Happy Green Tanzania Board Game

Page 1


Ninaumwa kichwa...

Ulitupa takataka zako kando ya mto,takataka zako ni chanzo cha uchafuzi wa udongo. Chukua nafasi ya mshiriki aliye mwisho.

Usinunue simu mpya, peleka kwa fundi! Nenda mwanzo uanze tena.

Watu wanachoma plastiki, wanachafua hewa. Unahisi mgonjwa, subiri wakati unaendelea kupata nafuu.

Unadakika tatu za kukariri orodha hii. Kisha sema kwa sauti. Je ulisema sawa? Nenda hatua 2 mbele kama ulikosea nenda hatua 6 nyuma.

1. KATAA

2. PUNGUZA

Endelevu zaidi

Umempa mtu mwingine nguo zako za zamani. Nenda hatua 2 mbele.

Umeaanza kuwapa wanyama mabaki ya mboga mboga na kutengeneza mbole kwa kutumia takataka zinazoweza kuoza. Chukua nafasi ya mshiriki anayeoongoza.

Takataka zinazowezo kuoza

Ulitumia kurasa zote mbili za karatasi. Nenda hatua 2 mbele.

Takataka zota kwa jumla

Tengeneza tena Takataka zinazowezo kuoza

Umechambua na kutupa takataka zako kwa usahihi kabisa. Nenda hatua 3 mbele.

Mwerevu!

Ulibeba mfuko wako au kikapu chako wakati unakwenda kukununua bidhaa! Nenda hauta 2 mbele.

3. TUMIA TENA

4. REKEBISHA

5. TENGENEZA TENA

6. PANGA

Endelevu kidogo

Umefakiwa kuthibiti matumizi ya ziada ya vifungashio kwa kutengeneza mifuko yako mwenyewe. Nenda hatua 2 mbele.

Inawezekana samaki unayekula alimeza vipande vidogo vya plastiki. Umekosa nafasi.

Ooh hapana!

Baluni lako linaelea baharini na kuongeza idadi ya supu ya plastiki, ambayo husababisha madhara kwa wanyama. Nenda hatua 6 nyuma.

Wakati ukienda...

Je! Unaweza kufanya nini kuzuia matumizi ya kutumia mara moja na kutupa?

Fanya maamuzi ambayo hutoa takataka kidogo.

barafu ya koni

sabuni

barafu ya kwenye kikombe cha plastiki au au matunda yaliyo fungwa

kula hotelini

SHAMP sabuni

sabuni ya kipande au shampuu sabuni au shampuu ndani ya kontena au au

paketi ndogondogo za chipsi

pakiti ya familia

kuagiza na kuletewa kupitia mtandao

@

kununua kwa jumla

matunda tu

kubeba chakula au au

Lorem ipsum dolor sit amet, consectetuer adipiscing elit, sed diam nonummy nibh euismod When you go to t he...

Unaweza Kuleta Cha Kwako

(kama inawezekana unaweza kuleta zaidi ya kitu kimoja)

mrija wa chuma

unaweza kutumika tena na tena

tunda mfuko wa kununulia vitu

BMW = Beba Mfuko Wako

mfuko wa kutengeneza/kushona

chombo cha kuhifadhia vitu

Juisi

Lorem ipsum

kikombe kinachoweza kutumika tena tena

chombo cha kuwekea chakula

Maelezo kuhusu mchezo wa mezani (ukurasa wa kwanza)

Tengeneza dadu yako.

Nakili maelezo haya kwenye karatasi au karatasi ngumu. Kata na ukunje kona zake. Kunja upate sura 6 na kisha uzigundishe pamoja.

Unahitaji dadu moja, na kete moja kwa kila mchezaji (wachezaji 2-4).

Lengo la mchezo ni kuwa wa kwanza kumaliza.

Rusha dadu, na yule ukipata namaba kubwa utaanza kucheza. Mpeane zamu kurusha dadu na kusogeza kete.

Lorem ipsum Lorem ipsum Lorem ipsum

Ukifika kwenye sura ya mtoto, soma maelezo.

Ukifika kwenye nafasi ambayo tayari ina kete nyingine, utaondoa kete hiyo. Na kutairudisha hadi mwanzo wa mchezo.

. Furahia mchezo!

Lorem ipsum
Lorem
MGAHAWANI
SHULENI
SOKONI
KLUB YA MICHEZO

Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook
Issuu converts static files into: digital portfolios, online yearbooks, online catalogs, digital photo albums and more. Sign up and create your flipbook.