![]()
Arusha ina matukio kadhaa ya michezo ya mbio za miguu (riadha) lakini ziko mbio tatu (3) zinazoandaliwa na kufanyika kwa ubunifu na ubora wa hali ya juu sana.
1. Mother’s Day Run
2. Meru Forest Trail Run, Cycling & Adventure
3. Arusha Night Run
Mbio zote hizi huandaliwa na Quality Sports Promoter, taasisi iliyosajiliwa kisheria chini ya Baraza la Michezo (BMT)
Arusha Mother’s Day Run hufanyika kila mwezi Mei kwenye kumbukizi ya Siku ya Mama Duniani.
Ikiwa katika msimu wake wa nne, mbio hizi zitaanza saa 12.30 asubuhi katika Viwanja vya Ofisi za Halmashauri ya Arusha (Arusha DC) – Sekei.
Mother’sDayRuninakupa huduma zote muhimu wakati wa mbio (maji, matunda, pipi, glucose n.k) lakini pia “BREAKFAST ya Nguvu” baada ya mbio – huu ndio utofauti wetu!
Elimu - Mbio yenye faida.
Moja ya wadhamini wetu – Colgate –watatoa elimu na kugawa vifaa vya usafi wa kinywa na meno.
35,000/=
Mbio yetu ya Meru Forest Trail Run, Cycling & Adventure inalenga kutangaza vivutio na kuhimiza utalii wa
sallymo_beauty
+255 752 228 155
+255 784 543 178