Skip to main content

21.c - Charlie Pele

Page 1

hapo mbeleni...

polisi anayeitwa matata, mwenye anampenda purity, alimpiga taabu juu ya kum-slice dem. taabu akaenda kujaza p-3 form za kumstaki matata...

lakini kwa vile mshtakiwa alikuwa ofisa, kesi ikapelekwa kwa o.c.s....

A II T A T MA sawa, dj b, asante sana!

Ama ni-give up? Msinisahau nikitupwa ndani!

18

...ati mmeambiwa aje?

taabu usife moyo! dj b alini-show kila mtu yuko innocent hadi a-proviwe kuwa guilty!

ji-defend na sheria!

ninangojea kuitwa kwa o.c.s...

sasa taabu unainigia shida kama hizi juu ya msichana mwenye hata si wa kabila yetu???

sawa, taabu, unaweza kuingia...


uhm... ninavyoelewa, matata alimpiga huyu taabu juu ya msichana...

eh... er... em... Bwana OCS, Kabla usikie uongo za huyu kijana, wacha nijitetee. Naona anajaribu kunichafulia jina...

ala! hata maneno anatumia zinanitoa kama mnyama...

Sipendi kupata ripoti ambazo zinaharibu jina ya Polisi!

tulikuwa nyumbani wakati matata aligonga mlango akatutisha...

taabu, nipe ripoti yako...

unajua, mimi ni polisi wa maana! nimetoka pale nairobi! nilipatiwa promotion lakini nikachagua kurudi huku, home kwangu, ndio niwakilishe hapa!

hii kazi ni maisha yangu!

Huyu kijana ni suspect! Usichukulie maneno yake seriously...

ni mwongo, jambazi tupu!

matata... ...kwanza, umpe muda wake wa kuongea... na kama hauna evidence ya kumstaki, huwezi kumsumbua, hata kama yeye ni suspect...

19


woi! akina taabu wamekaa huku police station! Wamefungwa ndani!!!

hiyo sio kweli!

sasa tutawatoa aje? unajua hawa polisi hawana muda wa kutuskiza?

Kazi ya polisi ni kusaidia wananchi!

Kabisa! Hata mimi nimeskia hizo story! Wanakamata vijana wetu bure!

charlie, wacha utoto...

hawa polisi wanatumia sheria kuonea watu wa kabila tofauti na yao!

ehe! tuchange pesa watuachie vijana wetu!

ah, baba charlie, mahindi za hii season imemea mzuri!

toa ndugu, toa dada...

sheria inatumiwa kutunyanyasa!

20

lakini sheria ikitusahau, tunaweza kutumia pesa kurudisha utu wetu...

Afadhali tulipe hiyo bond!


Testimony zenu hazieleweki! Siwaamini...

sasa, hii kesi haina muelekeo...

OCS

lakini, bwana o.c.s., tunaye witness mwenye anaweza kutuelezea yaliyotendeka...

Nimeamua nichukue hatua kali kwenu wote kwa sababu mnaniharibia wakati!

nipe ruhusa ya kumuita...

...purity.

purity! mpenzi wangu... ambia hawa watu vile huyu kijana anajaribu kututenganisha...


Kwa upande wangu... ni kweli namjua Matata. Lakini tuliachana kitambo sana. Sasa amekuja kwa kina Taabu, mwenye ni boyfriend wangu akam-threaten. amempiga vibaya akampiga vibaya! Matata anataka Taabu aniache!

purity! wacha kudanganya OCS hivyo! Unadhani atakuamini?!

Aka-warn Taabu ati asikuje kujaza P3 hapa!

MATATA! nimeskia ya kutosha...

...snif... purity... ...mbona unanitupa hivi......

22

na kwa nyinyi wawili, mmefanya vizuri kutumia sheria kuji-defend hata kama mlikuwa mnasumbuliwa na huyu mrui hapa...

matata, you are suspended.

sheria iko hapa kuwalinda, muijue na muitumie...


56 bob si pesa yote mnayo! tuko wengi hapa! aki nyinyi wa...

...56 bob peke yake?!?! 56 bob haiwezi saidia paka kutoka jela!

...wa... ...haiya, ni taabu!

taabu, mlitoka jela aje???

hatukuwa jela! tulijaza forms na tukaenda mbele ya o.c.s kumshtaki yule matata...

Ni poa mjue kuwa sio polisi wote ni wabaya! Lazima tujifunze sheria ndio tuweze kuji-defend!

NGU NILIJUA RIGHTS ZA NIKAPATA JUSTICE! Kuna time msee flani alinipiga vibaya. Mara hiyo hiyo nikaenda na witnesses na nikapeleka report kwa makarau. Kwa police station, niliandika statement very clear, na wakanipa P3. Nilienda na P3 hosi na daktari akaijaza na nika-treat-iwa. Baada ya hiyo, nilirudi kwa police na huyo msee akashikwa na nikaamua ku-settle hiyo noma nje ya court. Mwishowe, ilibidi hawa wasee wanilipe kwa damage yenye waliniletea. Nilijua rights zangu na sikuchoka kufuatilia hadi nika-get justice. Kumbuka, the truth always comes out. Usiogope sheria. Sheria iko hapa kuku-protect!

VIEWS ZAKO NA

WA 3008 MS K

P3 TUMA S ENO

sms 3008 p3

Bonga na wasee wa KITUO CHA SHERIA upate info zaidi juu ya sheria vile ina-work!

ORO JINA: SIMON OS aka ‘SYMO’ AGE: 27 BASE: UGUNJA

Wacha ni-show DJ B vile advise yake imetu-help. Kweli ukijua rights zako, sheria inakuchunga.

KITUO CHA SHERIA The Centre for Legal Empowerment

P.O.BOX 7483-00300 NRB TEL:254-0203874191 MOBILE:0734 874221/OR 0727 773991 EMAIL:info@kituochasheria.or.ke www.kituochasheria.or.ke

23

NZA NA N UKIA


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
21.c - Charlie Pele by Shujaaz - Issuu