2 mwaka 1960 mpaka
 ��
Viazi hupandwa katika hali mbalimbali – kuanzia mashamba ya umwagiliaji ya
biashara nchini Misri na kwingine kote ambapo ni
zao la wakulima wadogo zaidi.
Kenya Vililetwa Afrika Mashariki na wakulima wa Kiingereza mnamo miaka ya 1880, viazi kwa sasa ni zao la 2 la chakula nchini, baada ya mahindi. Viazi huko Kenya hupandwa na wakulima wadogo, wengi wao ni wanawake, ingawa wakulima wengine wakubwa wamebobea katika uzalishaji wa kibiashara. Karibu vyanzo vyote: FAO, wastani wa miaka mitano (2014-2018) viazi vya Kenya huliwa ndani ya nchi, kwa kiwango cha wastani cha karibu kilo 25 kwa kila mtu kwa mwaka.
Â?Â? Â Â
Chanzo: FAO, wastani wa miaka mitani (2014-2018)
Tanzania Viazi vililetwa katika miaka ya 1920 na vituo vya wamisionari wa Kijerumani katika nyanda za juu za kusini mwa Tanzania, ambapo wakulima wa maeneo hayo walianza kulima katika bustani ndogo ndogo. Baada ya vita vya Kwanza vya dunia, Uingereza ilichukua utawala wa nchi. Viazi vilifanya iwezekane kwa wakulima kuhamishia kilimo chao katika miinuko mikubwa zaidi. Sehemu muhimu ya uzalishaji ni nyanda za juu kusini, hasa mikoa ya Iringa na Mbeya.
Je unaweza kusomavizuri ishara zitolewazo na viazi vyako? Je unaweza kujua moja kwa moja kwamba vinaupungufu wa manganizi, naitrojeni au magnesi? Na je, unaangalia vipi kina cha kupandia mara baada ya kupanda? Kitabu hiki kimejaa maelekezo ya vitendo na ushauri unaolenga kila mtu aliye Afrika anayejihusisha na kulimo cha viazi. Andiko hili la ishara ya zao la viazi limeandaliwa ili kukufaidisha, mkulima wa viazi wa Afrika.
Mwongozo wa vitendo wa kulima viazi kikamilifu
tani milioni 25 sasa hivi.
TOLEO LA AFRIKA
Ishara za zao la
viazi
MWONGOZO WA VITENDO WA KULIMA VIAZI KIKAMILIFU
Rwanda
Dibaji Viazi ni moja ya mazao ya siku za mbeleni, ni zao linalolimwa kwa kiwango kikubwa Afrika. Baadhi ya nchi huwa hasa na wakulima wadogo, wengine wanajulikana kwa mashamba yao makubwa ya kibiashara. Kuna jambo moja la kufanana: wote wanazalisha kwa ajili ya idadi ya watu wa Afrika inayokua kwa kasi. Idadi ya watu inayokua haraka watakuwa na hitaji la chakula kikuu kama viazi. Kuna uwezekano wa viazi kuchangia usalama wa chakula barani Afrika kwa kuboresha uzalishaji. Ujuzi wa vitendo juu ya usimamizi wa mazao unapaswa kuendelezwa zaidi, kama hatua ya kwanza, lakini muhimu ili kuongeza mavuno. Uholanzi ni nchi inayoongoza ulimwenguni katika soko la viazi kwa uzalishaji, uuzaji wa viazi nje ya nchi na usindikaji. Licha ya udogo wa nchi, Uholanzi imefanikiwa kupata mavuno mengi kuliko nchi nyingine yeyote ulimwenguni kupitia kilimo chake cha ubunifu. Hii imefanya Uholanzi kuwa moja ya wasambazaji wakubwa wa viazi vya mbegu na viazi vya chakula katika soko ya dunia. Sekta ya viazi ya Uholanzi ingependa kutoa ujuzi na uzoefu wake katika safari ya kuboresha uzalishaji wa viazi barani Afrika. Kwa kutoa mbinu nzuri katika uzalishaji wa viazi, kama udongo mzuri na usimamizi wa maji na kuthamini rasilimali, tunafanya kazi kwa pamoja ili kupata sekta endelevu. Tayari kuna miradi mingi Afrika nzima ambayo uzoefu unatolewa kati ya wataalamu wa Afrika na Uholanzi. Ili kutoa maarifa haya kwa wakulima wa viazi Afrika tunafurahi kukuletea kitabu hiki kwako, Ishara ya zao la viazi Afrika. Katika bara kubwa kama Afrika, tunatambua kitabu hiki kinagusa kiasi kidogo cha maarifa na kinaweza kisielezee vyote vinavyotakiwa kujulikana kuhusu kilimo cha viazi. Ingawa, andiko hili la ishara ya zao la viazi la Afrika litakupatia taarifa ya vitendo. Andiko hili litakupa ufahamu kuhusu mmea, litakusaidia kufanya maamuzi na kukupa ushauri wa jinsi ya kuboresha usimamizi wako wa mazao. Kwa kitabu hiki, nakukaribisha kushiriki nasi katika hatua inayofuata, kufanya uzalishaji wako kuwa endelevu na biashara yako kuweza kutosheleza vizazi vitakavyokuja vya Afrika. Ningependa kumshukuru kila mtu ambaye ameshiriki katika kufanya utayarishaji wa toleo hili kuwezekana, hasa wataalam kutoka Afrika na Uholanzi. Kwa niaba ya washauri wa kilimo wa ofisi za Ubalozi wa Uholanzi Afrika
Ethiopia
Chapisho hili lilitengenezwa kwa msaada kutoka serikali ya ufalme wa Uholanzi.
Mhamiaji Mjerumani anapewa sifa ya kuingiza viazi huko Ethiopia mnamo mwaka 1858. Kwa miongo kadhaa iliyofuata, wakulima katika nyanda za juu za Ethiopia walianza kulima viazi vipya kama ‘sera ya bima’ dhidi ya kushindwa kwa mazao ya nafaka. Kati ya nchi za Afrika, Ethiopia ina uwezekano mkubwa wa uzalishaji wa viazi: asilimia 70 ya ardhi yake - katika maeneo ya nyanda za juu zaidi ya mita 1500 kutoka usawa wa bahari - yanaaminika yanafaa kwa viazi.
www.roodbont.com
TOLEO LA AFRIKA
Viazi vilikuja na askari wa Ujerumani na wamisionari wa Ubelgiji kwenda Rwanda mwanzoni mwa karne ya 20. Sehemu kubwa ya sekta ya viazi inajumuisha mashamba madogo ambayo huchanganywa viazi, maharagwe na mahindi, na wastani wa mavuno huwa karibu tani 10 kwa hekta moja. Viazi ni nguzo ya usalama wa chakula wa Rwanda. Matumizi ya mwaka ni makubwa kilo 125 kwa mtu mmoja, na kufanya viazi kuwa chanzo kikuu cha pili cha ulaji wa kalori baada ya mihogo.
Chanzo: CGIAR, World Potato Atlas
ed
kutoka tani milioni
te ct
uzalishaji umeongezeka
ro
Katika baadhi ya nchi za Afrika, kama Algeria na Rwanda, uzalishaji wa viazi unaongezeka kwa wingi. Ila mavuno bado ni machache. Ili kuboresha uzalishaji wa viazi kote Afrika, elimu ni muhimu kwa wakulima wa viazi. Kwa upana wake wa ushauri wa vitendo na maoni, andiko hili litakusaidia kufanya maamuzi mazuri, yenye msingi mzuri, kuondoa taarifa dhaifu au kwa ufupi kupata maelezo yote madogo madogo sawa. Ili upate mengi kutoka katika mmea wako wa kiazi. Andiko hili la ishara ya zao la viazi linagusa kila hatua muhimu ya kulima viazi, kuanzia kujiandaa kwa ajili ya kupanda na kuendelea mpaka kuhifadhi na kusafirisha viazi.
viazi
Katika miongo ya karibuni,
Â?
ht p
mwanzoni mwa karne ya 20.
� � �
TOLEO LA AFRIKA
ig
Viazi viliwasili barani Afrika
Mwongozo wa vitendo wa kulima viazi kikamilifu
yr
Ishara za zao la viazi
co p
€  Â‚ ƒÂ?    „ Â… Â?Â? Â
Kuna fursa nyingi katika viazi. Je unatumia fursa hizi kikamilifu?
Ishara za zao la
Uzalishaji wa viazi Afrika
Bi. Ingrid Korving, Mshauri wa Kilimo wa Kenya na Tanzania