Kitabu hiki kinahusu ngano ya Ibn Saba mtu ambaye hajawahi kuishi katika
ulimwengu huu. Lakini mtu huyu ambaye amepachikwa jina la Abdullah Ibn Saba,
amesukwa kwa maneno katika vitabu vya historia mpaka watu wakaamini kwamba
kweli alikuwepo mtu kama huyu, na baya zaidi, watu wakapotoshwa kwamba
huyu ndiye aliyeanzisha Ushia.