Basi hauna budi kukisoma kitabu hiki cha Masuala ya msingi katika ufugaji wa Ng’ombe. Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha inayoeleweka kwa urahisi. Kina zaidi ya picha 200 na michoro ambayo inafanya taarifa kuwa wazi na za uhalisia.
PR O
Mambo ya Msingi ya Ng’ombe hufanya mfugaji yeyote wa ng’ombe wa maziwa kuelewa usanifu wa kuhudumia ng’ombe wa maziwa na mifugo wadogo, kwa taswira ya ng’ombe mwenyewe.
TE D
Unavutiwa na ng’ombe wa maziwa na labda unawahudumia mara kwa mara? Je unataka kuelewa vyema jinsi ya kuwahudumia ng’ombe? Kuhakikisha wana afya njema, wanazalisha, na kukua vyema au kutoa maziwa mengi?
Toleo la Afrika Mashariki
C
Kinalenga haswa mtu anayefanya kazi na ng’ombe wa maziwa na kuwekeza kwenye ng’ombe wa maziwa.
Cow Signals Msingi
TE
Toleo la Afrika Mashariki
Cow Signals Msingi Toleo la Afrika Mashariki
Cow Signals Msingi
R
IG H
T
Jan Hulsen, mhariri na mtaalamu wa ng’ombe
Wahariri wa maudhui ya cow signals - msingi –wahariri wa toleo la afrika mashariki:
PY
Profesa Bockline Omedo Bebe, Chuo Kikuu cha Egerton Profesa Charles K. Gachuri, Chuo Kikuu cha Nairobi
C O
David Maina, Perfometer Agribusiness Ltd
Kuelewa wanachohitaji ng’ombe ili wawe na afya na kuzalisha ifaavyo
www.roodbont.com
www.vetvice.com
www.cowsignals.com
Jan Hulsen