio nipate doh...

nikaanza ku-save, na nika-manage kumpeleka bro kwa daycare...

21


ilikuwa hard, na nilikuwa na ma-stress mob. lakini kila time nilikuwa na-feel kama mum yuko na mimi, na anani-encourage nisi give up...

nikaendelea kuenda chuo... na nikaachana na stori za ma-boys wenye hutaka tu kututumia...

22


Madem lazima tuvumilie na tu-focus ndio tupate mambo poa kwa life. Cheki hii huyu Shujaa:

Gitau airimu Jina: W 8 Age: 2 e Mathar ANADA! : e s a B ako C a s a s Kwa

Nime-grow Mathare na huko ndio nilisomea. Tangu utoi nilitaka kuwa journalist na sikuwahi sahau hiyo dream yangu! Mimi na mkanya wangu tuli-make chang’aa ndio tupate dooh za kunisomesha. Nilipomada primo, mother ali-make sure nimeenda seco. Wasee walisema hakuna haja ya kupeleka mdem wa ghetto seco lakini mother wangu ali-believe in me an nikasoma seco.

23


Madem lazima tuvumilie na tu-focus ndio tupate mambo poa kwa life. Endelea ku-cheki hii risto ya huyu Shujaa:

omea. ko ndio nilis u hiyo athare na hu nalist na sikuwahi saha M ow gr eur Nim jo a w ku a nilitak Tangu utoi tupate dooh u! ang’aa ndio ch e ak m lidream yang tu make sure nya wangu mother aliMimi na mka ha. Nilipomada primo, kupeleka ya ja es a hakuna ha em is za kunisom al w believe iee co. Was r wangu al nimeenda se etto seco lakini mothe . kasoma seco mdem wa gh in me an ni

Ningependa madem wote wajue, kila mtu anaweza ku-succeed. Kama niliweza, wewe je?

Kumbuka:

NENO KUJI

RISTO. TUMA SM HII

VE KWA 3008 U LIE

-BE A • Elewa ni nini unataka na u-make decision kufuata SN sms hiyo dream yako. 3008 • Cheki news, kuwa na updates juu ya vitu poa ili kuji believe u-get ideas poa za kujiendeleza. • Mabeste wako ni muhimu wa kuwe wasee wapoa wenye wanakujali. • Kuwa na plan, jaribu uwezavyo utimize hiyo plan yako.

MAONI JUU YA TOE

24

JIAMINI NA UTAFIKA!

22.C – Maria Kim  

Chapta 22– Maria Kim: Kujiamini

Read more
Read more
Similar to
Popular now
Just for you