Aki kina Scarface wanaezaje iba pipes za maji na hao pia wanateseka maji iki-lost‌Vile maji ya ku-buy ni expe! Hii risto ya maji ni serious.
Ukora za mother!
Wacha ni-text DJ B nimwambie vile hata kwetu tulikuwa na shida ya maji zamani‌
12
13
14
KESHOYE...
15
Aki kina Scarface wanaezaje iba pipes za maji na hao pia wanateseka maji iki-lost‌Vile maji ya ku-buy ni expe! Hii risto ya maji ni serious.
Baadaye nyumbani...
Wacha ni-text DJ B nimwambie vile hata kwetu tulikuwa na shida ya maji zamani‌
16
Mayuts, hii risto ya maji ni important sana! Lazima u-report hizi issue kwa Area Water Company ya mtaa yako.
Sasa, ni risto yangu
MULIKENI WEZI!!
DJ B umesema ukweli. Mayuts wamechanuka na risto ya maji mtaani. Cheki comments zenye zilikuwa kwa Fan Page yako Facebook juu ya wizi wa pipes!
AJI TUMA S OM
maji
ANZA NA NEN UKI
17
sms 3008
EWS ZAKO A VI
WA 3008 N MS K
PATA NUMBER ZA WATER COMPANY YA AREA YAKO KWA SHUJAAZ.FM CHAPTA 19!