Skip to main content

[KSwahili] Prepare the Way. The Messiah is Coming!

Page 1

ANDAENI NJIA. MASIHI YUAJA KARIBUNI!

KANISA LA TOBA NA UTAKATIFU Phone: +254 715 276091, +254 773 992246 / email: repentoffice@gmail.com / Websites: www.repentandpreparetheway.org, www.jesusislordradio.info


5

"Angalieni, nitawapelekea Nabii Eliya nabii, kabla haijaja siku ile ya Bwana, iliyo kuu na ya kuogofya. 6 Naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana." [Malaki 4:5-6]

Dr. David E. Owuor, Nabii Eliya Kutabiriwa katika Malaki 4:5-6


45

"Ni nani basi yule Mtumwa mwaminifu mwenye akili, ambaye bwana wake alimweka juu ya nyumba yake, awape chakula kwa wakati wake? 46 Heri mtumwa yule, ambaye bwana wake ajapo atamkuta akifanya hivyo. 47 Amin, nawaambieni, atamweka juu ya vitu vyake vyote." [Mathayo 24:45-47] Moto wa Nabii Eliya, matukio ya wafalme wa Mfalme 1 18:38 (Agosti 27, 2016, Nakuru Menengai Ground, Kenya)


WAKATI UMEBADILIKA... Nabii Eliya yu hapa!


Kwa nini ‘Nabii’ anafaa… kwa wokovu na huduma yako 1. Bwana, Mungu hutuma wakala wa mamlaka(nabii) Kutekeleza mambo muhimu. (Musa,Yeremia, Samueli, Yohana Mbatizaji, Daktari David Owuor, na wengineo.) 2. Kutegemea uzito wa mambo, Mungu mwenyewe anakuja chini. (Agano na Abrahamu, Hukumu ya Sodoma na Gomorra, kukutana na Musa, kutoka, kuwaongoza Waisraeli katika jangwa, Msafara wakati wa mwisho 'Unyakuzi') 3. Au wote wawili wakala na Mungu mwenyewe : kutoka na 'Unyakuzi'.


Hakika Bwana Mungu hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. [Amosi 3:7] 5

"Angalieni, nitawapelekea Eliya nabii kabla haijaja siku ile ya Bwana, iliyo kuu na ya kuogofya. 6 naye ataigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na mioyo ya watoto iwaelekee baba zao, ili nisije nikaipiga dunia kwa laana." [Malaki 4:5-6]


Kwa nini ‘Nabii’ anafaa… kwa wokovu na huduma yako Nabii Mkuu wa Bwana ni kinywa Cha Mungu,katika utabiri wake,kuna maagizo ya kile ambacho Mungu anataka tufanye,ila pasipo kusikiza na kutii ujumbe wa Nabii hakuna anayeweza kujiandaa kwa nia ya Mungu. Mungu bado anawapaka Manabii na watumishi wake mafuts mwenyewe. Yeye hajawahi hamisha nguvu ya upsko kwa binadamu au mfumo wake (seminari au shule ya Bibilia).


Kutii maelekezo ya Nabii ni kutii mri za Mungu mwenyewe. Kuwa mwangalifu!!


[Kutambua Nabii wa kweli wa Mungu]

Asemapo‌

1. Unapaswa kupata hiyo katika Bibilia. 2. Lazima itatokea. 3. Yeye huikemea dhambi, "Tubu na kuiacha dhambi zote." 4. Anachohubiri ni Haki na utakatifu. 5. Yeye anatoa tahadhari ya watu kwa kukuja kwa Masihi. 6. Yeye hueka kati na kusisitiza Roho Mtakatifu na kutayarisha utawala wa Mungu katika kanisa. 7. Yeye hutayarisha ibada takatifu katika kanisa. Dr. David E. Owuor, Nabii Eliya Kutabiriwa katika Malaki 4:5-6


Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea http://www.repentandpreparetheway.org/

Unabii na kutimiza‌ Matayo 24:4-8 Mpanda farasi mwekundu (2008) Tetemeko la Haiti (2009)

Tetemeko la New Zealand (2014) Tetemeko la Russia (2013)

Mpanda farasi wa kijivujivu (2009) Mgongano wa kikabila Afrika kusini (2015)

Ugaidi wa duka la Westgate Kenya (2013)

Tsunami la Asia (2004)

Ulinzi wa mipaka ya Israel (2016) Volcano ya iceland (2010)

Mpanda farasi mweusi (2008) Tetemeko la Pakistan (2013)

Tetemeko la China (2013)

Tetemeko la Sweden (2016)

Tetemeko la Chile (2010)

Tufani ya katrina (2005)

Mikwaju mipakani Korea (2010)

Mlipuko wa virusi vya Ebola (2014) Mafuriko Kenya (2013)

Tetemeko la Italy (2016)

Tetemeko la Japanese (2011)

Tetemeko la venezuela (2012)

Moto wa kihistoria israeli (2016)


Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea http://www.repentandpreparetheway.org/

Ishara na maajabu‌

Ukoma aliyeponywa

Macho yenye upofu kufunguliwa

Kichaa akapona

Miguu dhaifu kuimarishwa

Uvimbe sugu ya tumbo kuponywa

Miguu vilema kuponywa

Miujiza ya ubunifu

Macho kipofu kabisa kufunguliwa

Kichaa akapona

Kuumia uti wa mgongo kuponywa

Mtoto kilema kupona

Ugonjwa wa baridi yabisi kuponywa


Kichaa akapona

Macho yenye upofu kufunguliwa

Usaha yakakauka

Viziwi kuskia

Mkono mfupi kunyooshwa

Miguu vilema kuponywa

Viziwi kuskia

Viziwi kuskia

+ Kila aina ya magonjwa na majeraha chini ya jua imeponywa ikiwa ni pamoja na saratani, leukemia, kisukari, Uvimbe, ugonjwa wa ngozi, kilema, bubu, kuvunjwa shingo, kuvunjwa makalio, kuvunjika fuvu, mbavu kuvunjika, kuvunjika miguu, ugonjwa wa kutokwa na damu, utasa, RH- Hadi RH+, Ukimwi na vinginevyo.


Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea http://www.repentandpreparetheway.org/

Ishara na maajabu‌

Mungu mwenyewe alishuka Kisumu,Kenya (Desemba 31, 2012)

Mvua ya Roho Mtakatifu ilinyesha (Kisii,Kenya)

Utukufu wa Mungu (Eldama Ravine, Kenya)

Moto wa Nabii Eliya, matukio ya wafalme wa 1 18:38 (Agosti 27, 2016, Nakuru Menengai Ground, Kenya)

Nguzo ya Utukufu wake (2013 Kakamega, Kenya)

Utukufu kuboriti juu ya madhabahu (2016 Nakuru, Kenya)

Nguzo ya Utukufu wake (2016 Nakuru, Kenya)


Mungu mwenyewe alifika katika wingu wa giza nene juu ya Nabii wake mkuu marudio ya kitabu cha Kutoka 19:16-18 (Agosti 28, 2016, Nakuru Menengai Ground, Kenya)


TUAMSHO WA MWISHO WA KWELI NI SASA... 1. Watu wanazaliwa kwa maji na Roho Mtakatifu. 2. Watu wanatubu na kuwachana na dhambi zote. 3. Watu wanapenda uhaki na utakatifu. 4. Watu wamejitweka mbali na ulimwengu na dhambi. 5. Watu wanatembea na Bwana na kumtafuta Mungu kila wakati. 6. Watu wanahubiri na kutembea kwa Msalaba na Damu. 7. Watu kula Mwili na kunywa Damu ya Yesu kila siku. 8. Watu kuomba na magonjwa yanaponywa. 9. Kanisa la kwanza kurejeshwa kwa kimo kamili na zaidi 10. Watu wanafurahia umande wa asubuhi. (Isaya 26:19) Bila kushiriki katita uamsho wa wakati wa mwisho, huwezi kuingia katika ufalme wa Mungu. Je, unashiriki katika uamsho wa wakati wa mwisho sasa?


Haki na utakatifu... Ufunguo wa wokovu 14

Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao. [Waebrania 12:14] 7

Na tufutahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake, kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja. (kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu.) [Ufunuo 19:7-8]


WAKATI UMEKWISHA. TUBU NA UANDAE NJIA. MASIHI ANAKUJA KWA BI HARUSI MTAKATIFU DAKIKA YOYOTE SASA!


KANISA LA TOBA NA UTAKATIFU DUNIANI KOTE Kenya (+254 715 276091, +254 773 992246, email: jesusislord.fmradio@gmail.com, www.repentandpreparetheway.org) Angola Archbishop Trinidade Pedro (+244 923 440 096, email: pastorcombatente@hotmail.com) Australia Archbishop Ammish Adu (+61422 737 368, email: ammishadu@hotmail.com, www.repentaustralia.org) Austria Pastor Suzan Girsa (+43 664 1297764, email: suzan-girsa@gmx.at, www.bereitetdenwegĂśsterrich.org) Botswana Archbishop Segale Mokotedi (+267 77041147, email: swmokotedi@ gmail.com) Brazil Archbishop Mauricio Augusto (+55 21 97209-0381, email: arrependimentoesantidadebrasil@gmail.com, www.arrependimentoesantidade.com.br) CĂ´te D'ivoire Bishop Augusto Maquengo (+225 75750378, email: augustomaquengo45@hotmail.com) Czech Republic Pastor Matthews Banda (+420730655415, email: repentcr@gmail. com, www.repentcr.org) Finland Pastor Aaron Almquist (+358456040288, email: repentfinland@gmail.com, www.repentfinland.fi) French Guiana Archbishop Ruddy (+594 694262783, www.revolutiongospel.org/#ACCUEIL.A) Germany Archbishop Andre Josef (+49 17637793545, email: andrejosef2303@gmail.com, www.bereutundbereitetdenweg. org) Ghana Archbishop Victor Ofori Amoah (+233 26 797 5886, email: vicopreach205@yahoo.co.uk) Ireland Pastor Janet Nderitu (+353857432002, email: Repentireland@ gmail.com) Italy Archbishop Charles Affram (+328 0309 079, email:ravvedimento.Italia@gmail.com, www.prepararelaviadelsignore.it) Mexico Archbishop Benjamin Lomeli Vega (+52 5534889662, email: benjamin_lomeli@hotmail.com, http://www.qdtb.net/) Namibia Archbishop Miriam Omonigbehin (+264 81 643 7278, email: Miriam.shikongo@gmail. com, www.repentnamibia.org.na) Netherlands Archbishop Nathaniel Banza (+31 615561511, email: pasteurnbanza@yahoo.fr, www.repentnetherlands.nl) New Zealand (+64 21 984 711, email: repentnewzealand@gmail.com, https://repentnewzealand.org/) Nigeria Archbishop Israel N. Israel (+2348033055637, email: archbishopisrael2016@gmail. com) Slovakia Pastor Anna Priatelova (+421 948 288 495, email: repentslovakia@gmail.com, www.repentslovakia.com) South Korea Archbishop Arthur Park (+8210-29552112, email: repentkorea@gmail.com, http://cafe.daum.net/repentanceholiness) Sweden Archbishop Bertil Ceder (+46 (0)705363840, email: bertilceder@gmail.com, http://www. repentsweden.se/) Taiwan/Hong Kong/China Pastor Rita (+886 921173095, email: repentasia@timeisover.org, www.timeisover.org) Uganda Archbishop John Kityo (+256 771472844, email: johnsonkityo06@gmail.com) UK (+44 7889178341, email: repentunitedkingdom@gmail.com, www.repentunitedkingdom.org/) USA Archbishop Louis Lupo (+1-202-290-4379, email: lou@highwayofholiness.us, www.highwayofholiness.us) Other EU Nations (www.repenteurope.org/?page_id=54)


Turn static files into dynamic content formats.

Create a flipbook